Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Tafiti ndogo ya ligi ya magari 2020 Desemba kwenda kaskazini ni kama hii

Ukinunua gari na huku unajua kabisa unamaisha ya ujanja ujanja.. lazima iwe mtihani tu. Benz S class wanaomiliki wengi wao sio janja janja.. Na ndio maana najipa nafasi kabla ya kuchukua V8 sitaki abali za leo sina wese nipande uber 😀😀😀
Hahahahah unatakiwa uwe na mzigo kweli 😁 sio tia maji tia maji
 
Af Benz huwa zinabadilishwa technology kila toleo ndio ubaya, yani kila mwaka wa upgrade technology sio kama Toyota inabadilishwa taa na bumper tu.😂

Unakuta vipuri vya jamii ya Corrolla vinaingiliana kwenye gari zote. Raum, Runx, Spacio, Vits yani tofauti ni size tu kwanini spear zisiwe rahisi? Ila kitu cha benz S class huwezi kukiweka kwenye C class au E class!
Mercedes Benz Acha iwe na heshima duniani.
Kuna sehemu jamaa ni staff wa hiyo kampuni analo S Class la kisasa, sehemu ya parking asubuhi unakuta mpaka wahindi na wazungu wanaitolea macho.
 
Back
Top Bottom