Taharuki , kuna mpango wa kumuua baba yangu unasukwa.

Mimi nimekuambia nilikuwa nakaa na mzee DSM .

Tangua akiwa kijana hadi kazeeka so yeye alisema I need to back home

Home kuna Mama so she hating my father na ndugu zangu wanamchukia

Wanamtamkia maneno mabaya inasikitisha Sana.

Ntaiweka hii habari vzr
Unakaa na mzee wako tangu akiwa kijana?? Kwanini alikua hakai na mke wake, wametengana??

Wakati akiwa kijana ulikua tayari unajitegemea? Hongera
 
Wakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa

Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua .

Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi.

Mimi ni last born wa mzee .

Yaani wakuu black people this race is cursed
Chukua urithi mapema mpwa
Kaa nae close mda wote
 
m wa kwangu aliummwa tu nkahama na nyumban mpaka aliponifia mkononi
Rip kidume
Akandika hiki cha didy na asimsumbue mtu rest tukagawanà na wenzangu sawa

Ndugu wakanza kumuliza why dis akajibu mmemwona mwanangu yoyote hapa kwangu...
 
Na m chapu nkaviandikisha kwa wanangu

Walipofika mahakaman ndugu wanalalama wakakuta majina ya watoto wakacheka....
 
pole sana ndugu mleta uzi. ndiyo hakuna namna tena umezaliwa nchi ya ukimani bara la giza. kazi ipo kubwa kuuvua ukima kisha kuwatega kima wasikusumbue. in your case unapambana na kima
Wananyima chakula
Hawataki alale ndani wanataka akalale guest house just imagine MTU Ana age 60s unamwambia alale guest ikiwa Ana nyumba yake

Anatukanwa Kama mtoto

Watu weusi hawafai don't trust and don't be closed with Swahili families
 
Unakaa na mzee wako tangu akiwa kijana?? Kwanini alikua hakai na mke wake, wametengana??

Wakati akiwa kijana ulikua tayari unajitegemea? Hongera

Mimi mzee alinichukua kutoka nyumbani nikawa nakaa nae so nimesoma nimemaliza nikaanza Kazi na biashara na yeye akastaafu then akawa anaishi kwangu

In short mzee wetu ni MTU ambaye hajawahi kuwa na tatizo na MTU iwe kazini kwake au ktk familia.

Chanzo cha mgogoro hawataki hakae nyumbani

Nyumbani kuna nyumba mbili ndani ya uzio moja anakaa mama na nyingine mzee

Anapokaa mama anakaa na wajukuu watoto wa kaka angu Ila kinachotokea ni kutaka kumuua mzee

Je wanatumia njia gani kumuua ?

Kumnyima chakula

Kumgombeza Kama mtoto

Kumwambia maeneno ya ajabu

Kumpa vitisho

MTU mwenye age ya 68 yrs

Ukimpa vitisho lazima atapata depression

Ukimnyima chakula lazima atapata stomach ulcers na kuua Afya yake ya mwili

Kelele kila siku zitapunguza life span yake.

Ni hayo tu.
 
Pole sana, familia zina changamoto..... Pole
 
Wakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa

Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua .

Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi.

Mimi ni last born wa mzee .

Yaani wakuu black people this race is cursed
Wanaotaka kumuua unawafaham na sababu waijua, sasa lengo la banding lako ni nini? ,
 
Hujapeleleza kwanini wanataka kumuua? Mbona kama unakurupuka katika uwasilishaji?
Wanataka kumuwa kwa sababu kamnunulia ticket ya Ndege kwenda huko DSM, sasa ndg wanaona wivu hadi wanapanga mipango ya kumuuwa, kwa nini yeye peke yake ndiyo apande Ndege kwenda DSM!!??
 
Mimi mzee alinichukua kutoka nyumbani nikawa nakaa nae so nimesoma nimemaliza nikaanza Kazi na biashara na yeye akastaafu then akawa anaishi kwangu

In short mzee wetu ni MTU ambaye hajawahi kuwa na tatizo na MTU iwe kazini kwake au ktk familia.

Chanzo cha mgogoro hawataki hakae nyumbani

Nyumbani kuna nyumba mbili ndani ya uzio moja anakaa mama na nyingine mzee

Anapokaa mama anakaa na wajukuu watoto wa kaka angu Ila kinachotokea ni kutaka kumuua mzee

Je wanatumia njia gani kumuua ?

Kumnyima chakula

Kumgombeza Kama mtoto

Kumwambia maeneno ya ajabu

Kumpa vitisho

MTU mwenye age ya 68 yrs

Ukimpa vitisho lazima atapata depression

Ukimnyima chakula lazima atapata stomach ulcers na kuua Afya yake ya mwili

Kelele kila siku zitapunguza life span yake.

Ni hayo tu.
Mzee hadi alikuchukuwa wwe peke yako ukae nae mjini,ndiyo ilipelekea Mama yako na ndg zako kuwa na wivu na nyie wawili! Na wwe sasa unaendeleza mapenzi kwa mzee wako kuliko kwa mama yako na nduguzo, lazima wataona wivu tu!!
 
Wakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa

Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua .

Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi.

Mimi ni last born wa mzee .

Yaani wakuu black people this race is cursed
Kama uwezo unao mchukue babako endelea kumtunza uishi nae.mfungulie hata mradi wa kuku afuge asiboreke.maisha yatasonga achana na Jao kenge wa huko alikotoka,wafungie vioo kabisa wasikanyage kwako.halafu tuone watafikia wapi..Wana laana hao.
Babako akiwa na nguvu anakupigania bila kuchoka,ulikua na kupata nguvu we unampiga badala ya kumpigania.waache tuone watafikia wapi
 
Hawo Ndugu zako wanacheza na akili Yako,yaani Mzee wako Aishi muda wote huwo mpaka amekuwa mtu mzima,waje wahangaike kumuuwa na uzee ili wapate nini? za kuambiwa changanya na zako.
Kuna mwamba niko naye ofisi moja alishirikiana na mama yake kumuwaisha baba yake mbinguni.
Mama yao alichora ramani,kijana akamsogeza baba mpaka kifo kisa kiinua mgongo.
 
Mzee kwanza make sure unamsafirisha mbali nao KABISA.
All the best
 
Muulize mzee wako tabia zake vizuri...
Usikute ana videmu anavi....a hovyohovyo..

Nothing comes from nothing
 
Back
Top Bottom