Abuwhythum
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 838
- 496
Una hamu ya kusulubiwa?Unachezwaje?
Una hamu ya kusulubiwa?Unachezwaje?
Kwanini unawaza tako tu kijana, acha ufala sawa.Upumbavu wa hali ya juu.
Na hili nalo unataka usaidiwe?
Tunapoelekea siku tako likikuwasha utaenda kuomba serikali ikusaidie.
Sawa buda, kesho naingia shambani.Ushatoa maumivu yako sasa nenda kachukue jembe kalime, uje utoe ushuhuda hapa ulivyofanikiwa ili vijana waachane na hiyo aviator uliyotaja.
Yule rubani ni fala *****😂😂😂.Aviator ndo nini sema kindege weweeee😃
Sawa Mkuu, nimepokea ushauri huu.Ndoto zako zilikua kuwa tajiri kwa usiku mmoja mwekezaji kameza ndoto zako
Badili attitude wachana na kamari kijana hakuna mafanikio huko
Mafanikio (ikiwemo utajiri ni mchakato ) mrefu sana kubali steps wachana na overnight changes
Yani uliwe hela useme ni starehe? Wake up buda.Mchezo wa kamali ni sitarehe kama ilivyo pombe
Shida ni kwamba vijana wanaifanya kamali kuwa ajira badala ya sitarehe
Si ndo nimejifunza sasa Mkuu.We mjinga kweli yaani unaweka pesa kwenye kompyuta weka pesa Kwa binadamu ukiona live wakicheza
Acha Mkuu, vijana tunapata pressure kwenye umri mdogo.Kwa miaka ya hivi karibuni vijana wengi na baadhi ya watu wazima wamejiingiza kwenye kamari kama sehemu ya kutafuta kipato. Kwa bahati mbaya imekuwa maumivu na stress mara dufu
Ndiyo aviator na casino games, football betting is okay.Hakuna kamali ambayo IPO designed kwa kukupa PESA.
Je unataka Serikali ifungie aviators tu?
Kwani siyo kazi ya serikali? Dunia kote kudhibiti madhara ya kamari au madawa ya kulevya ni serikali inakuwa kiongozi. Kwa zama hizi za electronics, kudhibiti madhara ya kamari ni rahisi japo huwezi kuondoa kabisa. Wanatakiwa waweke sheria kuwa kila mtoa huduma ahakikishe wanaocheza wana account zilizofunguliwa kwa kutumia utambulisho maalum eg vitambulisho vya NIDA, na waweke limits za mcheza kamari kwa wiki au mwezi.Upumbavu wa hali ya juu.
Na hili nalo unataka usaidiwe?
Tunapoelekea siku tako likikuwasha utaenda kuomba serikali ikusaidie.
Wanaobet matokeo ya mpira naona ndiyo fair,timu ikifungwa au kushinda unaona kabisa 😀Hakuna kamali ambayo IPO designed kwa kukupa PESA.
Je unataka Serikali ifungie aviators tu?
Wewe ndio ujiepushe na kamari. Hakuna aliyewahi kufanikiwa kwa kucheza kamari.Habari zenu Ndugu zangu.
Moja kwa moja kwenye main point,
Mchezo wa aviator haupo fair jinsi inavyotangazwa, inachukua 90% inakupa 10% haina usawa wa 50% kwa 50%.
Aviator imeharibu ndoto za Vijana wengi, na wanaishia kuwa omba omba , sababu pesa hazikai, vijana wanashindwa kuwa na nuru sababu ya aviator, Vijana wanakuwa na pressure katika umri mdogo, mahusiano ya vijana yameenda kombo sababu ya aviator.
Mimi nimeliwa elfu tano tu lakini imeniuma, ebu fikiria wanaoliwa 50k-100k kwa siku wana hali gani? Na kuna vijana wanashindwa kulipa ada, kumbe chanzo ni aviator.
Tafadhali na wewe mwekezaji wa Aviator, kuwa na huruma kwa Vijana, kama unatangaza kila siku mchezo ni fair basi uwe hivyo. Sio unachukua 90%, unatoa 10%.
Imeniuma sana Aviator kuchukua hela yangu ya bundle 😃😃😃😩.
Mwisho, Serikali tusaidie sisi Vijana tunakufa, kitakachotufanya tuepuke kikombe hiki ni mchezo kufungiwa. Tunahitaji kutimiza malengo yetu, tunahitaji kuleta furaha kwenye mahusiano yetu, tunahitaji kufurahi tena, baada ya maisha ya mateso.
Kama kweli Serikali yetu ni sikivu basi sikieni vilio vya vijana wengi, mimi nimewawakilisha tu.