Multi-skilled
JF-Expert Member
- Mar 1, 2023
- 909
- 3,476
Akili zao zipo kwenye kodi tu nje ya hapo hawajuagi kitu hawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mmemkagua mkathibitisha hana vibali au ni roho mbaya tu?View attachment 2630959View attachment 2630960
Afisa wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA), Boniventure Pascal Madia (pichani), maarufu kama Boni amezua taharuki kubwa kwa wakazi wa Mbezi Juu kwa kujenga jengo la ghorofa 4 bila kibali cha Manispaa na bila kufuata viwango vya kitaalamu vya ujenzi na kutishia maisha ya wakazi hao kwa hofu ya jengo hilo kuanguka siku zijazo.
Wakazi wa Mbezi Juu/Goba bado wana kumbukumbu ya kuanguka kwa gorofa eneo la Goba kwa Awadhi mwaka 2021 na kuuwa watu wanne na sasa wanahofia maafa mengine kwenye Mtaa wa Nia Njema eneo la Mbezi Juu kwa Sanya.
Hofu ya wakazi wa eneo hilo ni kuwa afisa huyo wa TRA anajenga magorofa hayo chini ya viwango kwa kutumia nondo zenye milimita ndogo na mafundi wa mtaani bila kibali cha ujenzi cha manispaa.
Wakazi wa Mbezi Juu wanasema Boni alinunua nyumba ya chini iliyojengwa kwa msingi hafifu halafu akaigeuza kuwa jengo la gorofa 4 kwa kupandisha gorofa juu, huku akitumia mafundi wa mtaani, bila kibali cha ujenzi na bila kujenga msingi madhubuti unaoweza kujenga jengo la gorofa 4.
Hofu kubwa ya wakazi hao ni kuwa jengo hilo la gorofa linaloendelea kujengwa chini ya viwango huenda litadondoka siku zijazo na kuuwa watu kwenye eneo hilo.
Kila siku, wakazi hao wanapigwa na butwaa kuona afisa huyo wa TRA akiongeza gorofa kupanda juu kwenye jengo hilo, huku wakijua kuwa limejengwa kwenye msingi hafifu wa nyumba ya chini.
Viongozi wa serikali ya mtaa wa Mbezi Juu Kwa Sanya na Mtaa wa Nia Njema wameshindwa kuchukua hatua yoyote kuepusha maafa hayo na wanaachia gorofa hilo liendelee kujengwa bila kibali na chini ya viwango na kuhatarisha maisha ya wananchi.
Safi sanaWewe inakuhusu nini kipato chake! Mbona wewe muda wote unapoteza kwenye mitandao wakati wenzio wanapiga kazi! Kenge wewe
benki zinatoa mikopo na huenda ofisi pia inatoa mikopo ina riba nafuu, sio kila kitu ni wiziAfisa wa TRA mwenye uwezo wa kujenga ghorofa 4 mshahara wake ni tsh ngapi ?.Au ndio wale wa kubambika kodi kubwa kubwa halafu baada ya kushindwa kulipa mnakaa kitako mnazungumza.
Kodi zinatakiwa kueleweka vizuri mfano kodi za magari ukinunua gari aina fulani ya mwaa fulani kodi yake ipo wazi.Ukileta kontena 40ft kodi yake mazungumzo.
Hawa akina Bon tutawazalisha kweli kweli kama tunavyowazalisha matrafic wala rushwa kwa kushindwa kuweka mifumo mizuri barabarani.
TRA wanatoa mkopo kwa wafanyakazi? Kuanzia lini?benki zinatoa mikopo na huenda ofisi pia inatoa mikopo ina riba nafuu, sio kila kitu ni wizi
Ameonyesha njia...Safi sana afisa wa TRA
Ova
Wana saccos yao wanakopeshana hadi 100milTRA wanatoa mkopo kwa wafanyakazi? Kuanzia lini?
Pia mkopo wa bank wa kujenga jengo kama hilo kwa mshahara wao haiwezekani. Labda tusema ana biashara kubwa inayomuingizia faida
Mia inajenga nyumba 4 kwenda juu....?Wana saccos yao wanakopeshana hadi 100mil
Alikuwepo ila mlipiga vita tumuombe Mungu waje wengine.Ulishawahi kuona mtoto wa bilionea anaajiriwa hovyo hovyo ?.
Ukiuliza huyo Bon anafanya biashara gani na analipa kodi iasi gani utabaki kushangaa na kusikitika.
Leo hii hakuna trafic asiyekuwa na usafiri wa uhakika,nyumba nzuri kwasababu ya rushwa za barabarani,jiulize kwanini askari anyelinda bank hana hata baskeli !.
Nchi yetu inahitaji viongozi watakao kuwa tayari kupambana na mifumo ya rushwa.
Nimezungumzia tu suala la kuwa na mkopo ofisini mwaoMia inajenga nyumba 4 kwenda juu....?
Sawa mkuu..Nimezungumzia tu suala la kuwa na mkopo ofisini mwao
Taratibu za ujenzi wa ghorofa ni tofauti na ujenzi wa nyumba za kawaida. Kiashiria kimojawapo cha mtu anaejenga ghorofa kihalali ni uwepo wa lile bango la project. Yale mabango sijui yanaitwaje, ila pale utakuta jina na mmiliki, archtect, consultant, engineer etc... na project nzima hadi inakamilika inakuwa chini ya usimamizi wa hao watu. Ikitokea limeanguka, wataulizwa wao sio mmiliki. huwezi kuamka tuu na fundi wako unaemwamini mkaanza kujenga ghorofa. Mpaka mleta maada analeta dokezo hili inamaana kuna mapungufu kayaona.Wivu tu unakusumbua.
Ukiona ghorofa imesimama hadi hapo jua ana kibali tayari vinginevyo ungeshakuta Alama nyekundu.
hujui kusoma au? nimeandika "huenda"TRA wanatoa mkopo kwa wafanyakazi? Kuanzia lini?
Pia mkopo wa bank wa kujenga jengo kama hilo kwa mshahara wao haiwezekani. Labda tusema ana biashara kubwa inayomuingizia faida
Ukute mgao aliochukua kujengea kala na wakubwa zake. Hakuna uchunguzi wowote unaweza kumtia hatiani hata kama ina jina lake.Na kweli ila huenda jina la kiwanja na mjengo kafanya kama Hakimi.
Wewe mimi kukesha mtandaoni inakuhusu nini?Wewe inakuhusu nini kipato chake! Mbona wewe muda wote unapoteza kwenye mitandao wakati wenzio wanapiga kazi! Kenge wewe
😂😂😂mbona hatuoni waalimu wakiwa na investment zao pembenLabda ana investment zake mbali na mshahara😂😂 au ndo kama kawaida kila mmoja ale KWA urefu wake mkuu