Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
tumeambiwa haujaenda mwembeni.Kawaida dada
Hauko serious naona. Aaagh.
Nenda kaonyeshe CV. Bila hivyo bado vijana watakudharau.
tumeambiwa haujaenda mwembeni.Kawaida dada
Kasema umbo lake ni cv toshaAna CV mbovu?
1st impression ni last impression
Na watazid kumchezeatumeambiwa haujaenda mwembeni.
Hauko serious naona. Aaagh.
Nenda kaonyeshe CV. Bila hivyo bado vijana watakudharau.
Ye ndo hajatokea bwanaatumeambiwa haujaenda mwembeni.
Hauko serious naona. Aaagh.
Nenda kaonyeshe CV. Bila hivyo bado vijana watakudharau.
Tapeli huyoKasema umbo lake ni cv tosha
Kwanza huna 50,Wewe msanii! Namba nimekupa ungenipigia.
Umekosa hela nilikua nimekuandalia buku 50 kama ningeipenda CV yako
Kama upo serious nipigieYe ndo hajatokea bwanaa
Basi tufanye hivi.Ye ndo hajatokea bwanaa
Kwanza 50 ninayoKwanza huna 50,
Pili hujatokea,
Tatu wee ni mwanamke mwenzangu sijui ulikuwa unataka nini ,wewe ni lesbian
Astagafurirah 😂😂😂😂 Marry ww ni jasiri sana.Kwanza huna 50,
Pili hujatokea,
Tatu wee ni mwanamke mwenzangu sijui ulikuwa unataka nini ,wewe ni lesbian
Mm huwa sifichi kitu ni binadamu niliye huru kwenye nchi huruBasi tufanye hivi.
next time ukipanga kukutana na mtu ww fika eneo husika na piga picha kama ushahidi.
Kuwa ulifika na jamaa hajatokea.
Kwa leo tuweke 50/50 . Ila CV muhim sana kuonyesha vijana . Hasa hawa wa dsm.
Au unafikiriaje?.
Marry anatuchangamsha
Alitaka athaminishe CV yako, usije ukawa tapeli. Kama mwamposaKwanza huna 50,
Pili hujatokea,
Tatu wee ni mwanamke mwenzangu sijui ulikuwa unataka nini ,wewe ni lesbian
Hayuko serious. Angepiga sim.Marry anatuchangamsha
Njmegundua yeye ndo tapeliAlitaka athaminishe CV yako, usije ukawa tapeli. Kama mwamposa
Nimesafisha ghetto, nimejaza gesi akija anioneshe ufundi wa kupikaHayuko serious. Angepiga sim.
Nimechukia sana kwakweli.
😂😂😂😂
Halafu mwamposa ni tapeli kwenye angle ipiAlitaka athaminishe CV yako, usije ukawa tapeli. Kama mwamposa
Okay hebu tulimalize hili.Mm huwa sifichi kitu ni binadamu niliye huru kwenye nchi huru
Kwahiyo mtakuwa wangapi,kwamba Mimi ni mrahisi kiasi cha kumkubalia kila mtuOkay hebu tulimalize hili.
uko saloon maeneo gan? .
Naomba nitumie sms namba yangu hii 0765981245.