Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good, umekubali kwamba Kenya na Uganda Mnagombania kisiwa cha Migingo.Tanzania ndo mnaongoza kwa kuweka vikwazo kwa nchi nyengine za EAC kwahivyo hilo swala la maziwa si kitu. Tena isitoshe hadi sasa Uganda haijaban maziwa (Processed milk) kutoka Kenya, wameenda kotini kushtaki Kenya, Yani unaona vile hao si wanafik wenye miondoko ya kitoto, Najua ingekua ni Tz mngekua mlishaharibu biashara yote kwa kuban kila kitu kutoka Kenya.
Hilo swala la Migingo, Waganda na Wakenya wote wameishi pamoja kwenye hilo jiwe tangu tupate uhuru. Na sio Kenya ilioanzisha mgogoro ni Uganda, na hata licha ya kugombania hicho kisiwa hatujakoseana na Uganda, hakuna tit for tat yeyote tumefanyiana na Uganda kwasababu ya migingo, najua ingekua ni Tanzania na Kenya lazima mngekua mlifanya vituko vya ajabu hadi hoja isiwe kuhusu migingo tena, kwa mfano nashuku mgekimbilia kubania KQ na makampuni mengine hadi tuwaachie migingo...nk Yani sijui hua mnashikwa na nini mkiona mkenya
Chuki, wivu, roho ya cashiewnuts, pamoja na ujinga wa wakenya ndio 7bu.Good, umekubali kwamba Kenya na Uganda Mnagombania kisiwa cha Migingo.
Kenya na South Sudan Mnagombania "Ilemi triangle".
Kenya na Somalia Mnagombania sehemu ya Bahari, pia Kenya hampatani na serikali ya Mogadishu.
Kenya na Ethiopia choko choko haziishi.
Hivi ni jirani gani ambaye hamjawahi kukwaruzana naye?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, failed stateUnlike capitalism and all its problems ujamaa was a fools errand and Tanzania was the fool.
Mm natamani covid 19 ishambulie kiberaNaomba Rais Uhuru awape mamlaka KDF waanze kuwachapa viboko wakenya maana wamezidi kuzurura na kutosikiliza viongozi wao .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwa Joto la bongo covid ni kaugonjwa kadogo tuUnajua pia marekani ilikua inaicheka Europe alafu wakanunua vifaa zaidi vya kupima corona sahii wakashtuka kumbe kwao ndo imeenea zaidi... Usifikirie kwavile kesi zimeongezeka Kenya unaanza kucheka kwavile kwenu hazijaongezeka
Uuummm.....duh dummy! the failed state Tanzania because of the failed ideology of ujamaa. it's a self fulfilling cycle.....I know you're a little slow but atleast you seem to be capable of learning
Ujamaa ndio uliofanya WaTz kuwa kitu kimoja, wanapendana, wanajali, wavumilivu na wenye mshikamano unlike kenya, huo u capitalist umewapa nn zaidi ya tribalism, big gape btn haves and have not, chuki, msongo wa mawazo, njaa, ubaguzi, roho mby, kukosa umiliki wa ardhi kwa raia etc.Uuummm.....duh dummy! the failed state Tanzania because of the failed ideology of ujamaa. it's a self fulfilling cycle.....I know you're a little slow but atleast you seem to be capable of learning
Mkuu, ili kuboresha zaidi u "Proudly Tanzanian" wako, naomba nikukumbushe kidogo kuhusu uandishi.Salaam wakuu.
Binafsi sifurahishwi na nyuzi mpya mpya humu kutoka kwa ndugu zangu watanzania wakifanya mzaha hatua za serikali ya Kenya juu ya kuzuia kusambaa kwa Corona.
Hata kama Tanzania kuna unafuu hatupaswi kuwacheka na kuleta ligi za kukebehi juhudi zao. Muda huu ni wa kuwapa pole na kuwatia moyo pengine washauri.
Hao ni jirani zetu ugonjwa ukiwa mkali tutauonja tu.
Tafadhali ndugu Joto la Jiwe, Geza Ulole punguza kebehi.
Poleni wakenya na kesi kupaa.
Pambana ipasavyo ila sio kwa kupanic.
Proudly Tanzanian
Kama Kenya ina matatizo ingekua tunabishana na waganda, warwanda na wengineo, lakini hilo hauoni likifanyika, Watanzania kuwashambulia wakenya ni kwasababu moja tu, wivu wivu wivu... Unajua kama mtu ni mnafik na anakuonea wivu kila unalofanya au unasema anadhania umemlenga yeye, Yani mko na inferiority complex flani mkiwa karibu na mkenya. Mkenya akisema "eh, shati yangu ni safi", wewe unajijazia yako na kuona anajisifu kwamba shati yake ni safi kwahivyo yako wewe ni chafu.....
hebu angalia vile unatumia nguvu nyingi kuwachunguza tabia na miondoko ya wakenya, alafu kwavile tuna kesi nyingi za corona unasema eti ni kwasababu ya tabia,, blah blah blah upuzi mtupu
Unlike capitalism and all its problems ujamaa was a fools errand and Tanzania was the fool.
Watanzania mnawaonea wivu Sana wakenya wakicharazwa viboko na kuuliwa na polisi "in thousands", pia mnawaonea wivu wakifa kwa njaa kila mwaka, wakiendelea kukosa Ajira, wakiishi ktk slums, wakizungumza kiingereza, na wakivuka mpaka kuja kutafuta huduma bora za Afya Tanzania [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inferiority complex kiaje wakati Wakenya ndio wamejaa humu Jf na kutwa kufungua nyuzi za kukehehi wengine na kujisifu? Kuna Watz wangapi kwenye forums zenu?
And I don't know unaposema Wivu, wivu wa nini labda, English Language?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wamejaa kwenye forum ya Kenyan News na waleta habari za Kenya na kujadili ya Kenya...... Lakini watanzania mkiona mkenya amebandika mada kuhusu nchi yake, ineriority complex inakufanya uone ni kwamba tunawalenga nyinyi.....Inferiority complex kiaje wakati Wakenya ndio wamejaa humu Jf na kutwa kufungua nyuzi za kukebehi wengine na kujisifu? Kuna Watz wangapi kwenye forums zenu?
And I don't know unaposema Wivu, wivu wa nini labda, English Language?
Sent using Jamii Forums mobile app
endelea kujidanganya, kawaulize kina Saudi, Jordan, Egypt walio na joto jingi kuwashinda kama corona inawapelekaje kwasasa
Nchi hizo zote jirani ulizozitaja tunafanya biashara nazo kuliko vile TZ inafanya biashara nazo.... Hata nchi kama Rwanda ambayo hatupakani nayo inafanya biashara na sisi zaidi kulliko inavyofanya na TZ! Nyinyi sikuhizi ni majirani kwa jina tu kwahizo nchi mnazopakana nazo, manake hamuwafaidishi na lolote.Good, umekubali kwamba Kenya na Uganda Mnagombania kisiwa cha Migingo.
Kenya na South Sudan Mnagombania "Ilemi triangle".
Kenya na Somalia Mnagombania sehemu ya Bahari, pia Kenya hampatani na serikali ya Mogadishu.
Kenya na Ethiopia choko choko haziishi.
Hivi ni jirani gani ambaye hamjawahi kukwaruzana naye?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nchi hizo zote jirani ulizozitaja tunafanya biashara nazo kuliko vile TZ inafanya biashara nazo.... Hata nchi kama Rwanda ambayo hatupakani nayo inafanya biashara na sisi zaidi kulliko inavyofanya na TZ! Nyinyi sikuhizi ni majirani kwa jina tu kwahizo nchi mnazopakana nazo, manake hamuwafaidishi na lolote.