Tafuta mwanamke uoe, haya ndio maumbile tuliyoumbiwa

Asietaka kuoa, ataka kuolewa, atafutiwe mume
 
Ni ngumu sanaa... Ila mwanamke anayekubali hili kwakuwa limetoka kwa Mola wake... Huyo ni MCHAMUNGU...
Kwa hiyo tesema tuu kuwa wachamungu ni wacahache sana.
Basi tuendelee tuu kupeana kinyemela
 
ACHANA NAE HUYO ANATAKA ALETE UCHAFU... UISLAAM SIO DINI YA UCHAFU HIVYO...
 
KUNA AYA KATIKA QURAN... MANABII PEKEE YAO ALLAAH KAWAPA FAVOR WANAWEZA WAKAOA IDADI WANAYOTAKA... REJEA NABII DAUDI SULAYMAAN IBRAAHIIM... HII NI MAALUM KWA MANABII TU...
Loh watu wanajua kujipendelea. Ubinafsi huo
 
HUO SIO UBINADAMU... REJEA UZI WANGU UNASEMAJE... MWANAMKE KIMAUMBILE HAWEZI KUWA SAWA AKIWA NA WANAUME WENGI... NIKAKUTOLEA MFANO HAO WA MAKAHABA WANAOJIUZA... UNADHANI WAKO SAWA WALE?
 
HUO SIO UBINADAMU... REJEA UZI WANGU UNASEMAJE... MWANAMKE KIMAUMBILE HAWEZI KUWA SAWA AKIWA NA WANAUME WENGI... NIKAKUTOLEA MFANO HAO WA MAKAHABA WANAOJIUZA... UNADHANI WAKO SAWA WALE?
Mbona ndio hao hao tunawaoa ama kahaba ni moaka apewe hela? Wapo makahaba kibao kwenye hizi tunazoita ndoa
 
Umeona yaani wachache ndio wanajipa raha sie wengine tunanyimwa
Yaani na watu wanatekeleza hawaoni kwamba manabii walijipendelea kwa makusudi kabisa ili wafaidi peke yao.
 
Sahv kuna vimwanamke vinahimili mikikiki ya kila siku,
 
HAIRUHUSIWI HATA KUWAKUSANYA CHUMBA KIMOJA... NI BORA USIOE MPAKA UPATE UWEZO WA KUWATENGANISHA...
Wapo nawajua wanaoa na wana chumba na sebule tu,

Mwenye zamu anaenda kulala chumbani na mume,
Kama sip za u yako walala seblen na watoto,

Hii imekaaje???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…