Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

Iweke tafadhali ile waache kukudharau.
Na wajue kuwa wanaume weng sana wa humu umewazidi akili na Elimu. Ni vile tu ww huringi.
20260503_214919.jpg
 
Kama Mimi kuna bidhaa nauza naamini dada zako,mama zako na Shangazi zako wanazo.unaonaje ukaiungisha familia yako,muinuane kiuchumi
Hao uliowataja hawajajitangaza popote, ila wewe naona matangazo yako ya kimkakati humu kila siku, ndo maana nauliza unauzia wapi?

Niko serious naitaka hiyo U.T.I
 
Hahaha narudia tena kukwambia Mkuu hawezi kuweka hapa, lile ni biti la aina ya watu wasiokuwa na hoja.

Intelligence doesn’t shout for attention.
Baba ,kama kweli unajiamini tafuta location unione,kama unadhani Mimi ni kibungo kama wanawake zako , muonekano wangu ni CV tosha ,bado sijakuonesha nilikopita,
 
Back
Top Bottom