Taifa lazima Limshtukie huyu Mzee, ana Mipango yake ya 2030 !! Tuwakatae Wahuni Kwa nguvu zetu zote

Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais

Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa

Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia

Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.

Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .

Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.

Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .

Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k

Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".

Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.

Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
Ana uhakika hiyo 2030 kuitoboa?, maana raisi mstaafu amebaki peke yake akiondoka hatuna raisi mstaafu, wanabaki mawaziri wakuu wastafu
 
Unatoa povu tu. hivi ukumbini alikuwepo Kikwete tu au wajumbe ndo waliamua kwa kauli moja.

Mbona hatukumsikia wa kupinga maamuzi yale ukumbini???

It has to be a collective responsibility. Don"t personalize it.
Kuna mjumbe alisimama akasema aliyependekezwa atoke nje waweze kumjadili,
Alikataa akasema atoki mtu kama ni viboko wamchape hadharani.
Kwa ujumla ni kwamba kama wameshindwa kuheshimu na kuifuata Katiba ya chama chao vipi Katiba ya Nchi.

Kuna wakati naona Tanganyika tumekosa watu wa kuweza kuhoji mambo ya Msingi , kundi kubwa limeibuka ni la hawa machawa watu wa kusifu sifu hata mambo ya hovyo.

Leo ukihoji mambo ya Msingi kesho unaokotwa maiti au pengine usionekane kabisa.
 
Nikipata vitendea kazi namuua mwenyewe huyu mshenzi wa msoga niliwahi kuwa na ukaribu nae moshi kwenye mazishi ya mmiliki wa tanganyika firearms. Nilikuwa nawaza kumuua tu endapo ningekuwa na firearm
 
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais

Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa

Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia

Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.

Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .

Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.

Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .

Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k

Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".

Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.

Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
Amekua na hii tabia ya kutaka kutuamlia watu 60 millioni nani awe Rais. 2015 karata zake zilishindwa, alimtaka Membe
 
Unamziiaje mchezaj ambae bdo yupo bench lakin bdo nihatar uwanjanii 😂
 
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais

Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa

Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia

Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.

Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .

Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.

Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .

Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k

Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".

Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.

Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
Ndo alivyo tangu akiwa Makutu JKT
 
Kuna mjumbe alisimama akasema aliyependekezwa atoke nje waweze kumjadili,
Alikataa akasema atoki mtu kama ni viboko wamchape hadharani.
Kwa ujumla ni kwamba kama wameshindwa kuheshimu na kuifuata Katiba ya chama chao vipi Katiba ya Nchi.

Kuna wakati naona Tanganyika tumekosa watu wa kuweza kuhoji mambo ya Msingi , kundi kubwa limeibuka ni la hawa machawa watu wa kusifu sifu hata mambo ya hovyo.

Leo ukihoji mambo ya Msingi kesho unaokotwa maiti au pengine usionekane kabisa.
Yule Ponjoro wa Mtera ndo yalikuwa mavuvuzera ya wahuni. Kusema mwenyekiti toka nje tujadili ili tumalize kabisa ilikuwa ni kauli ya huyo Ponjoro wa Mtera. Hao ndo machawa waliopanga uhuni ule. Usije mtofautisha na wahuni waliokuwa nyuma yao.
 
Huyu mbwa ndio aliuza tembo na twiga wetu lakini hakuna mtu wowote mwenye huwezo wa kuongelea au kuhoji. Hii nchi ni bure kabisa. Mimi ningekuwa na uwezo wa kuchukua madaraka ningefanya kama Myanmar, hawa wote napiga pingu naweka Segerea wezi wakubwa
 
Kichwa tope wewe
huyo mzee ndio alimuweka magufuli hapo kuminyia lowassa
Mnabebabeba vistori vya maporini huko mnaleta hapa
Wewe kumbe huelewi chochote!

JK hakumtaka kabisa Magufuli. Yeye alitaka mdogo wake, yaani Bernard Membe, ndiye awe Rais. Akamwondoa Lowasa kwa kudhani ndiye mtu pekee tishio la kumzuia Membe asiwe Rais. Kwa hasira, wajumbe wa Halmashauri kuu, ili kumkomoa JK, wakatoka nje, wakajadiliana haraka, wakakubaliana kuwa wampe kura mgombea ambaye Kikwete hamtaki, ambaye alikuwa ni Magufuli.

Ndiyo maana Magufuli aliwahi kumtamkia Lowasa RIP, kuwa bila ya wewe, nisingekuwa Rais.

Magufuli alipopitishwa kuwa mgombea, akasema anamtaka Hussein Mwinyi awe makamu wake, JK akakataa, akampandikizia nyumba ndogo yake, akisema kuwa mgombea mwenza hateuliwi na mgombea, bali chama ndiyo humpa. kwa shingo upande, Magufuli akamkubalia mama, huku akijua kuwa mama kapewa hiyo nafasi kama fadhila ya kuwa nyumba ndogo ya mwenyekiti wake.
 
Acha ufatani(fitna) wazee ni wengi,kwa nini kwenye mabano umemuweka mmoja?..
Hukumsikia magu akisema bila kikwete asingekua rais!?
Huchagui mgombea mwenza,unachaguliwa na system,sababu mgombea mwenza muda wowote aweza kuwa rais
Wewe mwongo. Magufuli wakati anampokea Lowasa, alisema kuwa bila Lowasa, yeye Magufuli asingekuwa Rais.
 
Kichwa tope wewe
huyo mzee ndio alimuweka magufuli hapo kuminyia lowassa
Mnabebabeba vistori vya maporini huko mnaleta hapa
Duuh yani kumbe hujui hata kwanini alimuweka magufuli hapo
 
Wewe kumbe huelewi chochote!

JK hakumtaka kabisa Magufuli. Yeye alitaka mdogo wake, yaani Bernard Membe, ndiye awe Rais. Akamwondoa Lowasa kwa kudhani ndiye mtu pekee tishio la kumzuia Membe asiwe Rais. Kwa hasira, wajumbe wa Halmashauri kuu, ili kumkomoa JK, wakatoka nje, wakajadiliana haraka, wakakubaliana kuwa wampe kura mgombea ambaye Kikwete hamtaki, ambaye alikuwa ni Magufuli.

Ndiyo maana Magufuli aliwahi kumtamkia Lowasa RIP, kuwa bila ya wewe, nisingekuwa Rais.

Magufuli alipopitishwa kuwa mgombea, akasema anamtaka Hussein Mwinyi awe makamu wake, JK akakataa, akampandikizia nyumba ndogo yake, akisema kuwa mgombea mwenza hateuliwi na mgombea, bali chama ndiyo humpa. kwa shingo upande, Magufuli akamkubalia mama, huku akijua kuwa mama kapewa hiyo nafasi kama fadhila ya kuwa nyumba ndogo ya mwenyekiti wake.
Duuh watu mnasiri.......kweli mimi ni kichwa maji kwenye siasa looh
 
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais

Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa

Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia

Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.

Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .

Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.

Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .

Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k

Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".

Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.

Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
 
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais

Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa

Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia

Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.

Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .

Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.

Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .

Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k

Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".

Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.

Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
Hakika
 
Back
Top Bottom