Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Acheni mambo ya kusadikika. Hakuna mtu poa kama JK ticha ya mapungufu Yake ya hapa na pale.Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais
Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa
Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia
Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.
Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .
Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.
Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .
Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k
Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".
Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.
Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
Kabisa, kwa mara ya kwanza katajwa kwa jina na watu wa chama chake. Hii ni mithili ya mchawi anaeogopewa halafu ghafla akatokea mtu mmoja na kumwambia hamuogopi kupelekea waliobaki wote kumuona kumbe ni kanjanja tu.Mwisho wake umewadia mkuu.
Hahahaaa. Kabisa mkuu.Kabisa, kwa mara ya kwanza katajwa kwa jina na watu wa chama chake. Hii ni mithili ya mchawi anaeogopewa halafu ghafla akatokea mtu mmoja na kumwambia hamuogopi.
Astaafishwe mara ngapi huyu mkwere chizi anaendelea kutuharibia nji yetu? Huyu mzee anastahafu vibaya sana. Kama anadhani mtoto wake Ridhiwani atakuwa Rais 2030 asahau....I will be there to stop that nonsense!!Astaafishwe
Alishakataa kustaafu,,Astaafishwe
"Anastaafishwa"Alishakataa kustaafu,,
Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais
Hata hivo ,Hotuba nyingi za Magufuli mara Kadhaa alielezea Kwa namna Gani alikua ananusurika kuuwawa
Hayati Magufuli aliwahi kusema ,Alitaka Mwinyi awe Makamo wake wa Urais ,ila Wazee ( Msoga) wakamchomekea Samia
Samia aliwekwa pale kimakakati kabisa, Kwa sababu Watesi wa Magufuli walijua lazima wataendeleza Vita.
Moyo wa Magufuli wa kusamehe, ndio ambao umepelekea Maisha yake ya kiunhozi yakawa Mafupi .
Nani asojua, hata katika Urais wake, Hayati Magufuli alionekana kuumizwa na watu wanaotoa Siri zake za Uongozi ?.
Ni Mzee Msoga huyuhuyu ambaye Kwa uwepo wake alisimamia Zoezi la CCM la MTU Kujichagua kua Mgombea, na mgombea mwenza, huku akijua kabisa ni Makosa na kukiuka Miiko .
Mzee wa Msoga huyu huyu ambaye ameshindwa kukemea Utekaji ,Uminywaji wa Haki na Demokrasia, Ugawaji wa Rasilimali za Nchi n.k
Yote Kwa yote ni hesabu za 2030, Kwa makusudi kabisa, huku akijua, anaamua kuacha Rais Samia ajipitishe, aendelee kuchukiwa ,watu wazidi kua na Hasira na Rais Samia, wakati huohuo Maovu yakiongezeka , ALAFU 2030 AJITOKEZE NA USHAURI WA "TUMPITISHE HUYU ILI ALIKOMBOE TAIFA NA KULITULIZA ".
Hesababu za Mzee Msoga ni 2030 !!.
Azuiwe !! Taifa linaangamia, na Sijui nani atalirudisha pamoja .
Amekataa Kustaafu.Astaafishwe
"Tumalize hapahapa"Huyu Jamaa hakupenda kabisa MAGUFULI kua Rais, na kama Vyombo vya Dola na Usalama na Nguvu ya Hayati Mkapa kusimama ,Magufuli asingekua Rais