Una leta udini sasa wew ulitaka tec waje kuongelea mambo yenu bakwata wapo kimya 😂 .Mimi hujiuliza: Hawa wanaojiona TEC na wenye “PhD” za maisha ya Yesu walikuwa wapi Waislamu walipokuwa wanauawa? Walikuwa watu wa chai, wametulia kimya. Kibiti hakikukalika; watu waliuawa bila hatia na wakaendelea kuhalalisha kwa mahubiri yao.
Kila Jumapili waliwaita waliouawa magaidi. Masheikh wa mwanzo waliuawa kwa tuhuma za ugaidi, wengine wakafungwa, na baadhi yao hivi majuzi tu wameshinda kesi za rufaa. TEC ilitoa barua kuhusu maonevu yale.
Lakini tunawaambia kuwa hatudanganyiki, na kama nchi ikiingia kwenye machafuko, wao ndiyo wa kwanza kuangamia.
Soma pia: TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu
MATHAYO 15:11 "Sikilizeni, MFAHAMU; sicho kiingiacho kinywani kimtiacho mtu unajisi; bali kitokacho kinywani ndicho kimtiacho mtu unajisi. Pia soma ufafanuzi zaidi mstari wa 15-20.Ndiyo sisi wakatoliki huwa tunakula nguruwe kwasababu hata biblia yetu hatuifati maana
Walawi 11:7-8 inasema
“Na nguruwe, kwa sababu ana kwato, naam, amepasua kwato, lakini hacheui; huyo ni najisi kwenu. Msile nyama yao, wala msiiguse mizoga yao; hao ni najisi kwenu.
Ila sisi ni wazee wa maslahi tunakula chochote
fuatiliaMimi hujiuliza: Hawa wanaojiona TEC na wenye “PhD” za maisha ya Yesu walikuwa wapi Waislamu walipokuwa wanauawa? Walikuwa watu wa chai, wametulia kimya. Kibiti hakikukalika; watu waliuawa bila hatia na wakaendelea kuhalalisha kwa mahubiri yao.
Kila Jumapili waliwaita waliouawa magaidi. Masheikh wa mwanzo waliuawa kwa tuhuma za ugaidi, wengine wakafungwa, na baadhi yao hivi majuzi tu wameshinda kesi za rufaa. TEC ilitoa barua kuhusu maonevu yale.
Lakini tunawaambia kuwa hatudanganyiki, na kama nchi ikiingia kwenye machafuko, wao ndiyo wa kwanza kuangamia.
Soma pia: TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Lissu
Wadini wa Mwanzo na cancer ya nchi hii ni TEC. Kwa nini sijawasema wasabato, walutheri na makanisa mengine na specifically nimesema TEC. Sasa wewe unataka kuleta udini Kwa kuyaingiza madhehebu mengine ya kikristo..Nimetaja TEC Kwa Sababu wao ndiyo wapuuzi WA nchi hiiUna leta udini sasa wew ulitaka tec waje kuongelea mambo yenu bakwata wapo kimya 😂 .
ukija na sera zako kama hizo vp yale makanisa yaliyokuwa yanapigwa mabomu Kama olasiti arusha.
Kaa chini tafakari usikurupuke tuu.walio kufa wapo waislamu na wakristo pia wapo ambao hata kanisani wala mskitini hawaendi kabisa.
Lakn mm hapa naweka dini yangu pembeni .kwa sababu yule ni binadamu mwenzangu sipendi sana kusema sababu ni mtanzania mwenzangu.
Sababu hata hii ikitokea kenya ,uganda na pia kweny nchi ambazo bado kuna vita naumi sana mfano rusia ,Ukraine,Israel,Afghanistan n.k
Naumia sababu ni binadamu wenzangu siyo sababu ni wakristo ,waislamu hapan
Sababu hizo unazo leta hapa ndio chanzo cha divide and rule .
Mbona kkt wametoa waraka wao.Wadini wa Mwanzo na cancer ya nchi hii ni TEC. Kwa nini sijawasema wasabato, walutheri na makanisa mengine na specifically nimesema TEC. Sasa wewe unataka kuleta udini Kwa kuyaingiza madhehebu mengine ya kikristo..Nimetaja TEC Kwa Sababu wao ndiyo wapuuzi WA nchi hii
Mimi hujiuliza: Hawa wanaojiona TEC na wenye “PhD” za maisha ya Yesu walikuwa wapi Waislamu walipokuwa wanauawa? Walikuwa watu wa chai, wametulia kimya. Kibiti hakikukalika; watu waliuawa bila hatia na wakaendelea kuhalalisha kwa mahubiri yao.
Kila Jumapili waliwaita waliouawa magaidi. Masheikh wa mwanzo waliuawa kwa tuhuma za ugaidi, wengine wakafungwa, na baadhi yao hivi majuzi tu wameshinda kesi za rufaa. TEC ilitoa barua kuhusu maonevu yale.
Lakini tunawaambia kuwa hatudanganyiki, na kama nchi ikiingia kwenye machafuko, wao ndiyo wa kwanza kuangamia.
Soma pia: TAMKO: Baraza la Maaskofu Katoliki walaani mauaji Kibiti na shambulio kwa Tundu Liss
Akili za kuku hizoKwa hiyo mmekuja kulipiza? Una uhakika kwamba hawakukemea? Sema kwa vile hatukuwa na digital tools za uhakika kama sasa hivi! Wale hawawezi kunyamazia maovu! Usiwalinganisha na PhD za Madrasatul Abiyah!
Mungu yupi?Sisi Mapadre na maaskofu mkatoliki akiwa madarakani watu wakiuwawa na kutekwa huwa tunaenda mbingu ya kwanza mungu anatuambia siyo serekali iliyofanya mauaji wala utekaji hata tundu lisu kupigwa risasi mungu alituambia siyo magufuli
At least kuku wanazo wewe huna kabisa. Ndiyo maana ukawa msukule wa TECAkili za kuku hizo
Hii ni fake. Barua hii hii pia mmeshaituma hapa ikilaani Kupiga Kwa Lisu. Tofauti no heading Tu. Mnatifanya mafala tafuta nyengine kenge weweWalikuwa hapa ,Ndugu yangu katika imani Kizibao View attachment 3503028
Waarabu koko utawajua tu kwa ubishi wao wa kijinga hata hawaoni aibu!!!Hii ni fake. Barua hii hii pia mmeshaituma hapa ikilaani Kupiga Kwa Lisu. Tofauti no heading Tu. Mnatifanya mafala tafuta nyengine kenge wewe
Wewe huu uharo ulioandika hapa unaweza kutumika kupewa kitanda Mirembe . Sasa subiri kama watatoa Tangazo Jengine..Waarabu koko utawajua tu kwa ubishi wao wa kijinga hata hawaoni aibu!!!
Mmepewa waraka ulioandikwa sasa bado mnalazimishanili tu !!