Mimi hujiuliza: Hawa wanaojiona TEC na wenye “PhD” za maisha ya Yesu walikuwa wapi Waislamu walipokuwa wanauawa? Walikuwa watu wa chai, wametulia kimya. Kibiti hakikukalika; watu waliuawa bila hatia na wakaendelea kuhalalisha kwa mahubiri yao.
Kila Jumapili waliwaita waliouawa magaidi. Masheikh wa mwanzo waliuawa kwa tuhuma za ugaidi, wengine wakafungwa, na baadhi yao hivi majuzi tu wameshinda kesi za rufaa. TEC ilitoa barua kuhusu maonevu yale.
Lakini tunawaambia kuwa hatudanganyiki, na kama nchi ikiingia kwenye machafuko, wao ndiyo wa kwanza kuangamia.
Soma pia:
TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu