THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Unajua taratibu za ukamataji kisheria? Watu wanakuja kwako, wanavunja mlango, wanakubeba juju baada ya kukupiga sana,kisha wanakutupa kwenye gari na kukupeleka pasipojulikana! Huyo anakuwa amekamatwa kisheria? Mwingine walikaa naye kwa zaidi ya siku 30 huku wakikana kumshikilia,ndipo wakaja kukiri kuwa naye baada ya kelele nyingi za raia,hao watu hawana tofauto na majambazi.
Hadi unavunja nyumba unaita kukamatwa?Nauliza tu, siku hizi mtu yeyote akikamatwa na polisi maana yake ametekwa?.
Sio amiri jeshi tena bali ni Abdully nyonya damu mwanae.Wazili si chochote ndugu usipoteze mda wako kumsikiliza mwenye nguvu ni amili jeshi
Nchi iangamie mara ngapi mkuu.HIi nchi kwa kweli tuikomnoa, maana walioiteka ni mashetani kuliko shetani yeyote. Haya majitu yanayoteka watu hovyo, yakiachwa, Taifa litaangamia. Nchi ikombolewe na haya mashetani ambayo yamekuwa yakifanya huu ushenzi itabidi yakamatwe yawajibike kwa uovu wao.
Kuhamasisha maandamano ni kosa kwa sheria ipi?
Pia this time mmenyea kwenye sufuria la pilau
yaani mkuu we acha tu!, nchi ni yetu lakin tunaishi kama wakimbizi.Watanzania tupo vitani na hawa mahayawani....
Maustadhi na mikyundu ni pete na kidole, mnatembea na ky mda woteHabari ziwafikie wote wachochezi.walioko nje ya nchi wakija bongo lazima tuwapake KY
UMeanza kuishi jana ndo maana unauliza maswali like footless chickenSheria ya Jeshi la Polisi (Police Force and Auxiliary Services Act)
Sheria haisemi unapaswa kuomba "Kibali" (Permission), bali inataka utoe "Taarifa" (Notice).
Utaratibu: Unapaswa kutoa taarifa kwa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) saa 48 kabla ya maandamano. Wajibu wa Polisi: Kisheria, kazi ya polisi ni kutoa ulinzi kwa waandamanaji na siyo kuzuia, isipokuwa tu kama kuna ushahidi wa wazi kuwa maandamano hayo yataleta uvunjifu wa amani.
HITIMISHO:
Kama Walitoa taarifa Polisi naomba uweke ushahidi hapa
Kwa nini watu wanapendapenda sana kurudirudi Bongo kila mara, hususan wakati huu ambapo inajulikana Tanzania is a police state?Ukiwa unatokea Marekani kuja Tanzania ujipange
Au watu wanataka kujimwayamwaya Tanzania kuwa wamekaa Marekani na wana uraia?📌Kwa nini watu wanapendapenda sana kurudirudi Bongo kila mara, hususan wakati huu ambapo inajulikana Tanzania is a police state?
Mimi naingia mwaka wa 13 sijakanyaga Tanzania, hata likizo naishia kwenda Turks and Caicos.
Na sijapungukiwa kitu.
Kwa nini watu wengine hawawezi kukaa nje muda nrefu bila kurudi Tanzania na wengine tunaweza?
Is it family dynamics? Nostalgia? Business? Au watu wanataka kujimwayamwaya Tanzania kuwa wamekaa Marekani na wana uraia?
Exactly,Au watu wanataka kujimwayamwaya Tanzania kuwa wamekaa Marekani na wana uraia?📌
Kama hakuna ulazma wa kurudi bongo Bora ubaki nje
Nimeuliza tu mkuu kulingana na taarifa ilivyokuja, kama wametambua ni askari kutoka hai inakuwaje ni kutekwa?.Kama taratibu hazijafuatwa utaitaje?
Mkuu mimi sio mtaalamu wa sheria nauliza tu mfano polisi wana kibali cha kukukamata kisha ukijifungia ndani licha ya jitihada zote ukakataa kutoka, wanatakiwa wafanyaje?.Hadi unavunja nyumba unaita kukamatwa?