Taifa lazima Limshtukie huyu Mzee, ana Mipango yake ya 2030 !! Tuwakatae Wahuni Kwa nguvu zetu zote

Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais

Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa

Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia

Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.

Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .

Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.

Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .

Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k

Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".

Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.

Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
NO REFORMS NO ELECTION
 
HUYU mzee mtamuua na presha NDO mzee pekee aliebaki WAKUU tafadhali mtajeni kwa Kodi mfikishieni Mr slow ajitahidi asitaje jina WAKUU pliz anahemea juujuu WAKUU pliz
 
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais

Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa

Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia

Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.

Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .

Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.

Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .

Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k

Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".

Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.

Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
Watoto wa Tundu Lisu awaamini hadi leo kama Magu kafa, mana sio kwa risasi zile kwa baba yao aise.

Mungu kaamua ugomvi.
 
Unatoa povu tu. hivi ukumbini alikuwepo Kikwete tu au wajumbe ndo waliamua kwa kauli moja.

Mbona hatukumsikia wa kupinga maamuzi yale ukumbini???

It has to be a collective responsibility. Don"t personalize it.
 
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais

Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa

Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia

Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.

Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .

Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.

Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .

Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k

Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".

Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.

Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
Huyu mzee wa kuombea aondokw tu atuachie Tanganyika yetu kwa hali ilivyo bado hana hata soni kusimama na kumtetea samia sijui anamsemea yeye kama nani
 
Aaahhhh, wajameni hata kama ni chuki sasa hii ni pro max 55G,

Kikwete si ndio alimpitisha magu na kumtema membe?,
Kikwete si ndio alimnadi magu na kumtosa lowasa?

Aah jameni
 
Ukimz
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais

Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa

Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia

Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.

Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .

Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.

Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .

Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k

Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".

Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.

Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
Ukimzuia ww inatosha...sisi keyboard warrior tutakuwepo hapa kukupongeza
 
Acha ufatani(fitna) wazee ni wengi,kwa nini kwenye mabano umemuweka mmoja?..
Hukumsikia magu akisema bila kikwete asingekua rais!?
Huchagui mgombea mwenza,unachaguliwa na system,sababu mgombea mwenza muda wowote aweza kuwa rais
 
Back
Top Bottom