Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,429
- 4,125
- Thread starter
-
- #41
Kama ningekuwa napuuza ,saizi ungekomenti wapi,unadhani Una akili kuliko watuMarhaba mdogo wangu Marry Diana .
naona unachukulia mambo ya JF serious sana. Na ndio maana hata ID umeweka jina Halisi.
Hebu jaribu kupuuza baadhi ya maneno na watu wa huku ndan.
weng wanakutibua ili utibuke alaf wanakaa kufurahia unavyotapatapa.
Mimi na wewe Nani ni rahisi kutapeliwa ,ww nawe Una point !Unajua kusoma kwa ufahamu na umeelewa pointi yangu iko wapi ?
Anyways kumuelewesha mtu anayeelekea kutapeliwa ni ngumu sana.
Jitahidi kusoma na kuelewa mantiki ya unachoambiwa maana hapa ulicho jibu ni tofauti na ulicho ambiwa.Kama ningekuwa napuuza ,saizi ungekomenti wapi,unadhani Una akili kuliko watu
😂Ashawahi kukuuzia?😀
Akili ndogo kuielewa akili kubwa ni kazi ya ziada, hauwezi kunielewa kwa sababu wewe ni akili ndogo.Mimi na wewe Nani ni rahisi kutapeliwa ,ww nawe Una point !
Wewe ndo mgumu kuelewa,jitahidi kutumia akili kabla hujatype chochoteJitahidi kusoma na kuelewa mantiki ya unachoambiwa maana hapa ulicho jibu ni tofauti na ulicho ambiwa.
😂😂😂😂 sikujua kuwa unapenda wanavyokughasi ghasi.Kama ningekuwa napuuza ,saizi ungekomenti wapi,unadhani Una akili kuliko watu
Ok,wewe Una akili kubwa sikuweziAkili ndogo kuielewa akili kubwa ni kazi ya ziada, hauwezi kunielewa kwa sababu wewe ni akili ndogo.
Isitokee watu kukuchosha nakuiharibu siku yako hebu kwa dakika 4 kwanza kula hii burudani toka kwa mafundi mtoto mzuri kama wewe unafaa kubembelezwa..Sawa my
Kwaheri binti, sina kawaida ya kubishana na mtu asiyekuwa na hoja zenye mantiki zaidi ya kuonyesha kisirani chake.Wewe ndo mgumu kuelewa,jitahidi kutumia akili kabla hujatype chochote
Hili si jukwaa la dini au siasa,ni jukwaa la kujadili mahusiano,urafiki sasa sijui unafanya nn kwenye Uzi usioendana na akili yako😂😂😂😂 sikujua kuwa unapenda wanavyokughasi ghasi.
Basi sawa ngoja wakupe attention unayoitaka ili ufarijike.
Najua Maisha magumu.
NB: mada za kucomment ziko nying tu. Ila ww kila siku unalalamika jambo hilo hilo. Kuwa Wanaume wanakudharau. Mtu hawez kukudharau bila ww kuruhusu.
Na kwakuwa umeruhusu na unapenda. Accept that na sio kulalamika.
"Mtu hawez kukudharau bila ww kuruhusu."😂😂😂😂 sikujua kuwa unapenda wanavyokughasi ghasi.
Basi sawa ngoja wakupe attention unayoitaka ili ufarijike.
Najua Maisha magumu.
NB: mada za kucomment ziko nying tu. Ila ww kila siku unalalamika jambo hilo hilo. Kuwa Wanaume wanakudharau. Mtu hawez kukudharau bila ww kuruhusu.
Na kwakuwa umeruhusu na unapenda. Accept that na sio kulalamika.
Nice song,nice lyrics,Isitokee watu kukuchosha nakuiharibu siku yako hebu kwa dakika 4 kwanza kula hii burudani toka kwa mafundi mtoto mzuri kama wewe unafaa kubembelezwa..
View attachment 3585959
Mbona wewe ndo mwenye kisirani"Mtu hawez kukudharau bila ww kuruhusu."
Azingatie hapo, siyo kuonyesha kisirani kwa wanaume wakati tatizo ni yeye mwenyewe.
Acha kunikosea mi ni mteja wako ujue! niambie tu unauzia wapi nije kukuungisha.Mama mzazi wa wewe Hana shimo
Hili si jukwaa la dini au siasa,ni jukwaa la kujadili mahusiano,urafiki sasa sijui unafanya nn kwenye Uzi usioendana na akili yako
Jifunze kusoma kwa ufahamu kwa faida yako mwenyewe.Mbona wewe ndo mwenye kisirani
Kama Mimi kuna bidhaa nauza naamini dada zako,mama zako na Shangazi zako wanazo.unaonaje ukaiungisha familia yako,muinuane kiuchumiAcha kunikosea mi ni mteja wako ujue! niambie tu unauzia wapi nije kukuungisha.
Mbona vitisho tena kipenzi
Mere una vituko sana.