Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣 daaah! Ndio zenu nyieUnatoa siri tenaaa?? Khaaah
Poa sana mzee baba. Maokoto muhimu bila hivyo pisi kali zote utaushia kuziita shemeji hapa townNiaje mwamba, maokoto yananikeep busy sana
Of course wanasema a rich man can date a poor woman, but a rich woman will never look at a rich man. Labda story za kihindi na disneyMfano, wewe mwanaume una hela, Unasukuma gari nzuri kiasi, laki mbili tatu za bata kila wiki hazikupigi chenga, una kazi nzuri na biashara, una nyumba nje ya mji, kibongobongo watu tunaassume umetoboa..
Unakutana na binti maisha yamemchapa, kwasababu unampenda, unamtakatisha kwa kumpa vihuduma vya hapa na pale, shopping za nguo kila mwezi, unasaidia wadogo zake, sometime hadi unasomesha with a view kwamba baadae aje kuwa mkeo..
Ushawahi jiuliza kama mngebadilishana nafasi za kiuchumi, wewe uwe kapuku na yeye awe anaendesha Gari halafu mkutane njiani, je huyo mdada unaemuhudumia, angekuangalia mara mbili? angeshtuka hata kujua amepishana na mwanaume?
Mke wa gsm angekuwa na hela kama za mumewe, angemfanyia birthday party huyo mumewe?
Naamini mwanaume ni Primary provider wa familia, na anatakiwa ahudumie mke, ila nimewaza tu..
Nimegundua mtu ukitumia logic, ku-enjoy mahusiano ni ngumu
Ni kweli kabisa, nyie endeleeni kupiga kimoja cha jogoo, bao la pili kupiga mpaka ifike Christmas huko, halafu wapeni hao wanawake hela uone, watakuja kugongwa na wanaowaridhisha, na wao ndo watalipia pesa mnazowahonga.Nimechekaa had machoziiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila umesema kweliii.
Sifahamu aise ila nahisi ni businessman...Huyo jamaa anafanya kazi gani Ndege Tai
Uzi unapaswa kufungiwa hapa!Wanawake hawawezi hilo, tena ukiwawaza sana utaishia kuwatukana tu, na kupita nao kisha unawaacha hapo Dunia iwakomeshe, hawana shukrani hata kidogo, mtunze utunzavyo, lakini ugua ulale ndani miezi sita na jifanye pesa imeisha uone kama hajakimbilia kwa bwana mwingine, hao hakunaga kitu
Hapanaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah! Ndio zenu nyie
Hujamwelewa jamaa!!kwanza kabisa kijiuliza swali kama hilo ni ishara kubwa ya utoto, na kujiona uko sawa na mwanamke,..iko hivi, kwa asili kabisa mwanaume ndio mtafutaji tangu kuumbwa kwa dunia hii, kwangu mm siamini kama mwanamke anaweza kutoboa na kwenda mbali kiuchumi bila ya mkono flani wa mwanaume,.hivyo kufikiria kuhusu pesa ya mwanamke ni kufikiria kuhusu pesa ya mwanaume mwenzio...
...acha kabisa kufikiri kuhusu msaada wa kifedha kutoka kwa MWANAMKE!
yaani utakula kwa jashoVitu nvingine ni Auto tu Wala so vya kuumiza kichwa.
Mwanamme lazima utoe pesa ndio uenjoy.
Wanaita private sector prostitutionHujamwelewa jamaa!!
Upendo sio FEDHA japo ni muhim sana kwenye mahusiano!
Tupendane kwanza kabla ya pesa!tukipenda pesa zikiisha na upendo huisha!!
Hakuna mwanamme mwenye familia ambae hatowagi FEDHA KWA familia yake! lakini kama upendo wa mkeo upo kwenye hizo PESA unazotoa siku ukiwa hauna ina maana asikupende TENA!!!?
DHANA hii ya mahusiano ndio inafanya makaburi Mengi yawe ya wanaume mtaani kuliko wa wanawake!!
Upendo,upendo,upendo nasisitiza hilo!!
Sisi tuliowahi jitoa KWA wapenzi wetu na tukawasaidia pa kushika baadae wakatuona kama vile wa ziada tunaielewa nada vizuri SANA!!!
DHANA ya pesa pesa PESA kwenye mapenzi inatukuza ukahaba uliostarabika na sio mahusiano yenye upendo ndani yake!!!
Kama kuna wanaume kama mimi Dunia hii bas wanapata shida sana Aiseh!!Wanaita private sector prostitution
Kuna raha gani brother!!!Uanaume ni kuchakata mbususu kisawasawa hadi mwanamke aridhike, bora uwe masikini lakini mbususu uchakate barabara.
Mwanamke kwao ameacha vyakula vinono pengine kuliko unavyompa, kaacha pesa kwa baba yake pengine ni nyingi kuliko zako, kaja kuolewa kwako kwasababu ya kunyanduana na kutengeneza familia(huduma ambayo nyumbani kwao hawezi kupata).
Sasa wewe jifanye unampa pesa nyingi halafu unamnyandua kwa kumgusa gusa tu, akikutana na wanaomzagamua kisawasawa hadi kuikata kiu yake, atawahonga hizo pesa unazompa ili wamzagamue, au watakuwa wanapewa kitumbua bure.
Hakuna raha kama ukikutana na demu ambaye bwana yake anamgusa gusa, yaani ukimuwezea kumkata kiu, atakuganda kama ruba, yaani yeye ndo anayekubembeleza ili usimuache.
[emoji23][emoji23]Haufungwi Uzi ndo umeanza kutaradadi....[emoji28]
Mmeanza njama zenu za kitapeli ati Uzi ufungwe!,
Raha napata mbususu bila kulipia na nasuuza rungu, wala sihitaji tupendane, sisi wanaume ni kusuuza rungu tu.Kuna raha gani brother!!!
She treat you like a manwhore!
Raha ipo wapi hapo?
Hapo unakuwa huna tofauti na dildo.
Ya wanawake ni mwendo wa kubet tu...Kama kuna wanaume kama mimi Dunia hii bas wanapata shida sana Aiseh!!
Kuingiza jogoo kwa mwanamke aliekupendea hela na unajua inaumiza sana Mkuu,unajua fika hapa una bet tu!!
Mungu ibariki Tanzania