Tafafakari yangu na maoni yangu kwa Watumiaji wa huu mtandao

Ukifa hakuna maumivu Tena "kifo ni pumziko"" ukisha poteza uhai ni MARAMOJA huwezi poteza uhai TWICE""

SIKU ZOTEEE WAPINZANI WAMEKUA RATIONAL ILA NYINYI WASAKATONGE NA CHAWA MMEKUA KAMA KENGE KUSIKIA KWENU MPAKA MTOKE DAMU..

 
Exactly 💯 Kuna watu wana pawa na mfumo humo ndani ukizingua unatolewa kwenye mfumo
For sure 😀😊 huyu MANYANZA LEO KAZINGUA SANA.

NIMEMVUA NYOTA KABISA SIKU ZOTEEE WATU RATIONAL HUWA HAWAPO BIASED.

HATA KAMA UNAKULA NA KUSHIBA HUPASWI KUWA MBINAFSI FOR SURE KINACHO ENDELEA TANZANIA KWA SASA HAKIPO SAWA KABISA KWA MUSTAKABALI WA KITAIFA NA KIMATAIFAA.
 
Ushauri mzuri sana. Ngoja tuone kama kutakuwa na mabadiliko.
 
Samahani mweshimiwa.

Kati ya matusi na kuchukua roho ya mtu utasema mbuzi, kipi kubaya na kipi kibaya sana?
Maana hao ccm hawawpendi kukosolewa na ukiwakosoa ndio yale ya Ben Saanane,Ally Kibao na nadhalika.
N.B
Naomba usiniambie kama nina ushaidi maana wewe na wenzio mpo kwenye hasira za MUNGU mpaka mda huu.
 
Ni tafakari yangu Mkuu hata siku moja sijawahi kuwa na itikadi ya CCM, fuatilia tangu nimejiunga humu miaka 15 iliyopita.
 
Umenena mema na uwaambie waheshimiwe wote hata wenye maoni mbadala hawapaswi kutweza nankutukanwa hamasisha ujengaji wa hoja kwenye watoa michango wote sio sisiemu pekee hata wanaotukana nakutweza Wapinzani Tanzania ni yetu sote sio mali ya Sisiemu pekee


No reform No Election
 
Kufa ni neno Pana Kuna kufa moyo, kufa kuona, kufa kupoteza uhai ie. Wote walio pitia njia hii hawajawai kurudi ku tell a TALE
"Ukifa hakuna maumivu Tena "kifo ni pumziko"" ukisha poteza uhai ni MARAMOJA huwezi poteza uhai TWICE""

SIKU ZOTEEE WAPINZANI WAMEKUA RATIONAL ILA NYINYI WASAKATONGE NA CHAWA MMEKUA KAMA KENGE KUSIKIA KWENU MPAKA MTOKE DAMU"

Nimekuwekea ulichopost mwanzo uone na ufanye tafakuri.
 
WHEN YOU PROMOTE THE WRONG PEOPLE, YOU BEGIN TO LOSE YOUR BEST PEOPLE.

Tafakarii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…