Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakaa na mzee wako tangu akiwa kijana?? Kwanini alikua hakai na mke wake, wametengana??Mimi nimekuambia nilikuwa nakaa na mzee DSM .
Tangua akiwa kijana hadi kazeeka so yeye alisema I need to back home
Home kuna Mama so she hating my father na ndugu zangu wanamchukia
Wanamtamkia maneno mabaya inasikitisha Sana.
Ntaiweka hii habari vzr
Chukua urithi mapema mpwaWakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa
Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua .
Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi.
Mimi ni last born wa mzee .
Yaani wakuu black people this race is cursed
Wananyima chakula
Hawataki alale ndani wanataka akalale guest house just imagine MTU Ana age 60s unamwambia alale guest ikiwa Ana nyumba yake
Anatukanwa Kama mtoto
Watu weusi hawafai don't trust and don't be closed with Swahili families
Unakaa na mzee wako tangu akiwa kijana?? Kwanini alikua hakai na mke wake, wametengana??
Wakati akiwa kijana ulikua tayari unajitegemea? Hongera
Pole sana, familia zina changamoto..... PoleMimi mzee alinichukua kutoka nyumbani nikawa nakaa nae so nimesoma nimemaliza nikaanza Kazi na biashara na yeye akastaafu then akawa anaishi kwangu
In short mzee wetu ni MTU ambaye hajawahi kuwa na tatizo na MTU iwe kazini kwake au ktk familia.
Chanzo cha mgogoro hawataki hakae nyumbani
Nyumbani kuna nyumba mbili ndani ya uzio moja anakaa mama na nyingine mzee
Anapokaa mama anakaa na wajukuu watoto wa kaka angu Ila kinachotokea ni kutaka kumuua mzee
Je wanatumia njia gani kumuua ?
Kumnyima chakula
Kumgombeza Kama mtoto
Kumwambia maeneno ya ajabu
Kumpa vitisho
MTU mwenye age ya 68 yrs
Ukimpa vitisho lazima atapata depression
Ukimnyima chakula lazima atapata stomach ulcers na kuua Afya yake ya mwili
Kelele kila siku zitapunguza life span yake.
Ni hayo tu.
Wanaotaka kumuua unawafaham na sababu waijua, sasa lengo la banding lako ni nini? ,Wakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa
Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua .
Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi.
Mimi ni last born wa mzee .
Yaani wakuu black people this race is cursed
Wanataka kumuwa kwa sababu kamnunulia ticket ya Ndege kwenda huko DSM, sasa ndg wanaona wivu hadi wanapanga mipango ya kumuuwa, kwa nini yeye peke yake ndiyo apande Ndege kwenda DSM!!??Hujapeleleza kwanini wanataka kumuua? Mbona kama unakurupuka katika uwasilishaji?
Mzee hadi alikuchukuwa wwe peke yako ukae nae mjini,ndiyo ilipelekea Mama yako na ndg zako kuwa na wivu na nyie wawili! Na wwe sasa unaendeleza mapenzi kwa mzee wako kuliko kwa mama yako na nduguzo, lazima wataona wivu tu!!Mimi mzee alinichukua kutoka nyumbani nikawa nakaa nae so nimesoma nimemaliza nikaanza Kazi na biashara na yeye akastaafu then akawa anaishi kwangu
In short mzee wetu ni MTU ambaye hajawahi kuwa na tatizo na MTU iwe kazini kwake au ktk familia.
Chanzo cha mgogoro hawataki hakae nyumbani
Nyumbani kuna nyumba mbili ndani ya uzio moja anakaa mama na nyingine mzee
Anapokaa mama anakaa na wajukuu watoto wa kaka angu Ila kinachotokea ni kutaka kumuua mzee
Je wanatumia njia gani kumuua ?
Kumnyima chakula
Kumgombeza Kama mtoto
Kumwambia maeneno ya ajabu
Kumpa vitisho
MTU mwenye age ya 68 yrs
Ukimpa vitisho lazima atapata depression
Ukimnyima chakula lazima atapata stomach ulcers na kuua Afya yake ya mwili
Kelele kila siku zitapunguza life span yake.
Ni hayo tu.
Kama uwezo unao mchukue babako endelea kumtunza uishi nae.mfungulie hata mradi wa kuku afuge asiboreke.maisha yatasonga achana na Jao kenge wa huko alikotoka,wafungie vioo kabisa wasikanyage kwako.halafu tuone watafikia wapi..Wana laana hao.Wakuu hizi familia za kiswahili hazifai kabisa
Nimemtumia mzee wangu tiketi ya ndege ili aje DSM maana I get some information kuwa wanataka kumuua .
Na wanaoratibu huu mpango ni ndugimu zangu wa damu na mama mzazi.
Mimi ni last born wa mzee .
Yaani wakuu black people this race is cursed
Kuna mwamba niko naye ofisi moja alishirikiana na mama yake kumuwaisha baba yake mbinguni.Hawo Ndugu zako wanacheza na akili Yako,yaani Mzee wako Aishi muda wote huwo mpaka amekuwa mtu mzima,waje wahangaike kumuuwa na uzee ili wapate nini? za kuambiwa changanya na zako.
Noted ,ahsante nduguWe jamaa hiyo silaha ichunge isijekufanya uende ndani. Maana kila muda unaihusisha kama suluhisho. Silaha zinawalinda ila mzilinde pia.