Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Tafakuri ya FaizaFoxy 7: Shule za kusomea ujinga. Tanzania na propaganda za Udini Shuleni

Anasema Moresby Treaty ilikuwepo 1822 lakini anaonyesha maandishi yakisema Moresby Treaty ilisainiwa 1873. Heri nibaki na ujinga wangu.

Amandla...
 
Anasema Moresby Treaty ilikuwepo 1822 lakini anaonyesha maandishi yakisema Moresby Treaty ilisainiwa 1873. Heri nibaki na ujinga wangu.

Amandla...
ameshibwa ubwabwa tu hamna kitu hapo. hivi hata akiongea, unahisi hata harufu ya msomi kweli hapo?
 
Prof.yuko sawa.
Ingawa kuna ujinga kuhusisha dini ya Uislamu na uarabu.
Kwenye kuran tukufu mtume wetu Muhammad S.A anatuasa kuitafuta elimu hata Uchina.
Madharila ya biashara ya Utumwa yalifanywa hata na Wazungu wakiwemo Wareno,Wabelgiji,Wajerumani,Wafaransa na Waingereza kwa namna ya mifumo yao ya utawala katika Dunia ya wakati huo.
 
ila kuna baadhi ya dini ukiendekeza sana ubongo unapungukiwa akili, haufikirii nje ya box tena zaidi ya dini. hapo kinachosafishwa ni uislam na uarabu, wala issue sio utumwa. imagine huyu ni profesa lkn akiongea hana hoja kama darasa la saba. kuna umuhimu pia wa kureview chuo cha muslim cha morogoro tuone wanafundisha nini na wanafunzi wanaotoka pale wana uwezo gani.
 
Acha kutetea waarabu kisa tu wewe ni muislam, waarabu walifanya sana biashara ya utumwa hakuna la kuficha katika suala hili.

Hoja yenu ya uwepo wa waafrika wengi ulaya kuliko uarabuni ni kwasababu waarabu walikua wanawahasi watumwa wanaume wa kiafrika.
 
huyo profesa cha kwanza yeye mwenyewe ana asili ya uarabu, anatetea babu zake, na anavyowaita wenzie waswahili, anajitenga. babu zake wamefanya sana unyama sasa anataka kutumia dini kuwasafisha. hivi mwarabu atasafishika kweli? hawa ndio ndugu zake Tipu Tip.
 
Huyo profesa uchwara mwenyewe ni MWARABU KOKO, unatarajia aongee nini?

Hizo ndio tafiti zinazosomwa kwenye tarawea
 
waarabu walikua wanawahasi watumwa wanaume wa kiafrika.
Utachukuliwaje Utumwa in the first place kubali hata kufir*wa hadi leo Mzungu na Mwarabu wanababaikiwa sana na Wanaume wa Kiafrika.
 
Miaka yote niliyosoma sijawahi kuambiwa kuwa waislamu walihusika katika biashara ya watumwa. Tuliambiwa waarabu ndio walihusika. Hivyo hivyo hatukuambiwa tulitawaliwa na wakristu bali wajerumani na waingereza. Haya mambo ya kuangalia kila kitu kwa darubini la udini yanayoletwa na watu kama huyu profesa ndio yatakayotufikisha pabaya. Sio michoro ambayo anaishupalia.

Amandla...
 
Hivi hawa wanaoleta mambo kama haya wana ndugu au rafiki wasio wa dini yao? Kama wanao itakuwa kwa kinafik tu.

Amandla...
 
FaizaFoxy , asante sana kwa mada hii. Naomba kukiri mimi ni miongoni mwa tulio ingizwa chaka na michoro hii, kumbe tulikuwa tunadangwa kwa michoro ya kuchorwa, jee vipi kuhusu zile picha za camera, kama hizi
View attachment 2212044
nazo ni za uongo?.
P
Mayalla achana na hiki kibibi hakina akili kabisa
 
Mara nyingi sana hapa JF nimekuwa nikitumia usemi "Hizo shule mlienda kusomea ujinga/?". Hapa chini naweka mojawapo ya mfano hai wa kusomeshwa ujinga, ambao umefanyiwa tafiti na Profesa ukuyakinisha kauli yangu hiyo. Huu ni baadhi tu ya ujinga tunaosomeshwa.

Nayaleta haya kwa kuwa bila ya kuyaongea na kuyaweka wazi hayatakoma na wale tulioaminishwa ujinga huu tujionee jinsi tunavyosomeshwa ujinga.

Tafadhali jionee hii video kabla hujajibu kijinga...

Hivi wewe kibibi gagula udini utakufikisha wapi?
 
Profesa anasema Seyyid Said alizuia biashara ya utumwa baada ya kusaini Moresby Treaty mwaka 1822. Hii sio kweli. Mpaka alipokufa mwaka 1856 Seyyid Said hakuwahi kupinga utumwa. Moresby Treaty ilimkataza kupeleka watumwa India na kwenye himaya yote ya Uingereza. Ilimkataza pia kuuza watumwa kwa wakristu kutoka nchi yeyote. Kwa vile Uingereza ilipiga marufuku biashara ya utumwa mwaka 1807 katika himaya yake mataifa mengine ya ulaya yakaanza kutafuta source mbadala na hivyo kukimbilia soko la watumwa la Zanzibar.

Moresby Treaty haikumzuia Seyyid Said kufanya biashara ya utumwa na waarabu wenzake. Hii biashara iliendelea mpaka Seyyid Barghash aliposhinikizwa kuiacha mwaka 1873. Kwa vile kilichopigwa marufuku kilikuwa biashara ya utumwa, sio utumwa wenyewe, watumwa waliendelea kuwepo mpaka 1909.
Pwani ya Tanzania imekuwa ikifanya biashara na waarabu, wahindi, wachina n.k. kwa mamia ya miaka kabla ya Seyyid Said kuja Zanzibar.

Profesa anasema Seyyid Said alimwambia mtoto wake awazuie wafaransa kununua watumwa ati kwa sababu hakupenda ukatili wao dhidi ya watumwa. Huu ni uongo mwingine maana Seyyid Said alifanya hivyo kuzingatia Moresby Treaty iliyomkataza kuwauzia watumwa wakristu. Tukumbuke kuwa mkataba ule ulipelekea Uingereza kuwa na mwakilishi wake Zanzibar. Bila shaka Seyyid Said alifanya hivyo kwa kuhofia kukorofishana na Uingereza na sio kwa sababu aliwapenda sana watu weusi.

Amandla...
 
Mb zimepanda.... Toa tu maelezo tutachangia... Ila kama mada video inahusu biashara ya utumwa kwa waabu na hyo video inatetea waarabu hawajafanya biashara ya utumwa.. Itakuwa wewe na huyo alioandaa documentary ni wajinga wote...
😂😂😂
 
Majibu ya kiakili yapo kwenye video niliyoiweka, ya Professa wa uhakika. Umeitazama? Au ndiyo mpaka shemeji aje nyumbani ndiyo upate bando la uhakika?
Shemeji yangu ndio ameingia maskani muda si mrefu, alipoingia tu akanikuta nimeweka miguu yangu juu ya meza aliyoagiza kutoka Uturuki kwa gharama ya milion 50 za Kenya, ameniambia bundle lake hatuwezi kutumia kutazama video za kijinga jinga kama hiyo. Bora tuangalie video ya Mwijaku na Menina.
 
Haridhishwi na dada'ko huyo, nakushauri anza kumridhisha wewe.
 
No research, no right to speak, FAIZA FOX umewahi fanya utafiti Gani na juu ya nini au umewahi kuandika KITABU Gani tukisome?
Usilolijuwa ni usiku wa kiza.

Jifunze kutafuta nyuzi za FaizaFoxy humu JF halafu rudi uulize hilo swali lako kwa mara nyingine.
 
Hao mabeberu walikuwa wananunua watumwa kutoka kwa waarabu na kuwapeleka huko Marekani.

Kukanusha kutokea kwa biashara ya utumwa iliyohusisha waarabu ilihali ushahidi wa kihistoria upo kuthibitisha hilo ni kitendo cha kihaini na uzandiki wa kihistoria.
Umeitazama video au unakurupuka tu?
 
Back
Top Bottom