Unapofanya Maombi hakikisha hauna mawaah au kasoro, kinyongo, hasira, wivu na dhambi.
Kuna maombi yanayopenya katika mbingu 1 na 2 na kufika mbingu ya 3 kwa muumba na kujibiwa. Maombi haya ndiyo huwa moshi nzuri wenye harufu nzuri hekaluna mwa Bwana. Maombi haya ni ya watakatifu na Maombi ya watu wanaofunga
Kuna maombi yanayo zuiliwa mbingu ya 2 yenye kasoro na mapepo, na haya Maombi yanayozuiliwa ndiyo uchukuliwa na mapepo kwenda kuyachunguza yanatoka kwa nani?
Maombi haya shetan huchukua huenda kushitaki kwenye kiti cha hukumu kwa Bwana
Mtu huyu astahili kupewa anachoomba nakutoa sababu mfano wakati ana omba ametoka kugombana na mkeo au mwezake ameshindwa kuomba msamaha, wakati anaomba ana hirizi yangu
Kiti cha hukumu kipo katikati upande 1 kuna malaika wema upande Mwingine malaika wabaya mashetani mapepo.
Mapepo wanapeleka mashataka na ushahidi hafai kupewa maombi yake. Malaika wema wanatetea Bwana mtu huyu anastahili kupewa anachoomba kwa sababu ulikufa kwa ajili yake na pia anayo imani ya kuliita jina lako hakwenda kwa waganga wa kienyeji na washirikina.
Kiti cha hukumu kinafanya maamuzi upewe au usipewe.
Kuna muda na wakati wakapata ulichoomba
Ukipewe tu Shetan na mapepo wanalalamika unaona alivyompendelea yule Binadamu. kikosa cha mapepo huandaliwa kuzuia ulichopewa. Pale ndipo Mtu huanza kukata tamaa Maombi yangu hayajibiwa na kuliacha jina la Bwana .