ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Bondia Mwikinyo Jana katika Pambano lake dhidi ya Mnigeria (jina nimelisahau) alivaa t-shirt yenye ujumbe mzito katika picha
1. Samia kuwa kifuani, mbele
Ina tafsiri ni mtu aliyejiweka mbele na kuweka upinzani nyuma, akikandamiza haki, na kufanya mauaji ili abaki madarakani
2. Lissu kuwa mgongoni ( nyuma ya fulana)
Mgongo kwenye ulimwengu wa roho ni sehemu ya kubeba na kuleta.
Lissu amebeba maoni
Lakini yupo kwenye Kuta za gerezani Kwa dhulumat tu
3. Mrembo ya mahakama Kwa chini.
Mahakama kama chombo cha kutoa haki alama yake imewekwa chini na watawala.
Alama ya mahakama ameweka Kwa udogo, jinsi inavuotumiwa na kuamriwa na watawala mahakama hazina meno
Haki hainyamazi, haki haijifichi
Mwikinyo ni Muslim
Haya BAKWATA njoo mpatie majibu ya amani asidai haki