Wao wanahisi gari ni gari tu mradi litembee, wao wapande tu ila mambo kwa ground ni mziki.π€£π€£π€£ Hakuna mtu ambaye hapendi vizuriHahah hivi mkuu wanawake hua wanajua tofauti ya magari au wakionaga benz na vitz wanaona tu gari ni gari?
Nimeuliza nikijiuliza hivi hua wanajua inagharimu kiasi kuiweka gari kama hio benz barabarani?
Hahahah utajuaje unakimbiza bila overtakes? Lazma ukate body zingine ndio ujue chuma ni kichaa πππHii kwa road heshima itaongezeka zaidi.. sipendagi ligi ila huwa nakimbiza sana gari
Benz kujaa sio rahisi na hata zikijaa bado haitabadili swala la kuwa spear zake na maintanance ni aghali. Chukulia mfano tu oil fully synthetic unanunua laki kasoro hapo hujazungumzia filter.Zikishajaa Benzi bongo, mafundi na spares zitajaa.
Kipindi cha nyuma Subaru na Nissan zilikuwa zinaogopwa sana. Ila sahivi kila kitu mteremko.
Ukiwa una wahi lazima u overtake,.. ila haimaanishi kwamba ndio tuanze kufukuzana πππ.. huwa nashindana mwenyewe tu..Hahahah utajuaje unakimbiza bila overtakes? Lazma ukate body zingine ndio ujue chuma ni kichaa πππ
Na uchumi wa dunia unaenda kuzorotaBenz kujaa sio rahisi na hata zikijaa bado haitabadili swala la kuwa spear zake na maintanance ni aghali. Chukulia mfano tu oil fully synthetic unanunua laki kasoro hapo hujazungumzia filter.
Hahahah michelin mkataba.Kweli, hata crown athlete sio mbaya maana huwa najikuta 160 chap.. na sioni kama nakimbia.. nikiwa na huyo mnyama πππ.. nitaenda road ya kahama paka chato ... nifanye yangu.. natupia kwanza tyre za michelin hizo za kwao natoa
We hutofautiani na jamaa yangu flani, yeye gari ambazo hazina power hanunuagi, juzi kaagiza Brevis mpya na ndio gari yake pendwa hua ananunua na kuuza after a while.πππ ila kuitoa mafua lazma akanyage Moro-Chuga chap πUkiwa una wahi lazima u overtake,.. ila haimaanishi kwamba ndio tuanze kufukuzana πππ.. huwa nashindana mwenyewe tu..
Zile tyre ni konki.. niliziweka kwa ka crown. Japo sikuzitendea haki zile tyreHahahah michelin mkataba.
Hakikaπ hata maaskari wanaelewaga ndio maana ni ngumu kukuta Majesta imepigwa mkono π€£Heshima nyingi sana kwa wanaopush hio kitu hapo mjini dar,hakika waagize mtori nitawalipia maana kwa foleni ya dar kitu cha wese hapo ni utata.
Ila ukiwa nalo mkoani fresh tu,hakuna foleni.
Nzuri sana kiukweli, ni tyre ya uhakika kwa wapenda mbio. Huwez kukuta Michelin imevimba kijinga kama tairi za DongFeng au Linglong maana ndani ina waya haina uziZile tyre ni konki.. niliziweka kwa ka crown. Japo sikuzitendea haki zile tyre
Kuna raha ya kuwa na gari ambayo ina ma nguvu ya kutosha.. hata barabarani unakuwa unajiamini yani.. sure sipendi kukaa na gari mda mrefu huwa nachoka.. ila kwa majesta nitakaa nayoo.. na ni kwasababu V8 siku nabadili hapo naenda V8 ya juu kabisa.. SUV ya maana hasa RR.. furaha yangu kuwa na gari yenye CC za kibabe nguvu ipo yani huwa na enjoy sanaWe hutofautiani na jamaa yangu flani, yeye gari ambazo hazina power hanunuagi, juzi kaagiza Brevis mpya na ndio gari yake pendwa hua ananunua na kuuza after a while.πππ ila kuitoa mafua lazma akanyage Moro-Chuga chap π
Hahahahah we ukitoka humo tafta Lexus LS350 tu sasa maana hamna namna ingine. Hizi gari ni imara sana sema bei zake mkasi ndio maana ni ngumu kuziona barabarani bongo.Kuna raha ya kuwa na gari ambayo ina ma nguvu ya kutosha.. hata barabarani unakuwa unajiamini yani.. sure sipendi kukaa na gari mda mrefu huwa nachoka.. ila kwa majesta nitakaa nayoo.. na ni kwasababu V8 siku nabadili hapo naenda V8 ya juu kabisa.. SUV ya maana hasa RR.. furaha yangu kuwa na gari yenye CC za kibabe nguvu ipo yani huwa na enjoy sana
Zile kwa mbio ndio mahala pake unachochora barabarani pasipo wasi wasi wa tyre.. sio zingine ukipaki sehemu lazima ushuke chine kuchungulia pako salamaaa ππNzuri sana kiukweli, ni tyre ya uhakika kwa wapenda mbio. Huwez kukuta Michelin imevimba kijinga kama tairi za DongFeng au Linglong maana ndani ina waya haina uzi
Ni bei ila ukiwa na ndoto unaipata. Kwa mfano sasa hivi nafanya saving najua hadi mwezi saba nitakuwa na pesa iliyokamilika kuchukua hicho chombo.. huwa sinaga haraka sana.. kwenye mambo yanayotaka pesa .Hahahahah we ukitoka humo tafta Lexus LS350 tu sasa maana hamna namna ingine. Hizi gari ni imara sana sema bei zake mkasi ndio maana ni ngumu kuziona barabarani bongo.
Hii L LS350 chuma imetulia baraa. Tuzisake noti tu chiefHahahahah we ukitoka humo tafta Lexus LS350 tu sasa maana hamna namna ingine. Hizi gari ni imara sana sema bei zake mkasi ndio maana ni ngumu kuziona barabarani bongo.
Af Benz huwa zinabadilishwa technology kila toleo ndio ubaya, yani kila mwaka wa upgrade technology sio kama Toyota inabadilishwa taa na bumper tu.πNa uchumi wa dunia unaenda kuzorota
Safi sana mkuu, kila kitu ni mipango tuNi bei ila ukiwa na ndoto unaipata. Kwa mfano sasa hivi nafanya saving najua hadi mwezi saba nitakuwa na pesa iliyokamilika kuchukua hicho chombo.. huwa sinaga haraka sana.. kwenye mambo yanayotaka pesa .
Ya ukweli sana babu..My dreamHii L LS350 chuma imetulia baraa. Tuzisake noti tu chief
Ukinunua gari na huku unajua kabisa unamaisha ya ujanja ujanja.. lazima iwe mtihani tu. Benz S class wanaomiliki wengi wao sio janja janja.. Na ndio maana najipa nafasi kabla ya kuchukua V8 sitaki abali za leo sina wese nipande uber πππAf Benz huwa zinabadilishwa technology kila toleo ndio ubaya, yani kila mwaka wa upgrade technology sio kama Toyota inabadilishwa taa na bumper tu.π
Unakuta vipuri vya jamii ya Corrolla vinaingiliana kwenye gari zote. Raum, Runx, Spacio, Vits yani tofauti ni size tu kwanini spear zisiwe rahisi? Ila kitu cha benz S class huwezi kukiweka kwenye C class au E class!
Tukaze mkono, zinapatikana kama unakuwa na mkakati wa mda mrefuYa ukweli sana babu..My dream