Tafsiri mbaya na namna baadhi ya wanaume wanavyomshusha mwanamke

kumbe haujawah kuusoma.
Bas hebu nenda kaupitie πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Na Ukiuelewa jua ushachanganyikiwa.

Ila usipouelewa bas uko timamu bro.
Hua nauona napita juu kwa juu sijawahi kuvutiwa ngoja nitakupa mrejesho
 
Ha ha umeongea sawa tu.Mimi mpaka leo hii,mwezi ujao nafikisha 65 bado natongoza,na alhamdulilahi napata sana,ika situmii fedha kabisa.Hata wakati ule nilipokuwa kijana sikuwa natumia fedha.Nina mbinu zangu nyingi tu,mojawapo ni hizi:
1.Siku zote huwa msafi na navaa nguo safi,japo sio za gharama.
2.Situmii marashi ya kunukia sana
3.Sijisifu kwa lolote na wala sijielezei kuwa nipo hivi au vile
4.Huwa naenda direct,mfano dada hujambo,akiitikia badi hapohapo,dada mimi nakutaka uwe mpenzi wangu.
5.Kila mwanamke huwa na plan yake ya kumtongizea
6.Huwa sikati tamaa,napokataliwa.
6.Na napopewa bro nanyandua vibaya,sina huruma yaani napiga kila staili na hii ndio turufu yangu kubwa,maana huwa wanaambizana,yule jamaa ananyandua balaa,basi hapo wewe hao rafiki za huyo demu watongoze utasikia wanakwambia habari zako tunazijua.Mfano hivi sasa mimi ni mkimya sana ila utawasikia mademu wakisema yule babu ananyandua balaa na wanawake wanapenda mno.
Na pia kwa sasa nafanya kwa calculations kali mno ili nisiingie kwenye kashfa.Aisee wanawake ni watamu jamani acheni tu
 
Waeleze babu,waambie era inawadanganya,wamehadaika ,nimekupenda bure ❀️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…