Taharuki , kuna mpango wa kumuua baba yangu unasukwa.

Taharuki , kuna mpango wa kumuua baba yangu unasukwa.

Wananyima chakula
Hawataki alale ndani wanataka akalale guest house just imagine MTU Ana age 60s unamwambia alale guest ikiwa Ana nyumba yake

Anatukanwa Kama mtoto

Watu weusi hawafai don't trust and don't be closed with Swahili families
Shida ilianza watoto wakikua unawalea nyumbani na wanakua watu wazima, hawana kazi wapo wapo wanakula kupitia wewe mwisho wanataka na wao warithi mapema.
 
Hawataki akae nyumbani

Maana nilikuwa nakaa na mzée sasa aliamua kwenda nyumbani kumalizia maisha Ila they want to kill him

My father is well of pia anapata sapoti mbalimbali

Mimi ndugu wamekuwa Kama wapumbavu wanamchukia mzee wangu na kumwambia akalale guest houses

Wakati nyumba IPO na kila kitu kipo
Sababu ni hiyo tu au Kuna lingine la ziada ambalo hutaki kutueleza??
 
Inaonekana unapitia wakati mgumu sana. Pole mkuu
 
Hawo Ndugu zako wanacheza na akili Yako,yaani Mzee wako Aishi muda wote huwo mpaka amekuwa mtu mzima,waje wahangaike kumuuwa na uzee ili wapate nini? za kuambiwa changanya na zako.
 
Shida ilianza watoto wakikua unawalea nyumbani na wanakua watu wazima, hawana kazi wapo wapo wanakula kupitia wewe mwisho wanataka na wao warithi mapema.

Tupo 03 kila MTU Ana Kazi na maisha yake hatutegemei kurithi Mali kwanza hamna Mali za kurithi

Kuna nyumba 03 na viwanja 2

Mimi mwnyewe nina uwezo mzuri so kinachotekea ni ile roho ya MTU mweusi
 
Mama ndo anatengeneza hii

Nilikuwa namuanini sana Ila nimejua yeye anatumika kuua famila

She is hating my father

Unfortunately Mimi ndugu zangu ni hawajitambui hata kidogo.
Anyway. Jaribu kumtenganisha mzee na hayo mazingira alafu taratibu jiridhishe na hilo suala la wao kutaka kumuua, suala la kuua mtu siyo Jambo la kufumbia macho hilo hata kidogo
 
Hawo Ndugu zako wanacheza na akili Yako,yaani Mzee wako Aishi muda wote huwo mpaka amekuwa mtu mzima,waje wahangaike kumuuwa na uzee ili wapate nini? za kuambiwa changanya na zako.

Mimi nimekuambia nilikuwa nakaa na mzee DSM .

Tangua akiwa kijana hadi kazeeka so yeye alisema I need to back home

Home kuna Mama so she hating my father na ndugu zangu wanamchukia

Wanamtamkia maneno mabaya inasikitisha Sana.

Ntaiweka hii habari vzr
 
mleta mada, kama hali ipo hivyo mpaka kutushirikisha mi Afrika yote, kuna shida mahali, sasa kama Baba kashindwa wewe utaweza? hao unaowajua, usiowajua je? vita za mna hiyo, hupiganwa kimya kimya, inasikika milio tu, ila kwa hivi ulivyoonesha, utashindwa mapema sana, hongera kwa kumsaidia Mzee wako, lakini kwenye masuala ya Africa na vita za kifamilia, wewe bado mtoto sana badilisha mbinu haraka sana, unaweza tangulia wewe alafu mzee ukamuacha.
 
Hawataki akae nyumbani

Maana nilikuwa nakaa na mzée sasa aliamua kwenda nyumbani kumalizia maisha Ila they want to kill him

My father is well of pia anapata sapoti mbalimbali

Mimi ndugu wamekuwa Kama wapumbavu wanamchukia mzee wangu na kumwambia akalale guest houses

Wakati nyumba IPO na kila kitu kipo
Hao ndugu zako ni wa kike au kiume?

Itakuwa mama yako amewajaza maneno na kuwachota akili, sasa mtoto ukiwa hujielewi unamsikiliza mama, jaribu kuzungumza nao.
 
mleta mada, kama hali ipo hivyo mpaka kutushirikisha mi Afrika yote, kuna shida mahali, sasa kama Baba kahindwa wewe utaweza? hao unaowajua, usiowajua je? vita za mna hiyo, hupiganwa kimya kimya, inasikika milio tu, ila kwa hivi ulivyoonesha, utashindwa mapema sana, hongera kwa kumsaidia Mzee wako, lakini kwenye masuala ya Africa na vita za kifamilia, wewe bado mtoto sana badilisha mbinu haraka sana, unaweza tangulia wewe alafu mzee ukamuacha.

Asante Ila siwezi kumuacha mzee wangu wamuue

Bora Mimi nitangulie because ntakufa nikiwa katika haki
 
Wananyima chakula
Hawataki alale ndani wanataka akalale guest house just imagine MTU Ana age 60s unamwambia alale guest ikiwa Ana nyumba yake

Anatukanwa Kama mtoto

Watu weusi hawafai don't trust and don't be closed with Swahili families
Mwambie auze hiyo nyumba yake au akiona vipi aipige kiberiti tuone wanachogombania!
 
Mimi sitowalipa ubaya Ila namchukua my father .

Pia hata mama ntamuudumia hadi mwisho .

Mungu atasimama na Mimi.
Hapo wewe ndo umefail! Watauza na kula shavu na kesho yako unaijua? Sio kukimbia changamoto bali kupambana nayo! Nenda mahakamani file dukuduku zako bahati nzuri shahidi ni huyo baba! Ukikimbia wakimaliza hapo watakujia wewe! Huwajui waswahili!
 
Back
Top Bottom