Tafadhali naomba leo Saa 3 Usiku tusipoteane hapa Jukwaani JamiiForums!

Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.

Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
Kaka mida ina karibia.
 
Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.

Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
Blaza unaweza kutabili mambo mengine tu ila kwa Yanga wamekuzidi sana uwezo
 
Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.

Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
usicheze na yanga
 
Hakika hatuamini kilichotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…