Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Wanawake ni wabinafaai Sana.Angalia wanaume walichifanyiwa kisa malkia na waziri mkuu Magreth Thatcher.Kuna mwenzetu anaishi kama ndege kisa mkewe kaona picha alizotumiana na jimama.Usisahau na ya Emmanuel Ebue
Ukweli mtupu. Wacha tuwagegede tuu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
mtoa mada sasa kuna haja gan ya kuoa na mbususu zipo tu zimezaga unajipatia bila hata kuoa? sawa wewe oa ila ujue pia uliemuoa pia unakuta anatoa kwa mtu tu free๐Ÿ˜
 
Nakuona mleta mada kama wale wazee wa vijiwe vya kahawa.
 
Nyinyi ndio ambao jambo mkilipenda ndio mnalisisitiza sana hata kama ushahidi wa kusisitiza kwake ni mdogo

Kumbe hadithi inasema hivi:

Mtume ๏ทบ aliwahi kusema, "HATOKUWA MUUMINI WA SAWA SAWA MMOJA WENU MPAKA IWE HAMU YAKE NI KUNIFUATA YALE NILIYOKUJA NAYO"

Ikaishia hapo, sasa nyinyi na hao wengineo mkainyumbua hiyo hadithi ya mistari mingapi sijui mkaijaza kurasa na mnaitumia Kututumusha sunna kuwa ni vitu vya amri??? Amri anatoa Allah aisee, na amri ziko katika Qurani sio hadithi zilizoandikwa na wanadamu kwa masimulizi yao hata kama walikuwa maswahaba. Amri zinatoka katika Quran mzee, katika hadithi kuna miongozo

Ingekuwa mitala ni amri hiyo kauli ingetokea kwenye Quran sio kwenye hadithi
 
Hivyo kuoa mke zaidi ya mmoja ni jambo linalokubalika Kiislamu, ila sasa sio ndio mshuhudie kukubalika huko kwa maelezo ambayo hayapo kwenye Quran, Eti 'imeamrishwa' kuoa mke zaidi ya mmoja.
Hakuna amri hiyo.

Quran imejitosheleza msiiongezee chumvi wala msiipunguze

Na hiyo hadithi uliyoshupalia kumbe ni fupi na haisemi direct kuwa mitala ni amri.
 
mtoa mada sasa kuna haja gan ya kuoa na mbususu zipo tu zimezaga unajipatia bila hata kuoa? sawa wewe oa ila ujue pia uliemuoa pia unakuta anatoa kwa mtu tu free๐Ÿ˜
Huo ni utaratibu wa kinyama... Sio wa kibinadamu... Sisi binadamu tumewekewa utaratibu na Muumba wetu lazima tuufate... Ukiishi vinginevyo wewe hata mnyama ana afadhali...
 
Hahaha nipe sifa za neno la amri katika Quran... Alafu nitolee mifano katika Quran... Alafu linganisha na lile lililokuja kutajwa na Allaah katika suuratun Nisaa... Je tofauti yao ni nini?

Nikusaidie tu usipoteze muda... Maana unabidi ukae darsani ufundishwe...

Allaah amesema katika QURAN.
ููŽุฃูŽู‚ูŠู…ูˆ ุงู„ุตู„ุงุฉ ูˆุกุงุชูˆ ุงู„ุฒูƒุงุฉ
ALAFU NYINGINE NI:
ููŽูฑู†ูƒุญูˆ ู…ุง ุทุงุจ ู„ูƒู… ู…ู† ุงู„ู†ุณุงุก ู…ุซู†ู‰ุŒ ูˆุซู„ุงุซ ูˆ ุฑุจุงุน.

Tofautisha baina ya aya hizo mbili... Ipi amri na ipi ni sunnaa... Kwa hoja sio blaa blaa..

NB: NJOO INBOX NIKUELEKEZE DARSA LILIPO NIKUFUNDISHE TOFAUTI YA HIVYO VINAVYOKUSUMBUA... MIMI NI KAZI YANGU HIYO...
 
WEWE TATIZO LAKO NISHALIJUA... WEWE NI MTU AMBAYE HUZIKUBALI HADITHI ZA MTUME... HILO NI TATIZO... NA NI MAPUNGUFU KATIKA KUSHUHUDIA SHAHADA YA PILI...

Nikufahamishe kwa ufupi tu... ALLAAH AMETUAMRISHA KATIKA QURAN...
ูˆู…ุง ุกุงุชุงูƒู… ุงู„ุฑุณูˆู„ ูุงุฎุฐูˆู‡ุŒ ูˆู…ุง ู†ู‡ุงูƒู… ุนู†ู‡ ูุงู†ุชู‡. MAANA YAKE NI "Kile anachokupeni Mtume kichukueni... Na anachokukatazeni kwacho kiacheni"

ูˆู…ุง ูŠู†ุทู‚ ุนู† ุงู„ู‡ูˆู‰ุŒ ุฅู† ู‡ูˆ ุฅู„ุง ูˆุญูŠ ูŠูˆุญู‰.
"HUYU MTUME WENU HASEMI KWA MATAMANIO NAFSI YAKE... BALI ANASEMA KWA YALE ALIYOFUNULIWA NA MOLA WAKE"

NJOO UISOME DINI KISAWASAWA... USIKAE BILA KUISOMA DINI UTAKUWA MJINGA HIVYO ALAFU UTAKUJA KUJISHTUKIA UMEPOTEA UKIDHANI ULIKUWA SAWA SAWA...

DINI IMEJENGWA KATIKA MISINGI MIWILI MIKUU NAYO NI QURAN NA SUNNAH(MWENENDO WA MTUME MUHAMMAD ๏ทบ)... Kwa ufahamu wa wema waliotangulia(Maswahaaba na wanafunzi wao).


Kwahiyo ukiisoma na kuizingatia hiyo misingi ipasavyo... Hutokuwa na utata kama huo unaokusumbua wewe ndugu yangu... Acha ubishi... Bado huna elimu ya unayozungumzia...
 
ustaadh haya yametajwa aya ipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ