Bado najitafakariMwanabodi mwenzetu hatujakusikia kama na wewe ni miongoni mwa watia nia
Kwenye kumi za mama hiyo itakua ni ndoto ya saa tisa alasiri iliyotokana na kukosekana kwa mlo wa mchana siku hiyo.Labda anasubiria zile10za Raisi!
Muhimu Sana nipo naelekea eneo la tukio.Bro sisi tulewe tu mkali
Poa mkuu tufike eneo la tukio kwanzaMuhimu Sana nipo naelekea eneo la tukio.
Si unajua huku mafoleni balaa.
Nimesoma NAMBA 1 hapo nikaona mkuu unatudanganya! Uchaguzi uliopita wa urais ulipokwa! Hivyo sentensi yako haiko sahihiKwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.
Kwa masikitiko makubwa, kumekuwepo na wimbi la baadhi ya wachangiaji kutumia lugha ya matusi, kejeli na dharau kubwa wanapolizungumzia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, haki hiyo haipaswi kuvuka mipaka ya kistaarabu na kugeuka kuwa matusi au uchochezi.
Tafadhali tukumbuke yafuatayo:
1. CCM ni chama kinachoongoza serikali kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura. Kukitukana chama hiki si tu kutoheshimu uamuzi wa Watanzania wengi, bali ni kudhalilisha taasisi inayobeba uongozi wa nchi.
2. Kama una hoja dhidi ya uongozi wa mtu fulani au sera fulani, tumia lugha ya staha, hoja zenye msingi na uwasilishe kwa njia inayojenga. Kukosoa kwa heshima kuna nafasi kubwa ya kusikilizwa kuliko kutukana kwa jazba na kejeli.
3. Matumizi ya majina bandia (fake id's ) hayana maana iwapo yanatumika kupandikiza chuki, matusi na madhara ya kijamii au kisiasa. Uhuru wa mtandao si leseni ya matusi.
4. Tanzania ni yetu sote – itajengwa kwa hoja, mijadala yenye tija na heshima kwa tofauti zetu, si kwa matusi ya kisiasa yanayoashiria chuki au dhihaka.
Naomba niweke bayana: Kumkosoa kiongozi ni haki ya kidemokrasia, lakini kumtukana au kudhalilisha chama kizima kwa ujumla ni upungufu wa hekima na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
Tuendelee kujenga hoja, si kubomoa heshima ya taasisi. Tusikubali kuwa vyanzo vya sumu ya mgawanyiko wa taifa kupitia maneno yetu.
Tuijenge Tanzania yetu kwa heshima, busara na uzalendo.
Ebu kwanza bantu leo nilewe sijawahi kula pesa yako ujue🤣🤣🤣 vijana mjifunze kula pesa na wewe ukiwa na pesa zako binafsi na unalipa mara mbili gademiiitManati ya muzungu, ninayo muda mrefu min -me my friend. Kadogo kwa kazi maalum. Tuishie hapa 😁😁😁
Mshikamano ni kwa watawala ila wengini ni wakukandamizwa,kuonewa,kunyanyaswa,kutekwa,kuuwawa,iwapo tunaona hilo,haki hiyo itolewe kwa wote na sii kwa ubaguzi,hapo umoja na mshikamano wa taifa wa kweli na wa haki utakuwepo,vitosho sii dawa,yaweza kuwa ni kuliangamiza taifa badala ya kuliponya,usiangalie leo angalia kesho na miaka mia ijayo.Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.
Kwa masikitiko makubwa, kumekuwepo na wimbi la baadhi ya wachangiaji kutumia lugha ya matusi, kejeli na dharau kubwa wanapolizungumzia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, haki hiyo haipaswi kuvuka mipaka ya kistaarabu na kugeuka kuwa matusi au uchochezi.
Tafadhali tukumbuke yafuatayo:
1. CCM ni chama kinachoongoza serikali kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura. Kukitukana chama hiki si tu kutoheshimu uamuzi wa Watanzania wengi, bali ni kudhalilisha taasisi inayobeba uongozi wa nchi.
2. Kama una hoja dhidi ya uongozi wa mtu fulani au sera fulani, tumia lugha ya staha, hoja zenye msingi na uwasilishe kwa njia inayojenga. Kukosoa kwa heshima kuna nafasi kubwa ya kusikilizwa kuliko kutukana kwa jazba na kejeli.
3. Matumizi ya majina bandia (fake id's ) hayana maana iwapo yanatumika kupandikiza chuki, matusi na madhara ya kijamii au kisiasa. Uhuru wa mtandao si leseni ya matusi.
4. Tanzania ni yetu sote – itajengwa kwa hoja, mijadala yenye tija na heshima kwa tofauti zetu, si kwa matusi ya kisiasa yanayoashiria chuki au dhihaka.
Naomba niweke bayana: Kumkosoa kiongozi ni haki ya kidemokrasia, lakini kumtukana au kudhalilisha chama kizima kwa ujumla ni upungufu wa hekima na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
Tuendelee kujenga hoja, si kubomoa heshima ya taasisi. Tusikubali kuwa vyanzo vya sumu ya mgawanyiko wa taifa kupitia maneno yetu.
Tuijenge Tanzania yetu kwa heshima, busara na uzalendo.
Vunja nazi ntu isiyojulikana,hadi ushindi upatikane.Bantu Lady ephen_ Evelyn Salt Vincenzo Jr DR HAYA LAND we gona be to fuc,,,k off my friend be care full 🤣🤣🤣View attachment 3391595
Soma tena Bantu Lady 😅😅 nimeongezea udambwiEbu kwanza bantu leo nilewe sijawahi kula pesa yako ujue🤣🤣🤣 vijana mjifunze kula pesa na wewe ukiwa na pesa zako binafsi na unalipa mara mbili gademiiit
Kumbuka tuupate nchango yakoDu ! Nimesahau ulichoandika
Yaani sasa hivi nikatume Western union, nimechoka 🙄🙄🙄🙄Soma tena Bantu Lady 😅😅 nimeongezea udambwi
Mkuu umeandika vizuri. Ila hao jamaa unaoshauri wanaamini wana akili kuliko mtu yeyote asiyefuata matakwa yao au mtizamo wao. Watatukana yeyote kwa tusi lolote.Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.
Kwa masikitiko makubwa, kumekuwepo na wimbi la baadhi ya wachangiaji kutumia lugha ya matusi, kejeli na dharau kubwa wanapolizungumzia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, haki hiyo haipaswi kuvuka mipaka ya kistaarabu na kugeuka kuwa matusi au uchochezi.
Tafadhali tukumbuke yafuatayo:
1. CCM ni chama kinachoongoza serikali kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura. Kukitukana chama hiki si tu kutoheshimu uamuzi wa Watanzania wengi, bali ni kudhalilisha taasisi inayobeba uongozi wa nchi.
2. Kama una hoja dhidi ya uongozi wa mtu fulani au sera fulani, tumia lugha ya staha, hoja zenye msingi na uwasilishe kwa njia inayojenga. Kukosoa kwa heshima kuna nafasi kubwa ya kusikilizwa kuliko kutukana kwa jazba na kejeli.
3. Matumizi ya majina bandia (fake id's ) hayana maana iwapo yanatumika kupandikiza chuki, matusi na madhara ya kijamii au kisiasa. Uhuru wa mtandao si leseni ya matusi.
4. Tanzania ni yetu sote – itajengwa kwa hoja, mijadala yenye tija na heshima kwa tofauti zetu, si kwa matusi ya kisiasa yanayoashiria chuki au dhihaka.
Naomba niweke bayana: Kumkosoa kiongozi ni haki ya kidemokrasia, lakini kumtukana au kudhalilisha chama kizima kwa ujumla ni upungufu wa hekima na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
Tuendelee kujenga hoja, si kubomoa heshima ya taasisi. Tusikubali kuwa vyanzo vya sumu ya mgawanyiko wa taifa kupitia maneno yetu.
Tuijenge Tanzania yetu kwa heshima, busara na uzalendo.
Katika Enzi HIZI za VYAMA vingi CCM haipaswi kuendelea kuongoza serekali, serekali NI ya WANANCHI siyo ccm. CCM bado wanadhani wako kwenye enzi za chama kushika hatamu. Ndo mana tinataka mabadiliko!!!!Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.