Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

nimekutag. Usome uje utume mrejesho.

Kama hujui kipimo cha ukichaa basi ni kile .
Ukiuelewa ule uzi tu. Basi Mirembe inakuhusu 😂😂😂😊
😅😅 Sawa mkuu ntaleta feedback
 
Sawa kila mtu na vipaumbele vyake
naomba uonane na ndugu yangu. Japo umsikilize tu. Ni mwanaume mchapakazi na yuko na malengo ya maisha.

Muungane msukume pamoja.
Havuti sigara wala bangi. Pombe ni kwa nadra sana. Ana biashara yake pale Kinyerez mwemben.

Ni mtu makin sana. Hebu nenda msikilize .
 
Umeusoma?
Au umevurugikiwa tayar ?.😂😂😂😂😂
mmh!! kama nataka kuelewa afu selew, mwisho wakuelewa ni jamaa alipo enda kuzima fen, ila kwingine giza, ngoja nrudie tena maybe nkaelewa
 
Shikamoon wakubwa zangu wote

Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani.

Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini asipofanikisha zoezi lake atakuita Málaya,sasa kwanini umuite Malaya mtu hajalala na wewe.

Humu jamiiforum ndiyo kabisa,mtu hakijui,hajawahi kukuona anakwambia wewe ni Malaya mara unauza,heeee,jamani si rahisi hivyo acheni dharau.

Kwani hamjawahi kutongoza mkakataliwa? Mbona ni kawaida na si kila mtu anapenda pesa,na hii nimekutana nayo hata humu ,eti weka namba nikutumie pesa,ili iweje,nitakuwa mwanamke wa Aina gan, mwingine akiona hutaki chochote anasema huyu ni mwanaume,haaa ina maana Dunia imefikia pabaya hivoo kiasi cha kuona ukimtamkia mwanamke pesa basi utakubaliwa?

Binafsi wakati nakua naanza kutongozwa nilijifunza mambo mengi Sana juu ya kukubalika na kuona wapo watu Wana tamaa watakutumia na kukutelekeza mwishowe mtu uaibike.

Mfano unaweza kutongozwa na watu wote mtaani , handsome boy , wanaume watu wazima na kila Aina ya mtu,lakini anatokea mtu mmoja ninwa kawaida si mzuri kivile ,wala Hana pesa kivile,lakini hakutongozi wala hahangaiki na wewe mpaka unashangaa ,lakini utakuta ana wanawake zake kibao ila wewe kakuacha hata hajataka kujaribu.

Niseme tu kaka zangu wa jamii forum hamuwezi kupendwa na kukubalika na kila mtu, na ongezeeni mbinu na ufundi wa kutongoza,yaani kutongozwa ni Raha hasa ukimkuta fundi wa maneno ,yaani hata Ch**i unajikuta inaloa,yaani kama inataka kuvuka yenyewe,acheni kutanguliza pesa tu,hela yenyewe mnayo?
Hao Wana pesa hawana hela
 
Hela kipengele. Labda nikajifunze upya darasani kamusi la kutongozea.
 
Back
Top Bottom