Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Anasema Moresby Treaty ilikuwepo 1822 lakini anaonyesha maandishi yakisema Moresby Treaty ilisainiwa 1873. Heri nibaki na ujinga wangu.
Amandla...
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ameshibwa ubwabwa tu hamna kitu hapo. hivi hata akiongea, unahisi hata harufu ya msomi kweli hapo?Anasema Moresby Treaty ilikuwepo 1822 lakini anaonyesha maandishi yakisema Moresby Treaty ilisainiwa 1873. Heri nibaki na ujinga wangu.
Amandla...
ila kuna baadhi ya dini ukiendekeza sana ubongo unapungukiwa akili, haufikirii nje ya box tena zaidi ya dini. hapo kinachosafishwa ni uislam na uarabu, wala issue sio utumwa. imagine huyu ni profesa lkn akiongea hana hoja kama darasa la saba. kuna umuhimu pia wa kureview chuo cha muslim cha morogoro tuone wanafundisha nini na wanafunzi wanaotoka pale wana uwezo gani.Prof.yuko sawa.
Ingawa kuna ujinga kuhusisha dini ya Uislamu na uarabu.
Kwenye kuran tukufu mtume wetu Muhammad S.A anatuasa kuitafuta elimu hata Uchina.
Madharila ya biashara ya Utumwa yalifanywa hata na Wazungu wakiwemo Wareno,Wabelgiji,Wajerumani,Wafaransa na Waingereza kwa namna ya mifumo yao ya utawala katika Dunia ya wakati huo.
huyo profesa cha kwanza yeye mwenyewe ana asili ya uarabu, anatetea babu zake, na anavyowaita wenzie waswahili, anajitenga. babu zake wamefanya sana unyama sasa anataka kutumia dini kuwasafisha. hivi mwarabu atasafishika kweli? hawa ndio ndugu zake Tipu Tip.Acha kutetea waarabu kisa tu wewe ni muislam, waarabu walifanya sana biashara ya utumwa hakuna la kuficha katika suala hili.
Hoja yenu ya uwepo wa waafrika wengi ulaya kuliko uarabuni ni kwasababu waarabu walikua wanawahasi watumwa wanaume wa kiafrika.
Utachukuliwaje Utumwa in the first place kubali hata kufir*wa hadi leo Mzungu na Mwarabu wanababaikiwa sana na Wanaume wa Kiafrika.waarabu walikua wanawahasi watumwa wanaume wa kiafrika.
Mayalla achana na hiki kibibi hakina akili kabisaFaizaFoxy , asante sana kwa mada hii. Naomba kukiri mimi ni miongoni mwa tulio ingizwa chaka na michoro hii, kumbe tulikuwa tunadangwa kwa michoro ya kuchorwa, jee vipi kuhusu zile picha za camera, kama hizi
View attachment 2212044
nazo ni za uongo?.
PUdhalimu wa Utumwa Zanzibar na Pemba: Mababu zetu waliteswa, walihasiwa, walibakwa, na kuuawa kinyama
Wanabodi, Katika karibu kila jambo, kuna mazuri na mabaya yake, kama ilivyo kwa ukoloni, japo wakoloni walitunyonya, pia kuna mazuri, walituachia, ikiwepo elimu ya kisasa, walileta maendeleo mbambali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii vikiwemo viwanda, miundombinu, maendeleo ya kilimo, ila pia...www.jamiiforums.com
Hivi wewe kibibi gagula udini utakufikisha wapi?Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.
Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.
Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...
😂😂😂Mb zimepanda.... Toa tu maelezo tutachangia... Ila kama mada video inahusu biashara ya utumwa kwa waabu na hyo video inatetea waarabu hawajafanya biashara ya utumwa.. Itakuwa wewe na huyo alioandaa documentary ni wajinga wote...
Shemeji yangu ndio ameingia maskani muda si mrefu, alipoingia tu akanikuta nimeweka miguu yangu juu ya meza aliyoagiza kutoka Uturuki kwa gharama ya milion 50 za Kenya, ameniambia bundle lake hatuwezi kutumia kutazama video za kijinga jinga kama hiyo. Bora tuangalie video ya Mwijaku na Menina.Majibu ya kiakili yapo kwenye video niliyoiweka, ya Professa wa uhakika. Umeitazama? Au ndiyo mpaka shemeji aje nyumbani ndiyo upate bando la uhakika?
Haridhishwi na dada'ko huyo, nakushauri anza kumridhisha wewe.Shemeji yangu ndio ameingia maskani muda si mrefu, alipoingia tu akanikuta nimeweka miguu yangu juu ya meza aliyoagiza kutoka Uturuki kwa gharama ya milion 50 za Kenya, ameniambia bundle lake hatuwezi kutumia kutazama video za kijinga jinga kama hiyo. Bora tuangalie video ya Mwijaku na Menina.
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.No research, no right to speak, FAIZA FOX umewahi fanya utafiti Gani na juu ya nini au umewahi kuandika KITABU Gani tukisome?
Umeitazama video au unakurupuka tu?Hao mabeberu walikuwa wananunua watumwa kutoka kwa waarabu na kuwapeleka huko Marekani.
Kukanusha kutokea kwa biashara ya utumwa iliyohusisha waarabu ilihali ushahidi wa kihistoria upo kuthibitisha hilo ni kitendo cha kihaini na uzandiki wa kihistoria.