Taharuki , kuna mpango wa kumuua baba yangu unasukwa.

Daah Pole Sanaa Kaka , Hakikisha Unaanza Maombi. Naiona VITA Kwenye Familia Yenu.
 
Mimi hata nikiwa nje ya nchi sipendi mazoea na watu weusi tupo kama wachawi,mateso ya wenzetu ndio furaha zetu
Hata partnership kwenye biashara nakushauri usifanye na mtu mweusi utakuja kujuta
 
Sababu za wao kutaka kumuua huyo baba yako hasa ni Nini?
 
Hujapeleleza kwanini wanataka kumuua? Mbona kama unakurupuka katika uwasilishaji?
 
Pole sana na umefanya uamuzi sahihi.
Kisa hasa ni kipi


Hawataki akae nyumbani

Maana nilikuwa nakaa na mzée sasa aliamua kwenda nyumbani kumalizia maisha Ila they want to kill him

My father is well of pia anapata sapoti mbalimbali

Mimi ndugu wamekuwa Kama wapumbavu wanamchukia mzee wangu na kumwambia akalale guest houses

Wakati nyumba IPO na kila kitu kipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…