Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

Mleta mada naungana na wewe.Kwenye mambo yanayohusisha sehemu za siri ni vyema kila jinsia ikashughulikiwa na wataalamu wenye jinsia sawa.
Naona watu wanajisahaulisha kesi za madaktari kubaka wajawazito ambazo zimekuwa zikiripotiwa mara kwa mara.
Zamani huko vijijini wakunga wote walikuwa wanawake jambo ambalo ni jema kabisa.
 
Mwanamke wangu ana miaka 35.alikwenda kufanyiwa upasuaji kuondoa uvimbe kwenye kizazi.anakwambia anamvulia nguo kijana wa kiume sawa na mdogo wake.
Heri na nafuu huyo kufanyiwa upasuaji
Kuna wale wanaokuja kujifungua , mama ana miaka 40 anazalishwa na kijana wa miaka 20 , Kwa kweli ni fedheha Kwa mama kama huyo kuambiwa panua miguu nikupime njia na kitoto sawa na chake
Tukatae tunavyokataa kisa kujiona tumekua wasomi sijui wazungu,ila hivyo hali haiependezi kabisa ,ni vile dhiki tu
Ndio maana ni nadra sana kukuta mtumishi wa idara ya afya anazaishwa na mwanaume
Ila Kwa masikini tusio na chaguo tunajikuta hatuna namna
 
Sio wanajisahaulisha kiongozi tuheshimu mawazo yao ndio fikra zao zilipoishia tena wengine wanajiita wasomi kwa kweli.
 
Kiongoz tuna wasomi wa hovyo wanajua kubisha pasi na hoja
 
Mkuu umeongea ukweli kabisa.

Japo wengi watakumaindi.

Ila madaktari wengi wa kiume hawana maadili siku hizi, sio kama zamani.

Changamoto ni wanawake nao wanapenda kuhudumiwa na madaktari wa kiume.

Na huwezi badilisha chochote hapo.

Muhimu usiumize Sana kichwa kuhusu mwanamke au Mkeo. Utakuwa unapoteza Muda wako tu.

Ataliwa na daktari, ataliwa na boda boda, ataliwa na Bosi wake, ataliwa na rafiki yako wa karibu kabisa, ataliwa na fundi gereji, ataliwa na Ex wake, ataliwa kimasihara vile vile.

Wote ni Uasherati tu.
 
Kama ndio hivyo je unaweza kumtia vidole na kumzalisha mama yako?
No hard feelings.
 
Lakin kwenye kutatua tatizo kukubali kisha tukaacha likapita kiongoz lazima tuangalie namna ya kutatua tatizo
 
Lakin kwenye kutatua tatizo kukubali kisha tukaacha likapita kiongoz lazima tuangalie namna ya kutatua tatizo
Ni ngumu Sana Kiongozi.

Labda apatikane mtu au watu wenye ushawishi mkubwa walikomalie haswaa.

Ila tambua Utapata upinzani mkubwa
1. Kutoka Kwa wanawake wenyewe
2. Madaktari Pia.
 
We acha tu.sikia kwa wenzio tu
 
Ni ngumu Sana Kiongozi.

Labda apatikane mtu au watu wenye ushawishi mkubwa walikomalie haswaa.

Ila tambua Utapata upinzani mkubwa
1. Kutoka Kwa wanawake wenyewe
2. Madaktari Pia.
Na kama upinzani utatoka kwa madaktari bas nina mashaka ni wanufaika wakubwa wa hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…