TAHADHARI: Kuna matapeli! Fuata taratibu hizi...

Mi ndo ninachosema kwamba hata yeye hakua katika namna ya kutaka ishu ifanikiwe.

Ila kwakua kasema ana ushahidi ngoja auoneshe.

Memba mmoja Isanga family amesema anaweza akawa ana id tofauti so anaipa kesi moja.

Akianza kuweka ushahidi na hilo litaangaliwa
 
Vijana wengine ni wachawi kwa vijana wao, ila ndo wanaoaminika kwa sababu wanatumiaushawishi mwisho wanaoshawishiwa wanajikuta wakipigwa,mngempiga hata makofi mawili hivi akitoka hapo akamuonyeshe girl friend wake ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…