Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

Shikamoon wakubwa zangu wote

Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani.

Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini asipofanikisha zoezi lake atakuita Málaya,sasa kwanini umuite Malaya mtu hajalala na wewe.

Humu jamiiforum ndiyo kabisa,mtu hakijui,hajawahi kukuona anakwambia wewe ni Malaya mara unauza,heeee,jamani si rahisi hivyo acheni dharau.

Kwani hamjawahi kutongoza mkakataliwa? Mbona ni kawaida na si kila mtu anapenda pesa,na hii nimekutana nayo hata humu ,eti weka namba nikutumie pesa,ili iweje,nitakuwa mwanamke wa Aina gan, mwingine akiona hutaki chochote anasema huyu ni mwanaume,haaa ina maana Dunia imefikia pabaya hivoo kiasi cha kuona ukimtamkia mwanamke pesa basi utakubaliwa?

Binafsi wakati nakua naanza kutongozwa nilijifunza mambo mengi Sana juu ya kukubalika na kuona wapo watu Wana tamaa watakutumia na kukutelekeza mwishowe mtu uaibike.

Mfano unaweza kutongozwa na watu wote mtaani , handsome boy , wanaume watu wazima na kila Aina ya mtu,lakini anatokea mtu mmoja ninwa kawaida si mzuri kivile ,wala Hana pesa kivile,lakini hakutongozi wala hahangaiki na wewe mpaka unashangaa ,lakini utakuta ana wanawake zake kibao ila wewe kakuacha hata hajataka kujaribu.

Niseme tu kaka zangu wa jamii forum hamuwezi kupendwa na kukubalika na kila mtu, na ongezeeni mbinu na ufundi wa kutongoza,yaani kutongozwa ni Raha hasa ukimkuta fundi wa maneno ,yaani hata Ch**i unajikuta inaloa,yaani kama inataka kuvuka yenyewe,acheni kutanguliza pesa tu,hela yenyewe mnayo?
Ha ha umeongea sawa tu.Mimi mpaka leo hii,mwezi ujao nafikisha 65 bado natongoza,na alhamdulilahi napata sana,ika situmii fedha kabisa.Hata wakati ule nilipokuwa kijana sikuwa natumia fedha.Nina mbinu zangu nyingi tu,mojawapo ni hizi:
1.Siku zote huwa msafi na navaa nguo safi,japo sio za gharama.
2.Situmii marashi ya kunukia sana
3.Sijisifu kwa lolote na wala sijielezei kuwa nipo hivi au vile
4.Huwa naenda direct,mfano dada hujambo,akiitikia badi hapohapo,dada mimi nakutaka uwe mpenzi wangu.
5.Kila mwanamke huwa na plan yake ya kumtongizea
6.Huwa sikati tamaa,napokataliwa.
6.Na napopewa bro nanyandua vibaya,sina huruma yaani napiga kila staili na hii ndio turufu yangu kubwa,maana huwa wanaambizana,yule jamaa ananyandua balaa,basi hapo wewe hao rafiki za huyo demu watongoze utasikia wanakwambia habari zako tunazijua.Mfano hivi sasa mimi ni mkimya sana ila utawasikia mademu wakisema yule babu ananyandua balaa na wanawake wanapenda mno.
Na pia kwa sasa nafanya kwa calculations kali mno ili nisiingie kwenye kashfa.Aisee wanawake ni watamu jamani acheni tu
 
Nina mbio balaa🤣
Haka katoto ukikaangalia kwa umakini kana karibia kufanana na hako kako profile😃😄
20260403_211758.jpg
 
Ha ha umeongea sawa tu.Mimi mpaka leo hii,mwezi ujao nafikisha 65 bado natongoza,na alhamdulilahi napata sana,ika situmii fedha kabisa.Hata wakati ule nilipokuwa kijana sikuwa natumia fedha.Nina mbinu zangu nyingi tu,mojawapo ni hizi:
1.Siku zote huwa msafi na navaa nguo safi,japo sio za gharama.
2.Situmii marashi ya kunukia sana
3.Sijisifu kwa lolote na wala sijielezei kuwa nipo hivi au vile
4.Huwa naenda direct,mfano dada hujambo,akiitikia badi hapohapo,dada mimi nakutaka uwe mpenzi wangu.
5.Kila mwanamke huwa na plan yake ya kumtongizea
6.Huwa sikati tamaa,napokataliwa.
6.Na napopewa bro nanyandua vibaya,sina huruma yaani napiga kila staili na hii ndio turufu yangu kubwa,maana huwa wanaambizana,yule jamaa ananyandua balaa,basi hapo wewe hao rafiki za huyo demu watongoze utasikia wanakwambia habari zako tunazijua.Mfano hivi sasa mimi ni mkimya sana ila utawasikia mademu wakisema yule babu ananyandua balaa na wanawake wanapenda mno.
Na pia kwa sasa nafanya kwa calculations kali mno ili nisiingie kwenye kashfa.Aisee wanawake ni watamu jamani acheni tu
Waeleze babu,waambie era inawadanganya,wamehadaika ,nimekupenda bure ❤️
 
Back
Top Bottom