Mgeni wa Jiji
JF-Expert Member
- Jul 27, 2017
- 10,488
- 20,051
Better beer than politics
Ukifa hakuna maumivu Tena "kifo ni pumziko"" ukisha poteza uhai ni MARAMOJA huwezi poteza uhai TWICE""Mkuu umeandika vizuri. Ila hao jamaa unaoshauri wanaamini wana akili kuliko mtu yeyote asiyefuata matakwa yao au mtizamo wao. Watatukana yeyote kwa tusi lolote.
Mimi kama Mwana CCM na mtiifu kwa Serikali, baada ya kushindwa kuwavumilia nimeamua siku nyingi tu, kujenga hoja inapobidi, kuwarudishia matusi wanapotukana na kumtukana yeyote anatakayenitukana au kumtukana Kiongozi yeyote wa CCM au Serikali na kuwatisha vilevile wanpoleta vitisho. Sera yangu mimi kwao ni "An eye for an eye"!
Naamini kwa kufanya hivyo, tutaenda sambamba!
min -me 😁Better beer than politics
Exactly 💯 Kuna watu wana pawa na mfumo humo ndani ukizingua unatolewa kwenye mfumoAngalieni movie ya gangs of London Mrs Byesige Bantu Lady Vincenzo Jr ephen_ mtafahamu kitu japo kwa udogo🤔
For sure 😀😊 huyu MANYANZA LEO KAZINGUA SANA.Exactly 💯 Kuna watu wana pawa na mfumo humo ndani ukizingua unatolewa kwenye mfumo
ephen_ Mambo vp? Yes it means mtoa thread ameandika PPT kwa walio soma mchepuo wa PCB wanaelewa maana ya ""PPT""Ni nini hiki? Nguo za mtumba au
Sahihi 😀Hapa naanza na supu nikimaliza
Mkuu,
Umemaliza kila kituu
Ushauri mzuri sana. Ngoja tuone kama kutakuwa na mabadiliko.Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.
Kwa masikitiko makubwa, kumekuwepo na wimbi la baadhi ya wachangiaji kutumia lugha ya matusi, kejeli na dharau kubwa wanapolizungumzia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, haki hiyo haipaswi kuvuka mipaka ya kistaarabu na kugeuka kuwa matusi au uchochezi.
Tafadhali tukumbuke yafuatayo:
1. CCM ni chama kinachoongoza serikali kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura. Kukitukana chama hiki si tu kutoheshimu uamuzi wa Watanzania wengi, bali ni kudhalilisha taasisi inayobeba uongozi wa nchi.
2. Kama una hoja dhidi ya uongozi wa mtu fulani au sera fulani, tumia lugha ya staha, hoja zenye msingi na uwasilishe kwa njia inayojenga. Kukosoa kwa heshima kuna nafasi kubwa ya kusikilizwa kuliko kutukana kwa jazba na kejeli.
3. Matumizi ya majina bandia (fake id's ) hayana maana iwapo yanatumika kupandikiza chuki, matusi na madhara ya kijamii au kisiasa. Uhuru wa mtandao si leseni ya matusi.
4. Tanzania ni yetu sote – itajengwa kwa hoja, mijadala yenye tija na heshima kwa tofauti zetu, si kwa matusi ya kisiasa yanayoashiria chuki au dhihaka.
Naomba niweke bayana: Kumkosoa kiongozi ni haki ya kidemokrasia, lakini kumtukana au kudhalilisha chama kizima kwa ujumla ni upungufu wa hekima na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
Tuendelee kujenga hoja, si kubomoa heshima ya taasisi. Tusikubali kuwa vyanzo vya sumu ya mgawanyiko wa taifa kupitia maneno yetu.
Tuijenge Tanzania yetu kwa heshima, busara na uzalendo.
Samahani mweshimiwa.Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.
Kwa masikitiko makubwa, kumekuwepo na wimbi la baadhi ya wachangiaji kutumia lugha ya matusi, kejeli na dharau kubwa wanapolizungumzia Chama Cha Mapinduzi (CCM) – chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, haki hiyo haipaswi kuvuka mipaka ya kistaarabu na kugeuka kuwa matusi au uchochezi.
Tafadhali tukumbuke yafuatayo:
1. CCM ni chama kinachoongoza serikali kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura. Kukitukana chama hiki si tu kutoheshimu uamuzi wa Watanzania wengi, bali ni kudhalilisha taasisi inayobeba uongozi wa nchi.
2. Kama una hoja dhidi ya uongozi wa mtu fulani au sera fulani, tumia lugha ya staha, hoja zenye msingi na uwasilishe kwa njia inayojenga. Kukosoa kwa heshima kuna nafasi kubwa ya kusikilizwa kuliko kutukana kwa jazba na kejeli.
3. Matumizi ya majina bandia (fake id's ) hayana maana iwapo yanatumika kupandikiza chuki, matusi na madhara ya kijamii au kisiasa. Uhuru wa mtandao si leseni ya matusi.
4. Tanzania ni yetu sote – itajengwa kwa hoja, mijadala yenye tija na heshima kwa tofauti zetu, si kwa matusi ya kisiasa yanayoashiria chuki au dhihaka.
Naomba niweke bayana: Kumkosoa kiongozi ni haki ya kidemokrasia, lakini kumtukana au kudhalilisha chama kizima kwa ujumla ni upungufu wa hekima na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
Tuendelee kujenga hoja, si kubomoa heshima ya taasisi. Tusikubali kuwa vyanzo vya sumu ya mgawanyiko wa taifa kupitia maneno yetu.
Tuijenge Tanzania yetu kwa heshima, busara na uzalendo.
Ni tafakari yangu Mkuu hata siku moja sijawahi kuwa na itikadi ya CCM, fuatilia tangu nimejiunga humu miaka 15 iliyopita.Samahani mweshimiwa.
Kati ya matusi na kuchukua roho ya mtu utasema mbuzi, kipi kubaya na kipi kibaya sana?
Maana hao ccm hawawpendi kukosolewa na ukiwakosoa ndio yale ya Ben Saanane,Ally Kibao na nadhalika.
N.B
Naomba usiniambie kama nina ushaidi maana wewe na wenzio mpo kwenye hasira za MUNGU mpaka mda huu.
Uliishawahi kufa?Ukifa hakuna maumivu Tena "kifo ni pumziko"" ukisha poteza uhai ni MARAMOJA huwezi poteza uhai TWICE""
SIKU ZOTEEE WAPINZANI WAMEKUA RATIONAL ILA NYINYI WASAKATONGE NA CHAWA MMEKUA KAMA KENGE KUSIKIA KWENU MPAKA MTOKE DAMU..
View attachment 3392062
Kufa ni neno Pana Kuna kufa moyo, kufa kuona, kufa kupoteza uhai ie. Wote walio pitia njia hii hawajawai kurudi ku tell a TALEUliishawahi kufa?
"Ukifa hakuna maumivu Tena "kifo ni pumziko"" ukisha poteza uhai ni MARAMOJA huwezi poteza uhai TWICE""Kufa ni neno Pana Kuna kufa moyo, kufa kuona, kufa kupoteza uhai ie. Wote walio pitia njia hii hawajawai kurudi ku tell a TALE
WHEN YOU PROMOTE THE WRONG PEOPLE, YOU BEGIN TO LOSE YOUR BEST PEOPLE."Ukifa hakuna maumivu Tena "kifo ni pumziko"" ukisha poteza uhai ni MARAMOJA huwezi poteza uhai TWICE""
SIKU ZOTEEE WAPINZANI WAMEKUA RATIONAL ILA NYINYI WASAKATONGE NA CHAWA MMEKUA KAMA KENGE KUSIKIA KWENU MPAKA MTOKE DAMU"
Nimekuwekea ulichopost mwanzo uone na ufanye tafakuri.