KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Kwan si ilikuwa kukutana tu.?Kwahiyo mtakuwa wangapi,kwamba Mimi ni mrahisi kiasi cha kumkubalia kila mtu
Nguvu za kiume sina! Lengo lilikua kuja kunionyesha cvSina cha kumpa mwayaaa
Hatak uumpe. Anataka mkutane.Sina cha kumpa mwayaaa
Sivutiwi na vitu vifuatavyoWakati mwingine jitahdi kulipia matangazo yako ya umalaya,vipi hauna vishanga mguuni?
Weeee koma, mwenyewe haongei yann ujitie kiherehereHatak uumpe. Anataka mkutane.
Kumbe tambo zooote zile . Kuwa CV yako iko vizur ulikuwa unadanganya?.
Unajiaibisha Marry.
Hebu kuwa mwanamke na timiza ahad zako.
Sivutiwi na vitu vifuatavyo
Chen yeyote hata rozali ilinishinda,
Vikuku siwezi abadani,
Bangili siwezi kuvaa ,labda saa na iwe ndogo,
Pia sipendi hereni kubwa
Hiyohiyo 1 Marry mimi inanitoshaNapenda shanga ila siyo mzigo wa shanga
Ndugu yangu ni msiri. Ila hili la shanga atakuja tu kutuambia kuwa unavaaga ngapi.Napenda shanga ila siyo mzigo wa shanga
Marry tuwe serious kama watu wazima, tusimwage mchele.Napenda shanga ila siyo mzigo wa shanga
Kwanza kuanzia leo mm ni wiseman wako.Marry tuwe serious kama watu wazima, tusimwage mchele.
Nije Pm?
Kama anaeleweka andaeni michango ya harusi! Marry nitamtulizaKwanza kuanzia leo mm ni wiseman wako.
Sasa nakushauri ndugu yangu. Nenda pm .
Ila na ww uwe serious. Marry ni mpweke na anahitaj mtu serious waanzishe maisha.
ww una gheto na yeye analo. Mkichanga hapo miez 3 mbele mnahamia nyumba nzur mnakaa pamoja kibaba na kimamamaa. ππππ.
Achana na MimiMarry tuwe serious kama watu wazima, tusimwage mchele.
Nije Pm?
SawaAchana na Mimi
Kama anaeleweka andaeni michango ya harusi! Marry nitamtuliza