Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais
Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa
Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia
Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.
Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .
Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.
Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .
Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k
Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".
Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.
Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .