Taharuki: Mtanzania diaspora atekwa nyara Kilimanjaro

Wenzako wana hela wewe
Sio wewe kwenda holiday mpaka ujipange na kamshahara kako ka kubeba boksi
Kaa kwa kutulia, usipangie watu maisha mbuzi wewe
 


Tanzania ni salama na watu kibao kutoka USA wanakuja na kurudi

Isipokuwa huyo NYUMBU ALIKUWA AKIHAMASISHA MAANDAMANO
 
Tanzania ni salama na watu kibao kutoka USA wanakuja na kurudi

Isipokuwa huyo NYUMBU ALIKUWA AKIHAMASISHA MAANDAMANO
Kama nchi haiwapi wananchi wake uhuru wa kuhamasisha maandamano, nchi hiyo si salama.

Uhuru huo ni uhuru wa kikatiba, maandamano ni haki ya kikatiba.

Hujui hili?

Huelewi wapi?

Wewe ndiye nyumbu hapa.

Unafanya hivi kwa ujinga bure au wewe chawa unalipwa?
 

FALLACY

MIMI NAKUPA UKWELI WEWE UNAONGEA MAMBO YA KUFIRIKA

HAPA TANZANIA NI SALAMA

SIO KILA ANAYEZUNGUMZA UHALISIA NI KALIPWA AU UNAMBATIZA JINA LA CHAWA HAMTAKI KUSIKIA UKWELI.
 
Unapoteza mda wako kujadili jambo na huyo KIAZI
 
Hata haieleweki mtindo huu unafaida zipi; lengo lake hasa ni nini?
Kwa nini ifanyike namna hii?
 
Hakika Ila inatafakarisha kuandika habari za UONGO.
Umekuwa kioja sasa; hivi unatambua hivyo?
Huyu Samia mnayempigania hivi, kweli anayo thamani ya mapenzi thabiti mioyoni mwenu, au ndio basi tu mradi mjionyeshe kuwa na hali hiyo huku mioyoni mwenu mkisononeka kama waTanzania wengine wote wanavyosononeka kuhusu hali hii inayolikumba taifa letu?
 


MKUU FANYA KAZI ZAKO KAMA UTASHINDWA KUTAJIRIKA WAKATI HUU UJUE TATIZO NI WEWE

MFUMO WA SASA UPO VIZURI

SASA UNAKAA KATIKA KUJADILI SIASA PEKEE NA KUSUBIRI HELA ZA MAANDAMANO

HAPO LAZIMA UMUONE RAIS MBAYA BUT STAY ON THE LINE


MAMA WA AFRICA HAJAWAHI KUFELI NA ANAFANYA KAZI NJEMA YA KUWAHUDUMIA WATANZANIA
 
Unaandika vitu kama mtu mpuuzi puuzi sana wewe.
Hiyo hali uliyotaja wewe ndiyo kipaumbele chako maishani mwako?

Hujui kuwa ninaweza kukununua na kukufanya mtumwa wangu tu kwa bei yoyote kama hiyo ndiyo thamani ya utu wako?

Kwa hiyo kutwa nzima upo hapa Jukwaani kwa kuwa hao waarabu wanazo pesa za kukununua uonekane wewe ni tajiri, au siyo?

Hii ndiyo 'mentality' ya ajabu sana ambayo hata imeibuka kutoka wapi; na Samia ndiyo kaiweka mbele kabisa kuwadhalilisha watu na akili zao kama akina Mwigulu na wengineo kama wewe.

Katika hali ya kawaida ningechukulia kama utani; lakini kwa watu wa aina yako; huu ndio uamini mlionao katika maisha yenu!

Siku zote ninaposema wewe ni nguruwe tu; sasa unathibitisha mwenyewe hapa kwa fikra za namna hii.

Hatuwezi kuwa na taifa la watu wapuuzi namna hiyo.
 
FALLACY

MIMI NAKUPA UKWELI WEWE UNAONGEA MAMBO YA KUFIRIKA

HAPA TANZANIA NI SALAMA

SIO KILA ANAYEZUNGUMZA UHALISIA NI KALIPWA AU UNAMBATIZA JINA LA CHAWA HAMTAKI KUSIKIA UKWELI.
Kuhamasisha maandamano ni uhuru wa kikatiba Tanzania.

Kama unabisha dai kifungu cha katiba tubishane kwa vifungu vya katiba.
 


JE HUU UPUUZI MLIOKUWA MKIFANYA HAPA NI SAHIHI?
 

Attachments

  • Screenshot_20251220-071210_1766204935841.jpg
    368.7 KB · Views: 16
Kuhamasisha maandamano ni uhuru wa kikatiba Tanzania.

Kama unabisha dai kifungu cha katiba tubishane kwa vifungu vya katiba.
UNATUMIA VIGEZO GANI KUSEMA MIMI NI CHAWA NA NIMELIPWA.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…