Taharuki , kuna mpango wa kumuua baba yangu unasukwa.

Taharuki , kuna mpango wa kumuua baba yangu unasukwa.

Pole sana mkuu.
Nilichojifunza ni kuwa wamama wana nguvu kubwa sana ya kuijenga chuki na vita yao huwa ni kali hasa wakipata sapoti ya watoto wasiojitambua.
 
Wananyima chakula
Hawataki alale ndani wanataka akalale guest house just imagine MTU Ana age 60s unamwambia alale guest ikiwa Ana nyumba yake

Anatukanwa Kama mtoto

Watu weusi hawafai don't trust and don't be closed with Swahili families
Sanga
Ungetulia uandike vizuri ingetulia
Mama yako nae inawezekana kikwazo hataki uzee wa dingi
 
Roho mbaya tu poor mentality

Mimi namjua my father is very humble

Mali zipo Ila sio kuuana ni zakawaida
Shukuru Mungu kakupa uwezo wa kuona hizo mali ni za kawaida. Wenzako wanazitolea macho hizo hizo.

Masuala ya kifamilia za kimaskini ni magumu sana.
 
Pole sana japo kua hisia zinaonekana kutoka upande mmoja wa malalamiko.
Lakini pia tambua kua umuonapo mzungu by nature nikwamba umejiona wewe mwenywe.
Mzungu sibora kukuzidi wewe nawala wewe sibora kumzidi mzungu binadamu wote nisawa.
Kwamakosa yako ya kibinadamu nikwamba waweza kumuhusudi mwenzio kwakipato chake japo kidogo (AFRICA)
lakini mwenzangu kule akisha shiba starehe sasa ameona kilicho sahihi nikumuingilia mwanaume mwenzake kinyume tena ninjia ilio chafu na mbaya zaidi.hakika nae huyu Afya yake ya Akili haipo sawa.
Sote kwaumoja tunajukumu kubwa la kujitambua kwamba tulikua wapi kabla yakuja hapa stand..nabaada ya hapa stand tunakwenda wapi??????
 
Uzuri wa dunia huwa vitu vinajirudia kweli kweli .hao ndugu wanaomfanyia hivyo mzee na wao watafanyiwa zaidi ya hivyo na watoto wao.! Wala siku hazigandi na siku hizi watu wanawai kuzeeka.
 
Shida mama anabeba laana, laana anabeba mtoto, na wajukuu
 
Back
Top Bottom