PostGE2025 Tafakuri ya Waraka wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC)

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama Mimi fala wewe hayawani na mange. Kuna issue ganiuhimu inayozungumzi au TEC walichozingimzi kama si pure udini! Unakuja hapa Una ana sauti kama MTU nakusukumia mchi eti maana ya TEC haijui. Na huyu moderator eti ameungamisha na issue ya Lisu Mimi nimesema walipokuwa Waislamu. Au masheikh kifungwa vifungo virefu Kwa ajili ya Imani yao? Sasa hiyo Dec 9 waambie waandamane na wadai Hakinyao huku wakiongozwa na TEC. Msitiletee upuuzi wetu. Mwaka huu kitaumana hapa. Nyinyi wakiristo mko CHADEMA na Lisu Sisi Waislamu tuko na CCM pamoja na mama Samia. Sasa jitoweni fahamu
Vichwa bapa mna nongwa, unatudolishia uko na mama samia kwahyo unataka akakunyonyeshe?🤣🤣🤣🤣
 
Waliokufa wengi Wana Nguruwe wewe mjinga! Kwani mliwahamasisha vijana wadogo makanisani haswa wa RC. Lakini mwaka huu kitaeleweka
Una husda na ukristo kama vita ya wake wenza!.... haiyaa basi wote walokufa wakristo Wala nguruwe, na makafiri. waislamu hamjapata hata mkwaruzo! Umefurahi sasa?!
 
walikuwa wapi Waislamu walipokuwa wanauawa?
Hakuna Waislam wala uislam hapa Tanzania... Kama wangekuwepo wasingekubali kutongozwa na mwanamke...

Hao waliouawa kipindi kile walikuwa ni wahalifu na vibaka tu.
 
Mimi hujiuliza: Hawa wanaojiona TEC na wenye “PhD” za maisha ya Yesu walikuwa wapi Waislamu walipokuwa wanauawa? Walikuwa watu wa chai, wametulia kimya. Kibiti hakikukalika; watu waliuawa bila hatia na wakaendelea kuhalalisha kwa mahubiri yao.

Kila Jumapili waliwaita waliouawa magaidi. Masheikh wa mwanzo waliuawa kwa tuhuma za ugaidi, wengine wakafungwa, na baadhi yao hivi majuzi tu wameshinda kesi za rufaa. TEC ilitoa barua kuhusu maonevu yale.

Lakini tunawaambia kuwa hatudanganyiki, na kama nchi ikiingia kwenye machafuko, wao ndiyo wa kwanza kuangamia.

Soma pia: TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu
Kwa waliouawa kwenye maandamano ya 29th, Oct walikuwa ni imani/dini tofauti na ambao hawaamini huyo Mungu/Allah wenu mlioletewa na Wazungu/Waarabu.
Secondly ni ujinga uliokithiri kulazimisha TEC watetee kitu ambacho kwa mitazamo na judgement yao hakipaswi kutetewa, si lazima watu wafanane mitazamo and that's the reality whether you like it or not. Kama wewe ambavyo una uhuru wa kuwa na maoni yako nao wana uhuru wao kuwa na maoni yao hata kama hauyapendi. BAKWATA pia wamekuwa na maoni yao lakini hawajawahi kutetea hao Waislamu walioitwa magaidi so why are you biased kwenye kutoa lawama?
 
Tukisema kobaz ni wehu mnakasirika hii hapa angalia

View attachment 3502765
Hii👆🏾 umemtandika kwenye mshono kwani BAKWATA hawajawahi kuwatetea Waislamu wanapokuwa wananyanyaswa na serikali.
Yaani badala ya kulalamika BAKWATA haitetei Waislamu wanalalamikia TEC, strange world japo TEC huwa hawana baya wanawatetea tu hivyohivyo.
 
Mmetumwa kuchochea kadi ya udini ? Genz hawaelewi hayo mambo, wenyewe ni haki haki haki
 
Sisi Mapadre na maaskofu mkatoliki akiwa madarakani watu wakiuwawa na kutekwa huwa tunaenda mbingu ya kwanza mungu anatuambia siyo serekali iliyofanya mauaji wala utekaji hata tundu lisu kupigwa risasi mungu alituambia siyo magufuli
 
Mimi hujiuliza: Hawa wanaojiona TEC na wenye “PhD” za maisha ya Yesu walikuwa wapi Waislamu walipokuwa wanauawa? Walikuwa watu wa chai, wametulia kimya. Kibiti hakikukalika; watu waliuawa bila hatia na wakaendelea kuhalalisha kwa mahubiri yao.

Kila Jumapili waliwaita waliouawa magaidi. Masheikh wa mwanzo waliuawa kwa tuhuma za ugaidi, wengine wakafungwa, na baadhi yao hivi majuzi tu wameshinda kesi za rufaa. TEC ilitoa barua kuhusu maonevu yale.

Lakini tunawaambia kuwa hatudanganyiki, na kama nchi ikiingia kwenye machafuko, wao ndiyo wa kwanza kuangamia.

Soma pia: TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu
Hili swala sio la udini. Na tujihadhari sana CCM inataka kuwatumia Waislamu wasaka tonge kututoa katika reli
 
Kidogo ni kama dishi limeyumba, TEC wanaongelea hoja ya kitaifa wewe unaongelea Uislamu? Kwenye tamko lao wameongea chochote kuhusu wakristo au wameongea kuhusu vifo vya Watanzania? Katika haya mauaji ya Oct-29 waliokufa ni wakristo to au na waislamu pia? Watu kama ninyi mliofungwa mind za udini hamfai kwenye taifa letu.
 
Mkatoliki wewe! Kumbe ndiyo maana juzi umekula nyama ya nguruwe?
 
Ndiyo sisi wakatoliki huwa tunakula nguruwe kwasababu hata biblia yetu hatuifati maana
Walawi 11:7-8 inasema
“Na nguruwe, kwa sababu ana kwato, naam, amepasua kwato, lakini hacheui; huyo ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.

Ila sisi ni wazee wa maslahi tunakula chochote
 
Hili swala sio la udini. Na tujihadhari sana CCM inataka kuwatumia Waislamu wasaka tonge kututoa katika reli
RC na TEC wameanza Sisi tunamaliza usiilaumu CCM. Mbona huwalaumu CHADEMA mikutano Yao walipokuwa wakifanya TEC kurasini?
 
Kidogo ni kama dishi limeyumba, TEC wanaongelea hoja ya kitaifa wewe unaongelea Uislamu? Kwenye tamko lao wameongea chochote kuhusu wakristo au wameongea kuhusu vifo vya Watanzania? Katika haya mauaji ya Oct-29 waliokufa ni wakristo to au na waislamu pia? Watu kama ninyi mliofungwa mind za udini hamfai kwenye taifa letu.
TEC hawaongei hoja za Kitaifa Bali hoja za RC. Kama kawaida wanajidanganya wao ndiyo wamiliki halali wa nchi na hawawezi kufungua mdomo Yao inayonuka uzinzi. Lakini safari hii mpaka kieleweke?
Agenda Yao wanahisi tuko 1970s na RC hegemony yao
 
Mimi hujiuliza: Hawa wanaojiona TEC na wenye “PhD” za maisha ya Yesu walikuwa wapi Waislamu walipokuwa wanauawa? Walikuwa watu wa chai, wametulia kimya. Kibiti hakikukalika; watu waliuawa bila hatia na wakaendelea kuhalalisha kwa mahubiri yao.

Kila Jumapili waliwaita waliouawa magaidi. Masheikh wa mwanzo waliuawa kwa tuhuma za ugaidi, wengine wakafungwa, na baadhi yao hivi majuzi tu wameshinda kesi za rufaa. TEC ilitoa barua kuhusu maonevu yale.

Lakini tunawaambia kuwa hatudanganyiki, na kama nchi ikiingia kwenye machafuko, wao ndiyo wa kwanza kuangamia.

Soma pia: TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu
Wewe mpumbavu kwani katika hawa 10,000 waliouwawa na Samia hakuna Waislam ?
 
Mimi hujiuliza: Hawa wanaojiona TEC na wenye “PhD” za maisha ya Yesu walikuwa wapi Waislamu walipokuwa wanauawa? Walikuwa watu wa chai, wametulia kimya. Kibiti hakikukalika; watu waliuawa bila hatia na wakaendelea kuhalalisha kwa mahubiri yao.

Kila Jumapili waliwaita waliouawa magaidi. Masheikh wa mwanzo waliuawa kwa tuhuma za ugaidi, wengine wakafungwa, na baadhi yao hivi majuzi tu wameshinda kesi za rufaa. TEC ilitoa barua kuhusu maonevu yale.

Lakini tunawaambia kuwa hatudanganyiki, na kama nchi ikiingia kwenye machafuko, wao ndiyo wa kwanza kuangamia.

Soma pia: TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu
Achana na TEC! Weka hapa tamko la Bakwata kulaani hayo mauaji ya Waislamu huko Kibiti na Mkuranga. Haiwezekani chombo kinacho wawakilisha Waislam nchini kishindwe kutoa tamko la kulaani hayo mauaji!
 
Si ajabu sisi wana CCM tunaitwa "primitive". GEN Z wanaingia kwenye mitandao ya JWTZ na kufyonza taarifa nyeti.

Leo yule wanayemuita Rais wao wa GEN Z, Abil au Habil,ameingia kwenye mfumo wa vyombo vya ulinzi likiwemo JWTZ.
Ni hatari mno.
 
Back
Top Bottom