UmemalizaParagraph ya mwisho uliyoandika imeongea mengi sana kukuhusu... 🚩
Kuhusu chenji usijali , kaniletee sigara mbili, hamsini ikibali ya kwako , na usiwashe kama siku zile.🤣🤣🤣🤣
Kama chenji inabaki naenda.
Mzee wa hovyo Grahams unakwama wapi?Shikamoon wakubwa zangu wote
Kwanza nitashukuru baadhi ya watu humu Kwa comment na mchango yao mizuri kifupi huwa nafarijika Kwa namna fulani.
Lakini kuna watu ni wa ajabu,hawaelewi Kwa mtu huwezi kukubalika na kila mtu,na iko hivyo,hata mtaani kuna mtu atakutongoza ,atakubembeleeeeeza lakini asipofanikisha zoezi lake atakuita Málaya,sasa kwanini umuite Malaya mtu hajalala na wewe.
Humu jamiiforum ndiyo kabisa,mtu hakijui,hajawahi kukuona anakwambia wewe ni Malaya mara unauza,heeee,jamani si rahisi hivyo acheni dharau.
Kwani hamjawahi kutongoza mkakataliwa? Mbona ni kawaida na si kila mtu anapenda pesa,na hii nimekutana nayo hata humu ,eti weka namba nikutumie pesa,ili iweje,nitakuwa mwanamke wa Aina gan, mwingine akiona hutaki chochote anasema huyu ni mwanaume,haaa ina maana Dunia imefikia pabaya hivoo kiasi cha kuona ukimtamkia mwanamke pesa basi utakubaliwa?
Binafsi wakati nakua naanza kutongozwa nilijifunza mambo mengi Sana juu ya kukubalika na kuona wapo watu Wana tamaa watakutumia na kukutelekeza mwishowe mtu uaibike.
Mfano unaweza kutongozwa na watu wote mtaani , handsome boy , wanaume watu wazima na kila Aina ya mtu,lakini anatokea mtu mmoja ninwa kawaida si mzuri kivile ,wala Hana pesa kivile,lakini hakutongozi wala hahangaiki na wewe mpaka unashangaa ,lakini utakuta ana wanawake zake kibao ila wewe kakuacha hata hajataka kujaribu.
Niseme tu kaka zangu wa jamii forum hamuwezi kupendwa na kukubalika na kila mtu, na ongezeeni mbinu na ufundi wa kutongoza,yaani kutongozwa ni Raha hasa ukimkuta fundi wa maneno ,yaani hata Ch**i unajikuta inaloa,yaani kama inataka kuvuka yenyewe,acheni kutanguliza pesa tu,hela yenyewe mnayo?
Aaah we! Hiyo fuata mwenyewe.Kuhusu chenji usijali , kaniletee sigara mbili, hamsini ikibali ya kwako , na usiwashe kama siku zile.View attachment 3585983
Haya kachukue frutoAaah we! Hiyo fuata mwenyewe.
Hahaha umenifurahisha mkuu.Atakuonesha na ziada 😅
Utoe afukumi, sio unanipa buku halafu fruto mia 6🙆♂️Haya kachukue fruto
Mwana anatuangusha au alishikwa bega huko tunduma 😅m gud kabisa. Umeona manzi hiyo inataka kumfuata mwana imuonyeshe CV alaf mwamba kama anakaza hivi. Niaje niaje huyu jombaa. mamtu kashawaka alaf poti ana dera dera.
Naonana na mtu kwa sababu zenye uzito, something worth the time..Yes ili uwe mfano
Yes BroHahaha ni kawaida kabisa mkuu kuwa na imagination uliyokuwa, hasa kwa kusoma kitu ambacho kimetoka kwa mtu ambaye haujamzoea kusema kitu cha namna hiyo.
9400 inaenda kwa mashirima , baadae nitakupa kidumu , ukanifuatie mbege utamalizia hiyo mia nne basiUtoe afukumi, sio unanipa buku halafu fruto mia 6🙆♂️
Haha ni vile hajakidhi tu vigezo vya watu ninao onana nao au ninao wahitaji.Mwana anatuangusha au alishikwa bega huko tunduma 😅
CV ina tafsiri nyingi yeye hataki kujifunza aina ya CV zinginezo dah😢
Hiloooo ,kujiamini tu nyuma ya keyboard kumbe ni emptyNaonana na mtu kwa sababu zenye uzito, something worth the time..
Angalia mwingine wa kuja umuonyeshe life style yako, maana kwangu haina maana.
Sawa binti.Hiloooo ,kujiamini tu nyuma ya keyboard kumbe ni empty
Baaasiiii umemalizaHaha ni vile hajakidhi tu vigezo vya watu ninao onana nao au ninao wahitaji.
NitausomaNje ya mada hii.
JF kama unataka kuchanganyikiwa kidogo basi unaenda kufungua ule uzi wa Makanyaga .
"Mkasa wa kipekee wa kujikinga kipind cha covid..." 😂😂😂😂😂
Ukitaka kujaribu kuuelewa unakuwa chizi kabisa yaan.
Yule mwamba kiboko
Aaaah yaani napotea nayo na hunioni🤣9400 inaenda kwa mashirima , baadae nitakupa kidumu , ukanifuatie mbege utamalizia hiyo mia nne basi