Tafafakari yangu na maoni yangu kwa Watumiaji wa huu mtandao

Nimesoma NAMBA 1 hapo nikaona mkuu unatudanganya! Uchaguzi uliopita wa urais ulipokwa! Hivyo sentensi yako haiko sahihi
 
Mshikamano ni kwa watawala ila wengini ni wakukandamizwa,kuonewa,kunyanyaswa,kutekwa,kuuwawa,iwapo tunaona hilo,haki hiyo itolewe kwa wote na sii kwa ubaguzi,hapo umoja na mshikamano wa taifa wa kweli na wa haki utakuwepo,vitosho sii dawa,yaweza kuwa ni kuliangamiza taifa badala ya kuliponya,usiangalie leo angalia kesho na miaka mia ijayo.
 
Mkuu umeandika vizuri. Ila hao jamaa unaoshauri wanaamini wana akili kuliko mtu yeyote asiyefuata matakwa yao au mtizamo wao. Watatukana yeyote kwa tusi lolote.

Mimi kama Mwana CCM na mtiifu kwa Serikali, baada ya kushindwa kuwavumilia nimeamua siku nyingi tu, kujenga hoja inapobidi, kuwarudishia matusi wanapotukana na kumtukana yeyote anatakayenitukana au kumtukana Kiongozi yeyote wa CCM au Serikali na kuwatisha vilevile wanpoleta vitisho. Sera yangu mimi kwao ni "An eye for an eye"!

Naamini kwa kufanya hivyo, tutaenda sambamba!
 
Katika Enzi HIZI za VYAMA vingi CCM haipaswi kuendelea kuongoza serekali, serekali NI ya WANANCHI siyo ccm. CCM bado wanadhani wako kwenye enzi za chama kushika hatamu. Ndo mana tinataka mabadiliko!!!!
NO REFORMS NO ELECTION!!!!!
Kwann hamuelewi
 
Mtandao umevamiwa umekua kama facebook.Hakuna hoja tena ni ujinga ujinga tu usio na maana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…