Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 30,567
- 86,748
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenimisi eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna sio kiviiileee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umenimisi eeh [emoji23][emoji23][emoji23]
Eti eeh 😝 hata mi naona[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna sio kiviiileee
[emoji13][emoji13] [emoji2088][emoji2088]E
Eti eeh [emoji13] hata mi naona
😍Uko poa lkn?[emoji13][emoji13] [emoji2088][emoji2088]
Hahahahah unatakiwa uwe na mzigo kweli 😁 sio tia maji tia majiUkinunua gari na huku unajua kabisa unamaisha ya ujanja ujanja.. lazima iwe mtihani tu. Benz S class wanaomiliki wengi wao sio janja janja.. Na ndio maana najipa nafasi kabla ya kuchukua V8 sitaki abali za leo sina wese nipande uber 😀😀😀
Eeh mzee account zikikusaliti tu jua nae lazma akununieHapa kunyimwa unyumba ni kitu cha kawaida kabisa 😀😀😀
Hahahah xtrail sio mbaya mkuu sini Life tuHahah daah basi ngoja tukutulize kwanza na ka nissan march afu baadae tutaku upgrade kwny x-trail mzee,😃😃😃😃 nazingua bana.
Mercedes Benz haziwezi kujaa watu hata zile A na B class wanaziogopa.Benz kujaa sio rahisi na hata zikijaa bado haitabadili swala la kuwa spear zake na maintanance ni aghali. Chukulia mfano tu oil fully synthetic unanunua laki kasoro hapo hujazungumzia filter.
Mercedes Benz Acha iwe na heshima duniani.Af Benz huwa zinabadilishwa technology kila toleo ndio ubaya, yani kila mwaka wa upgrade technology sio kama Toyota inabadilishwa taa na bumper tu.😂
Unakuta vipuri vya jamii ya Corrolla vinaingiliana kwenye gari zote. Raum, Runx, Spacio, Vits yani tofauti ni size tu kwanini spear zisiwe rahisi? Ila kitu cha benz S class huwezi kukiweka kwenye C class au E class!
Niko bien Mtu wangu[emoji7]Uko poa lkn?
Misyu misyu, karibu kwangu tusogezee masaa 😍Niko bien Mtu wangu
Benz ni luxury segment.Mercedes Benz Acha iwe na heshima duniani.
Kuna sehemu jamaa ni staff wa hiyo kampuni analo S Class la kisasa, sehemu ya parking asubuhi unakuta mpaka wahindi na wazungu wanaitolea macho.
I miss you moreMisyu misyu, karibu kwangu tusogezee masaa [emoji7]
Niko Tbt hiviI miss you more
Uko pande za wapi
Tbt kubwa bablaiNiko Tbt hivi
Kimangani hukuTbt kubwa bablai
Tbt ziko kama kumi na ushee hivi
Kitaa kabisa hukoKimangani huku
Usije ukawa mtoto wa bamdogo asee. Mie pia nna aunt hapo fyadeKitaa kabisa huko
Nina ndugu zangu mawenzini hapo
Duuh sehemu ganiUsije ukawa mtoto wa bamdogo asee. Mie pia nna aunt hapo fyade