Huyo mafwele anaishi wapi mpaka yeye auwe watu alafu aendelee kuishi na kula pesa za watu anao wauwa?Majaliwa kassim majaliwa ndiyo aliyempa JAMBIA LA KUUA WATU Huyo mtu anayeitwa MAFWELE.
Leo nani hajui kwamba mafwele ndiyo anahusika na mauaji, utesaji na utekaji wa watu?
Nani alimuua mzee kibao kama siyo mafwele?
Salama kabisaMkuu Salama
Ndiyo Ukweli WenyeweKwa mfano nikisema ccm ni wezi wa kura,
Hilo ni tusi au reality?
Naomba unijubu,Wakuu!
Naona replies nyingi kwenye huu uzi zimeenda tofauti na Tafakari yangu kabisa. Lengo la kuanzisha huu uzi ilikuwa ni kuwakumbusha tu Members wenzangu matumizi ya uhuru wao wa kutoa maoni mtandaoni hata kama tunatumia fake id's.
Wiki iliyopita kuna Member aliandika maneno yasiyokuwa na staha hata kidogo. Kuwatuhumu Wabunge na Mawaziri wanawake wote wameshatembea na wanafanya maamuzi katika teuzi mbalimbali katika nafasi au vyeo serikalini.
Mpaka Mheshimiwa waziri Dkt. Gwajima D ile comment akaiona na akamjibu yule aliye comment naye akaishia kuomba msamaha tu.
Kabla ya kujibu chochote Soma na uelewe sio kukurupuka na kujibu kwa utashi wako.
Hii nguo alipewa mochwari?Tumekusikia ila chiembe kaenda kuchukua fomu leo kwao ngujungejeView attachment 3391599
Umerudisha fomu?Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.
Kwa masikitiko makubwa, kumekuwepo na wimbi la baadhi ya wachangiaji kutumia lugha ya matusi, kejeli na dharau kubwa wanapolizungumzia Chama Cha Mapinduzi (CCM) β chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, haki hiyo haipaswi kuvuka mipaka ya kistaarabu na kugeuka kuwa matusi au uchochezi.
Tafadhali tukumbuke yafuatayo:
1. CCM ni chama kinachoongoza serikali kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura. Kukitukana chama hiki si tu kutoheshimu uamuzi wa Watanzania wengi, bali ni kudhalilisha taasisi inayobeba uongozi wa nchi.
2. Kama una hoja dhidi ya uongozi wa mtu fulani au sera fulani, tumia lugha ya staha, hoja zenye msingi na uwasilishe kwa njia inayojenga. Kukosoa kwa heshima kuna nafasi kubwa ya kusikilizwa kuliko kutukana kwa jazba na kejeli.
3. Matumizi ya majina bandia (fake id's ) hayana maana iwapo yanatumika kupandikiza chuki, matusi na madhara ya kijamii au kisiasa. Uhuru wa mtandao si leseni ya matusi.
4. Tanzania ni yetu sote β itajengwa kwa hoja, mijadala yenye tija na heshima kwa tofauti zetu, si kwa matusi ya kisiasa yanayoashiria chuki au dhihaka.
Naomba niweke bayana: Kumkosoa kiongozi ni haki ya kidemokrasia, lakini kumtukana au kudhalilisha chama kizima kwa ujumla ni upungufu wa hekima na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
Tuendelee kujenga hoja, si kubomoa heshima ya taasisi. Tusikubali kuwa vyanzo vya sumu ya mgawanyiko wa taifa kupitia maneno yetu.
Tuijenge Tanzania yetu kwa heshima, busara na uzalendo.
Leo nadhani umeshinda kwa lishangazi la ccm.Kwa heshima na taadhima, naomba kuchukua nafasi hii kuwashauri ndugu zangu watumiaji wenzangu wa mtandao huu mkubwa na huru wa JamiiForums. Tukiwa sehemu ya jukwaa hili lenye mchango mkubwa katika kukuza mijadala ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na hata kidemokrasia, hatuna budi kuwa na nidhamu ya hoja, staha ya lugha, na kuheshimu misingi ya maadili ya mtandao huu pamoja na sheria za nchi yetu.
Kwa masikitiko makubwa, kumekuwepo na wimbi la baadhi ya wachangiaji kutumia lugha ya matusi, kejeli na dharau kubwa wanapolizungumzia Chama Cha Mapinduzi (CCM) β chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, haki hiyo haipaswi kuvuka mipaka ya kistaarabu na kugeuka kuwa matusi au uchochezi.
Tafadhali tukumbuke yafuatayo:
1. CCM ni chama kinachoongoza serikali kwa ridhaa ya wananchi kupitia sanduku la kura. Kukitukana chama hiki si tu kutoheshimu uamuzi wa Watanzania wengi, bali ni kudhalilisha taasisi inayobeba uongozi wa nchi.
2. Kama una hoja dhidi ya uongozi wa mtu fulani au sera fulani, tumia lugha ya staha, hoja zenye msingi na uwasilishe kwa njia inayojenga. Kukosoa kwa heshima kuna nafasi kubwa ya kusikilizwa kuliko kutukana kwa jazba na kejeli.
3. Matumizi ya majina bandia (fake id's ) hayana maana iwapo yanatumika kupandikiza chuki, matusi na madhara ya kijamii au kisiasa. Uhuru wa mtandao si leseni ya matusi.
4. Tanzania ni yetu sote β itajengwa kwa hoja, mijadala yenye tija na heshima kwa tofauti zetu, si kwa matusi ya kisiasa yanayoashiria chuki au dhihaka.
Naomba niweke bayana: Kumkosoa kiongozi ni haki ya kidemokrasia, lakini kumtukana au kudhalilisha chama kizima kwa ujumla ni upungufu wa hekima na ni hatari kwa mshikamano wa kitaifa.
Tuendelee kujenga hoja, si kubomoa heshima ya taasisi. Tusikubali kuwa vyanzo vya sumu ya mgawanyiko wa taifa kupitia maneno yetu.
Tuijenge Tanzania yetu kwa heshima, busara na uzalendo.
Nilianza kukupuuza niliposoma haya hapo juu.Kwa masikitiko makubwa, kumekuwepo na wimbi la baadhi ya wachangiaji kutumia lugha ya matusi, kejeli na dharau kubwa wanapolizungumzia Chama Cha Mapinduzi (CCM) β chama kinachoongoza serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ingawa kila Mtanzania ana haki ya kutoa maoni, haki hiyo haipaswi kuvuka mipaka ya kistaarabu na kugeuka kuwa matusi au uchochezi.
Tumekwisha vuka hatua hiyo ya kubembelezana, kwa sababu ya ukiziwi wenu.Kukosoa kwa heshima kuna nafasi kubwa ya kusikilizwa kuliko kutukana kwa jazba na kejeli.
Mimi nimekuelewa, sijui yeye!Manati ya muzungu, ninayo muda mrefu min -me my friend. Kadogo kwa kazi maalum. Tuishie hapa πππ
π€£π€£π€£π€£π€£mkuu , umepatwa na nn, mbona ulikuwa mzima wa afya muda si mrefu?π³π€π€
Ungeeleka ushauri wako huu huko kunakoanzia matatizo ya mfarakanyo wa taifa, ungeonekana kuwa mtu wa maana sana.Tuendelee kujenga hoja, si kubomoa heshima ya taasisi. Tusikubali kuwa vyanzo vya sumu ya mgawanyiko wa taifa kupitia maneno yetu.
Tuijenge Tanzania yetu kwa heshima, busara na uzalendo.
central si unapajua nenda kawaambieWaambie kwanza waache kutumia polisi kuua na kuteka watu ndio na sisi tutaongea nao kwa sitaha
Angalia waumini wa Gwajima wanavyoteswa na CCM
Halafu vaa viatu vyao Chawa wewe!!