CCM walitaka kuendeleza genge Lao la kuwanyonye watsnzani kama mama alivyirudisha kundi hilo si unaona amna tena kelele kama zamaniMagufuli alianzisha lini huo uchafu, nyie mlitengeneza chuki kwa Magufuli mkamzushia kila baya baada ya kuziba mirija yenu ya uwizi na upigaji
Mbowe na wenzake CHADEMA kwani nao wnaona kama kifo kinawahusu? Wao hawafiWalishangilia kifo cha Magufuli wakafikiri wao hawatakufa ,na bado siku ya Mboe itakuwa balaa kwa kushangilia.
[emoji23][emoji23]One two microphone check
Mimi naomba hapa leo mnieleweshe.Watanzania wenzangu kifo Cha magufuli kiliniuma mnooooooo,nawachukia mno waliokuwa wanakejeli kifo kile,niliamua kupotezea lakini shangwe zinazotawala humu jf juu ya kifo Cha membe zimenitisha mnooooooo ,watanzania wenzangu kumbe mioyoni mwetu tumetunza chuki Kali namna hiiii!!!!!!!!! Naomba turudi kwenye mstari utanzania wetu unaporomoka kwa Kasi mnoooooooooooooooo,hii ni hatariiiiiiiiiiiiii nasema kwa kinywa wazi ni hatariiiiiiii
Kipindi cha Magufuli, wapinzani walipitia wakati mgumu tangu kuanzishwa kwa mfumo wa vyama vingi.Magufuli alianzisha lini huo uchafu, nyie mlitengeneza chuki kwa Magufuli mkamzushia kila baya baada ya kuziba mirija yenu ya uwizi na upigaji
Hata kifo cha gaidi Mbowe tutashangilia sana maana ni ukomboziShangilieni tu ni jadi yenu,lakini hakika kifo cha Magufuli ilikuwa faraja kubwa kwa Taifa hili
Walilianzisha wao, kumkejeri Magufuli alipokufa, wakadai Mungu kaamua ugomvi, wakasema wazuri hawafi, wakasema wanao mpenda Magufuli wakazikwe naye. Walifanya tambo, mara tukaambiwa bahari imetulia.Watanzania wenzangu kifo Cha magufuli kiliniuma mnooooooo,nawachukia mno waliokuwa wanakejeli kifo kile,niliamua kupotezea lakini shangwe zinazotawala humu jf juu ya kifo Cha membe zimenitisha mnooooooo ,watanzania wenzangu kumbe mioyoni mwetu tumetunza chuki Kali namna hiiii!!!!!!!!! Naomba turudi kwenye mstari utanzania wetu unaporomoka kwa Kasi mnoooooooooooooooo,hii ni hatariiiiiiiiiiiiii nasema kwa kinywa wazi ni hatariiiiiiii
Tutakuwa tumesharudisha kwenu Burundi washenzi wakubwa nyieHata kifo cha gaidi mboe tutashangilia sana maana ni ukombozi
Kwa nini unasema chama changu badala ya kusema Chama Chetu?Kama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!
Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!
Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.
Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!
Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!
Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!
Kwake,wote tutarejea!
+255746726484.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
Lawama zote kwa jiweKama viongozi wa Taifa hili hawatosimama leo na kukemea kwa dhati kabisa kuhusu Siasa za chuki zinazoendelea ndani ya CCM yangu basi gharama ya kuweza kuthibiti hali kuelekea mwaka 2025 zinaweza zikawa kubwa!Vihatarishi hivi vya amani vinapaswa kukemewa na viongozi wa Siasa,viongozi wa dini na hata viongozi wa kimila Nchi nzima!
Niliwahi kuandika kuwa kama Chama changu CCM hakitakuwa tayari kukabili Siasa hizi za chuki ndani ya Chama,hakika tunaweza tukawa tunajichimbia shimo kubwa kwa Siasa za baadae!Gharama za kutubu makosa ni ndogo sana kuliko gharama za kuja kupambana na chuki hizi za wazi ambazo zinaendelea kuota mizizi wazi wazi!
Tulifanya makosa makubwa sana kuruhusu personality kuwa above Institution matokeo yake ndio haya!Nadhani ili liwe somo kwa Siasa zetu.
Napenda kuwa bold kabisa na kuwataka vijana wa kitanzania kuachana na siasa za chuki ndani ya Chama chetu!Mpasuko ambao tunautengeneza leo unahatarisha sana safari yetu ya kushika dola!
Wote kwa Mungu tutarejea!Tuwaombee waliotangulia bila kudhihaki wala kuwanenea mabaya!
Kwaheri Mzee wangu Bernard Kamilus Membe,Kachero bora wa enzi zote katika Ulinzi na Diplomasia ya Taifa!
Kwake,wote tutarejea!
+255746726484.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwahiyo Magufuli aliongoza kushangilia kifo chake mwenyewe? Aloooo kweli wazuri hawafiMagufuli ndiye alipandikiza hii roho ya visasi na hii ni typical roho ya kihutu, si tunakumbuka wote wahutu walivyoua watutsi zaidi ya laki tisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku akifa mwenyekiti wa nyumbu shangwe lake usipime
Kutambuliwa.Nje ya mada, hivi hua kunaulazima gani kuandika uzi kisha namba ya simu...[emoji848] Yaani, unaandika namba ya simu ili nini kiwe...[emoji47]
Trust me hata kifo cha makengeza kitakuwa faraja sana kwa taifa, Time will tellShangilieni tu ni jadi yenu,lakini hakika kifo cha Magufuli ilikuwa faraja kubwa kwa Taifa hili
Mbona jibu ushatoa btn the lines? Tunashangilia maumivu ya waliobaki ili waone uchungu wanaopata wapendwa wa JPM. Huo mzoga hamna mwenye shida nao kwanza hausikii kitu sasa ngondo kwa waliosema wazuri hawafi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi naomba hapa leo mnieleweshe.
Hivi kifo ni adhabu au ni mapumziko ya mabalaa ya dunia?
Maana siku moja nilipata ajali mbaya ya pikipiki nikazima zaidi ya saa 1 nikazinduka, nikazima tena mara ya pili kama masaa nikazinduka. Baada ya mwaka mmoja na mwezi mmoja nikapata ajali ya pili nikazima kama masaa 6. Nikapata ajali ya tatu nikazima tena masaa kadhaa (hapo sikuambiwa masaa mangapi). Nilichoexperience ni kuwa ukizima huhisi maumivu wala tabu za aina yoyote ile, na huwazi ada wala kodi ya nyumba wala hela ya kubeti. Nikafikiria kama kuzirai ndo amani namna ile, je ukifa? Si ndo burudani kabisa.
Tangu pale niliwaambia wanaoniwinda na wanaosubiri kushangilia nikikata kuwa kifo kwangu si adhabu, ukiniua umenipumzisha na mabalaa, isipokuwa tu umewaumiza wategemezi wangu. Huwa ninahofia nitakufaje ila si nitakufa. Ninapojilinda kipaumbele changu kikuu ni wategemezi wangu. Nikishakufa hakuna lolote ninalojua na majanga ya dunia hayatonihusu tena.
Sasa huwa sielewi nikiona watu wanasherehekea kifo cha mtu, ilhali naona dunia imejaa tabu tupu, na maandiko yanasema maisha ni ubatili mtupu, yamejaa masumbuko na huzuni hadi kuingia mavumbini.
Au huwa kuna viboko mfululizo huko mautini ndo maana watu hushangilia mtu atachapwa huko?
Na je, katika dunia ya kwanza mambo haya yapo au ni laana za umasikini tu zinatusumbua?
Baada ya neno ni muda wa kukusanya sadaka Mkuu,Nje ya mada, hivi hua kunaulazima gani kuandika uzi kisha namba ya simu...[emoji848] Yaani, unaandika namba ya simu ili nini kiwe...[emoji47]
Mnasherehekea maumivu ya wategemezi wake au wafuasi wake wa kisiasa? Maana hayo ni makundi mawili tofauti. Be specific.Mbona jibu ushatoa btn the lines? Tunashangilia maumivu ya waliobaki ili waone uchungu wanaopata wapendwa wa JPM. Huo mzoga hamna mwenye shida nao kwanza hausikii kitu sasa ngondo kwa waliosema wazuri hawafi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]