Tafakuri binafsi: Wakati unamhudumia mdada kipesa, ushawahi kutafakari hili

Ila bongo usiseme hatuna maisha mazuri ..unatakiwa useme "hauna" kuna lijamaa jirani hapa lina hela aise limempangishia mchepuko apartment kali sana na fenicha zote kali mno kalii balaaa
....hapo ukisema hamna hela jamaa hatakuelewa
Huyo jamaa anafanya kazi gani Ndege Tai
 
Of course wanasema a rich man can date a poor woman, but a rich woman will never look at a rich man. Labda story za kihindi na disney
 
Nimechekaa had machoziiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila umesema kweliii.
Ni kweli kabisa, nyie endeleeni kupiga kimoja cha jogoo, bao la pili kupiga mpaka ifike Christmas huko, halafu wapeni hao wanawake hela uone, watakuja kugongwa na wanaowaridhisha, na wao ndo watalipia pesa mnazowahonga.

Kuna mademu wawili wapo radhi kunifata kama nipo mkoani, kwa gharama zao (to and fro) ili niwanyandue na siwapagi hela hata senti, yote hayo ni kwasababu ya mabwana zao kuwagusa gusa.

Wagongeni mademu zenu waruidhike, mnawapa shida sana mpaka wanachiti.
 
Uzi unapaswa kufungiwa hapa!
 
Hujamwelewa jamaa!!

Upendo sio FEDHA japo ni muhim sana kwenye mahusiano!

Tupendane kwanza kabla ya pesa!tukipenda pesa zikiisha na upendo huisha!!

Hakuna mwanamme mwenye familia ambae hatowagi FEDHA KWA familia yake! lakini kama upendo wa mkeo upo kwenye hizo PESA unazotoa siku ukiwa hauna ina maana asikupende TENA!!!?

DHANA hii ya mahusiano ndio inafanya makaburi Mengi yawe ya wanaume mtaani kuliko wa wanawake!!

Upendo,upendo,upendo nasisitiza hilo!!

Sisi tuliowahi jitoa KWA wapenzi wetu na tukawasaidia pa kushika baadae wakatuona kama vile wa ziada tunaielewa nada vizuri SANA!!!

DHANA ya pesa pesa PESA kwenye mapenzi inatukuza ukahaba uliostarabika na sio mahusiano yenye upendo ndani yake!!!
 
Wanaita private sector prostitution
 
Kuna raha gani brother!!!
She treat you like a manwhore!
Raha ipo wapi hapo?
Hapo unakuwa huna tofauti na dildo.
 
Hudumia mke mkuu, hakuna namna nyingine zaidi ya kuhudumia familia yako, awe anakupenda au la.

Wa pembeni nunua, wa 50k mpe baada ya huduma, wa 30k mpe....mwanamke wa pembeni ni wa pembeni tu. Huwa sio muumini wa kununua ila kwa sasa it's the only way forward, otherwise utakuwa masikini kama haupo makini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…