Tafadhali watanzania wenzangu acheni kuwasakama wakenya kipindi hiki wako kwenye Janga.

Good, umekubali kwamba Kenya na Uganda Mnagombania kisiwa cha Migingo.

Kenya na South Sudan Mnagombania "Ilemi triangle".

Kenya na Somalia Mnagombania sehemu ya Bahari, pia Kenya hampatani na serikali ya Mogadishu.

Kenya na Ethiopia choko choko haziishi.

Hivi ni jirani gani ambaye hamjawahi kukwaruzana naye?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ati ukaidi wa rais Makufuli rais wao ndo yuko mkaidi.
Nyie mko nawa kwa hela barabarani sio tuko kwa nawa bure harafu ugonjwa utukute siye
 
Chuki, wivu, roho ya cashiewnuts, pamoja na ujinga wa wakenya ndio 7bu.
 
Unajua pia marekani ilikua inaicheka Europe alafu wakanunua vifaa zaidi vya kupima corona sahii wakashtuka kumbe kwao ndo imeenea zaidi... Usifikirie kwavile kesi zimeongezeka Kenya unaanza kucheka kwavile kwenu hazijaongezeka
Kwa Joto la bongo covid ni kaugonjwa kadogo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uuummm.....duh dummy! the failed state Tanzania because of the failed ideology of ujamaa. it's a self fulfilling cycle.....I know you're a little slow but atleast you seem to be capable of learning
Ujamaa ndio uliofanya WaTz kuwa kitu kimoja, wanapendana, wanajali, wavumilivu na wenye mshikamano unlike kenya, huo u capitalist umewapa nn zaidi ya tribalism, big gape btn haves and have not, chuki, msongo wa mawazo, njaa, ubaguzi, roho mby, kukosa umiliki wa ardhi kwa raia etc.
 
Reactions: Oii
Mkuu, ili kuboresha zaidi u "Proudly Tanzanian" wako, naomba nikukumbushe kidogo kuhusu uandishi.
Ni "Watanzania" sio "watanzania"
"Wakenya" sio "wakenya".
 
Inferiority complex kiaje wakati Wakenya ndio wamejaa humu Jf na kutwa kufungua nyuzi za kukebehi wengine na kujisifu? Kuna Watz wangapi kwenye forums zenu?
And I don't know unaposema Wivu, wivu wa nini labda, English Language?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
So is Kenya that adopted capitalism and 60 years later they can only do BBI and handshakes,
45% of her citizens live below poverty line. Socialist China funds and builds 100 projects in kenya.
Unlike capitalism and all its problems ujamaa was a fools errand and Tanzania was the fool.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania mnawaonea wivu Sana wakenya wakicharazwa viboko na kuuliwa na polisi "in thousands", pia mnawaonea wivu wakifa kwa njaa kila mwaka, wakiendelea kukosa Ajira, wakiishi ktk slums, wakizungumza kiingereza, na wakivuka mpaka kuja kutafuta huduma bora za Afya Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakenya wamejaa kwenye forum ya Kenyan News na waleta habari za Kenya na kujadili ya Kenya...... Lakini watanzania mkiona mkenya amebandika mada kuhusu nchi yake, ineriority complex inakufanya uone ni kwamba tunawalenga nyinyi.....

Yani kwa mfano mkenya akiwa kwa forum ya kikenya na apost habari kwamba barabara mpya ya mahali flani imemalizwa kujengwa, watu watajadiliana kuhusu hio barabara... Lakini mkenya huyo huyo akileta habari hiyo kwa section ya Kenyan News hapa JF si kitambo watz watakua walishajaza ukurasa wakijaribu kuponda hio barabara... Why? kila saa mna feel threatened na wakenya, ndio maana 99% ya topic zinazo anzishwa na watanzania ndani ya Kenyan News hapa JF ni 'Kenya VS Tz'
 
Nchi hizo zote jirani ulizozitaja tunafanya biashara nazo kuliko vile TZ inafanya biashara nazo.... Hata nchi kama Rwanda ambayo hatupakani nayo inafanya biashara na sisi zaidi kulliko inavyofanya na TZ! Nyinyi sikuhizi ni majirani kwa jina tu kwahizo nchi mnazopakana nazo, manake hamuwafaidishi na lolote.
 

Hapa ndio mpaka leo nishashindwa kuelewa uzembe wa hawa watu, yaani wana mpaka mmoja na nchi ambayo hatupakani nayo ila sisi tunahusiana na hiyo nchi kibiashara zaidi yao, ndio taswira hata DRC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…