Hiyo inaweza kuwa ya wasiohulikanaMkuu umeandika vizuri. Ila hao jamaa unaoshauri wanaamini wana akili kuliko mtu yeyote asiyefuata matakwa yao au mtizamo wao. Watatukana yeyote kwa tusi lolote.
Mimi kama Mwana CCM na mtiifu kwa Serikali, baada ya kushindwa kuwavumilia nimeamua siku nyingi tu, kujenga hoja inapobidi, kuwarudishia matusi wanapotukana na kumtukana yeyote anatakayenitukana au kumtukana Kiongozi yeyote wa CCM au Serikali na kuwatisha vilevile wanpoleta vitisho. Sera yangu mimi kwao ni "An eye for an eye"!
Naamini kwa kufanya hivyo, tutaenda sambamba!
Hahahaha lipa namba zangu tuπ π π kuna moja ipo dodoma kwa dogo yangu wewe weka 20 usd tu nilewe huku madam π€£π€£π€£π€£Yaani sasa hivi nikatume Western union, nimechoka πππ
Hii picha ya Lucas Mwashambwa umeitoa wapi mkuuTumekusikia ila chiembe kaenda kuchukua fomu leo kwao ngujungejeView attachment 3391599
Una haki ya kutafsiri tunachotaka.Hiyo inaweza kuwa ya wasiohulikana
Nyie mwajuaUna haki ya kutafsiri tunachotaka.
Tule pombe kaka watu wapombe tuna nidhamuSawa Ila nachojua hapa JF matusi ukiandika unapewa ban na huwa yanafutwa .
Hakika! Kusema ukweli kabisa CCM hawastahili heshima hata kidogo. Haiwezekani watu zaidi ya 100 kutekwa, kuteswa au kuuawa kabisa halafu hakuna kiongizi yeyote kuanzia RAIS, Makamu wa RAIS na waziri Mkuu aliye kemea jambo hili ovu! Halafu anakuja mjinga mmoja anataka tuwape HESHIMA....!No Reform No Election.
Maajabu ya 10 ya dunia yatakuwaHakika! Kusema ukweli kabisa CCM hawastahili heshima hata kidogo. Haiwezekani watu zaidi ya 100 kutekwa, kuteswa au kuuawa kabisa halafu hakuna kiongizi yeyote kuanzia RAIS, Makamu wa RAIS na waziri Mkuu aliye kemea jambo hili ovu! Halafu anakuja mjinga mmoja anataka tuwape HESHIMA....!
Kuna jamaa wa mbogamboga huwa anatukana watu sijui wamempiga ban jina linaanza na S nimemsahau jina kamili kila post yeye ni kutukana tuKwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.
Kwa masikitiko makubwa, kumekuwepo na wimbi la baadhi ya wachangiaji kutumia lugha ya matusi, kejeli na dharau kubwa wanapolizungumzia Chama Cha Mapinduzi (CCM) β chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, haki hiyo haipaswi kuvuka mipaka ya kistaarabu na kugeuka kuwa matusi au uchochezi.
Tafadhali tukumbuke yafuatayo:
1. CCM ni chama kinachoongoza serikali kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura. Kukitukana chama hiki si tu kutoheshimu uamuzi wa Watanzania wengi, bali ni kudhalilisha taasisi inayobeba uongozi wa nchi.
2. Kama una hoja dhidi ya uongozi wa mtu fulani au sera fulani, tumia lugha ya staha, hoja zenye msingi na uwasilishe kwa njia inayojenga. Kukosoa kwa heshima kuna nafasi kubwa ya kusikilizwa kuliko kutukana kwa jazba na kejeli.
3. Matumizi ya majina bandia (fake id's ) hayana maana iwapo yanatumika kupandikiza chuki, matusi na madhara ya kijamii au kisiasa. Uhuru wa mtandao si leseni ya matusi.
4. Tanzania ni yetu sote β itajengwa kwa hoja, mijadala yenye tija na heshima kwa tofauti zetu, si kwa matusi ya kisiasa yanayoashiria chuki au dhihaka.
Naomba niweke bayana: Kumkosoa kiongozi ni haki ya kidemokrasia, lakini kumtukana au kudhalilisha chama kizima kwa ujumla ni upungufu wa hekima na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
Tuendelee kujenga hoja, si kubomoa heshima ya taasisi. Tusikubali kuwa vyanzo vya sumu ya mgawanyiko wa taifa kupitia maneno yetu.
Tuijenge Tanzania yetu kwa heshima, busara na uzalendo.
Hatitaki mazonge mazongeTule pombe kaka watu wapombe tuna nidhamu
Mkuu Sina cha kuongeza hapo maana umemaliza π.
Anata vyeo vya mtelezoMwanabodi mwenzetu hatujakusikia kama na wewe ni miongoni mwa watia nia
Wanauudhi sanaHakika! Kusema ukweli kabisa CCM hawastahili heshima hata kidogo. Haiwezekani watu zaidi ya 100 kutekwa, kuteswa au kuuawa kabisa halafu hakuna kiongizi yeyote kuanzia RAIS, Makamu wa RAIS na waziri Mkuu aliye kemea jambo hili ovu! Halafu anakuja mjinga mmoja anataka tuwape HESHIMA....!
Hapa naanza na supu nikimalizaMuhimu Sana nipo naelekea eneo la tukio.
Si unajua huku mafoleni balaa.
Mkuu,Mkuu Sina cha kuongeza hapo maana umemaliza π.
Ni nini hiki? Nguo za mtumba au
Ujue ushindi wao wa magumashi. Mtu aliyeshinda uchaguzi kihalali hawezi kuteka kuuwa wala kupoteza wananchi wake wanaokosoa.Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.