Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

Marhaba mdogo wangu Marry Diana .
naona unachukulia mambo ya JF serious sana. Na ndio maana hata ID umeweka jina Halisi.

Hebu jaribu kupuuza baadhi ya maneno na watu wa huku ndan.
weng wanakutibua ili utibuke alaf wanakaa kufurahia unavyotapatapa.
Kama ningekuwa napuuza ,saizi ungekomenti wapi,unadhani Una akili kuliko watu
 
😂😂😂😂 sikujua kuwa unapenda wanavyokughasi ghasi.

Basi sawa ngoja wakupe attention unayoitaka ili ufarijike.
Najua Maisha magumu.

NB: mada za kucomment ziko nying tu. Ila ww kila siku unalalamika jambo hilo hilo. Kuwa Wanaume wanakudharau. Mtu hawez kukudharau bila ww kuruhusu.
Na kwakuwa umeruhusu na unapenda. Accept that na sio kulalamika.
 
Hili si jukwaa la dini au siasa,ni jukwaa la kujadili mahusiano,urafiki sasa sijui unafanya nn kwenye Uzi usioendana na akili yako
 
"Mtu hawez kukudharau bila ww kuruhusu."

Azingatie hapo, siyo kuonyesha kisirani kwa wanaume wakati tatizo ni yeye mwenyewe.
 
Hili si jukwaa la dini au siasa,ni jukwaa la kujadili mahusiano,urafiki sasa sijui unafanya nn kwenye Uzi usioendana na akili yako
IMG_7491.jpeg
 
Back
Top Bottom