kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
Tupo hapa mtaaram genta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka mida ina karibia.Mlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.
Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
Blaza unaweza kutabili mambo mengine tu ila kwa Yanga wamekuzidi sana uwezoMlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.
Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
usicheze na yangaMlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.
Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
Usikimbie uje hapa kama ulivyosemaMlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.
Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
Hakika hatuamini kilichotokeaMlichotufanyia kwa Rafiki zenu wa Unafiki wale wa Mbagala hasa Kiushirikina) na Kimafia (Mchezo Mchafu) ndiyo nasi leo tumekifanya / tumelipiza hivyo hivyo.
Hamtoamini kwa Kitakachowatokea.
Hii inaitwa usirithi adui wa mtuKitaalamu sijui tunaitaje ?
Haya, nilikuambia GENTAMYCINE umeliona pira GAMOND? Sisi hatudhalilishi mgeni rasmi..!!
PacomeKitaalamu sijui tunaitaje ?
Yanii sina la kusema...Haya, nilikuambia GENTAMYCINE umeliona pira GAMOND? Sisi hatudhalilishi mgeni rasmi..!!
CC Kalpana , Mshana Jr ET EL