Taifa letu limekosa upinzani halisi. WanaCCM wawe wapinzani wa kweli na kumkosoa rais Samia anapokosea

kwamba upinzani ukupiganie wewe mpumbavu unayeambiwa uandamane kupinga wizi wa kura umekalisha masaburi yako kwenye korido za mashoga yanayofugwa ccm huku ukisema lissu na mbowe waandamane na watoto wao, wewe kama unaona hakuna upinzani anzisha upinzani wako na mamako nyumbani kwenu wapuuz nyinyi.
Mkuu waaambie hawa Mapimbi, yaani wanataka wapiganiwe wakiwa walo wamelala
 
Tatizo kubwa la hii nchi ni wananchi wala si upinzani wala ccm.
Wananchi ni wajinga, waoga na wamejidharaulisha kiasi kwamba ukiwadhulumu hawana cha kukufanya.
Na ukijitokeza kuwatetea dhidi ya dhuluma wanazotendewa hakakupi sapoti... Zaidi wataungana na mdhulumaji!

Bahati mbaya ni kwamba wanasiasa washaelewa hizo codes!
Yaani umenena vyema kabisa. Tatizo ni hawa wananchi wanafiki, ndumilakuwili na wavizia fursa za madaraka hata kama ni kwa kumpamba shetani.

Wakati haki zinakanyagwa kwa kiwango cha kutisha, ndio wakati ambao akina Pascal Mayala na akina Idugunde walikuwa wanasema hakuna hata haja ya kufanya uchaguzi, Magufuli aendelee. Ni kipindi kilichokuwa kimejaa uharamia wa hali ya juu. Wakati akina Makonda wanateka, kutesa na kuua watu, Pascal Mayala alikuwa anasema eti siku Magufuli akiondoka madarakani, Makonda ndiyo awe Rais! Ebu fimikiria watu wa namna hiyo. Yaani Makonda apewe zawadi ya Urais kwa sababu ya kuongoza vizuri kikundi cha kuteka, kutesa na kuua watu.

Kwa watu wa namna hii, uhai wa wale waliokuwa wakiuawa na kupotezwa hauna thamani, wanataka muuaji aongezewa madaraka zaidi ili aue wengi zaidi.

Halafu leo utawasikia nao eti wanaongelea haki au siasa za upinzani, huo uhalali wanaupata wapi?
 
Wewe huna hoja, upinzani gani unaowalaumu? CUF? TLP? ACT? Chadema?

Km chadema Mimi siwalaumu, kazi Yao walishaifanya,
Watanzania tuache unafki, unataka chadema wafanye Nini? Wamehangaika Sana Hadi Leo wapo waliouwawa, vilema, walifirisiwa, waliopojela n.k,wewe binafsi uliwaunga mkono kwa kipi?
Mara ngapi wanatangaza maandamano?

Huu unafki ndo unaolitafuna taifa, Ni upuuzi kukaa ndani ukitegemea watu fulani wafe, wapoteze Mali zao, wapoteze ndugu zao, wawe vilema
Chadema walisha pambana mno nakumbuka hata Kule Arusha, mtu anaye ona hakuna Upinzani aingie front, make katiba inaruhusu
 
Mara huyu anatufaa mara hatufahi mara yegeyege.... Jamani popo ni ndege au mnyama?
Hapo tumekupata. Kwa kweli mwenzetu huyu Mayala, anastahili kutujibu, ni ndege au mnyama? Maana si moto si baridi, haeleweki!

Sisi tuliomo humu ni sampuli ndogo ya waliopo nje ya JF. Unaweza kuelewa jamii yetu ilivyo kigeugeu.
 
Kwani sukuma gangs, team Magu mnashindwa nin kuwa wapinzani?
 
Mkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Hii hali ya Tanzania kukosa upinzani imara wa kuweza kuiondoa CCM ndio sababu ya CCM kujirekebisha Kia uchao na kuendelea kutawala probably milele!.

P
2030 Wajinga wote watakuwa wamemizika!! Nyundo nzito naipigia mstari
 
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali

View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.
Si mpo wenyewe bungeni sasa unalialia nn? Unataka hao wapinzani wakakosoe kaburini chato? Wambie hao wana ccm wasio lamba hiyo asali wakosoe
Acha kujiliza kama mwehu aliyelewa
 
Wewe huna hoja, upinzani gani unaowalaumu? CUF? TLP? ACT? Chadema?

Km chadema Mimi siwalaumu, kazi Yao walishaifanya,
Watanzania tuache unafki, unataka chadema wafanye Nini? Wamehangaika Sana Hadi Leo wapo waliouwawa, vilema, walifirisiwa, waliopojela n.k,wewe binafsi uliwaunga mkono kwa kipi?
Mara ngapi wanatangaza maandamano?

Huu unafki ndo unaolitafuna taifa, Ni upuuzi kukaa ndani ukitegemea watu fulani wafe, wapoteze Mali zao, wapoteze ndugu zao, wawe vilema
Yeye anakumbuka upinlzani leo kwa sababu raisi ni samial mpumbavu mmoja huyu
 
Hayati Julius Nyerere alipotabiri kuwa upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM alitatabiri vyema kabisa maana mpaka sasa hakuna upinzani dhidi ya CCM pamoja na multiparty system kuanzishwa hapa nchini.

Leo hii wapinzani waliopo wapo kwa ajiri ya kujaza matumbo na kulamba asali huku raia wanaoteseka wakikosa watu wa kuwasemea shida na kero zao.

Ona wakilamba asali

View attachment 2596797
Ni wana CCM watakao kuwa na msimamo kama lilivyokuwa kundi la G55 miaka ya tisini. Wanatakiwa kukosoa na kusimamia maslahi ya taifa letu.

Huo upinzani ndani ya CCM huwa haunzi, miaka yote CCM huwa mnasema upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM, lakini cha ajabu kila uchaguzi mnategemea vyombo vya dola kuendelea kubaki madarakani.

Yule dhalimu mwenye kiburi cha madaraka alinajisi uchaguzi ili ionekane CCM ni imara chini yake, cha ajabu mmebaki CCM wenyewe lakini huo upinzani toka ndani ya CCM hauanzi, bali chawa ndio wanaongezeka!
 
Mkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Hii hali ya Tanzania kukosa upinzani imara wa kuweza kuiondoa CCM ndio sababu ya CCM kujirekebisha Kia uchao na kuendelea kutawala probably milele!.

P

Pamoja na maelezo yako marefu na link kibao za post za mwaka 47, ukweli ni kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.

Ili Tanzania iweze kuwa na uchaguzi wa kweli ni lazima kutokee machafuko ili ufanyike uchunguzi wa kweli, ama jeshi letu lifanye kinachofanywa na jeshi la Sudan kwa sasa. Kinyume na hapo unachosema sio utabiri, bali kwa katiba hii CCM itaendelea kukaa madarakani, na sio lazima iwe kwa ridhaa ya wananchi.
 
Mkuu Idugunde , kwanza naunga mkono hoja, na pili kwa idhini yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani.

Hii hali ya Tanzania kukosa upinzani imara wa kuweza kuiondoa CCM ndio sababu ya CCM kujirekebisha Kia uchao na kuendelea kutawala probably milele!.

P

Pamoja na maelezo yako marefu na link kibao za post za mwaka 47, ukweli ni kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.

Ili Tanzania iweze kuwa na uchaguzi wa kweli ni lazima kutokee machafuko ili ufanyike uchunguzi wa kweli, ama jeshi letu lifanye kinachofanywa na jeshi la Sudan kwa sasa. Kinyume na hapo unachosema sio utabiri, bali kwa katiba hii CCM itaendelea kukaa madarakani, na sio lazima iwe kwa ridhaa ya wananchi.
 
Hapo tumekupata. Kwa kweli mwenzetu huyu Mayala, anastahili kutujibu, ni ndege au mnyama? Maana si moto si baridi, haeleweki!

Sisi tuliomo humu ni sampuli ndogo ya waliopo nje ya JF. Unaweza kuelewa jamii yetu ilivyo kigeugeu.

Huyo Paskali baada ya kumfuatilia nimegundua ni yule mtu mwenye ndimi mbili, na huwa namwambia mara kibao humu jukwaani. Huyu Paskali na wale watu wanaojifanya watabiri na kusema kila kitu, kisha ikitokea moja ya aliyosema anasema alishatabiri siku nyingi.

Hawa ni sawa na yule mtu anayesema mwaka huu kutakuwa na mvua nyingi, halafu baadae kidogo anasema kutakuwa na kiangazi kikali. Ikitokea moja kati ya hayo anasema alishatabiri!

Ukipitia mabandiko yake huku jukwaani utakuta ametabiri vyama vyote vitakufa, vitadhoofu, vitafanya mabadiliko nk, sasa inapotokea moja kati ya hilo unaona anaweka hiyo link!
 
Pamoja na maelezo yako marefu na link kibao za post za mwaka 47,
Links ni rejea tuu ya tulisema nini na nini kikatokea ili tusiseme tena na tena kwa nini CCM inaendelea kutawala milele!.
ukweli ni kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
Wewe umeita Maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi, mimi ninetumia jina la igizo la uchaguzi Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Kwa maoni yangu, 2020 hakutakuwa na uchaguzi wa rais 2020, kutakuwa tuu na igizo la uchaguzi, na kwenye ubunge na udiwani , kwa udikiteta huu, sijui kama kuna mpinzani atatoka!, uchaguzi wa 2020 itakuwa ni uchaguzi wa CCM only and only CCM!. Uchaguzi mwingine wa rais na uchaguzi wa vyama vingi ni uchaguzi wa 2025 only if ...(Mungu hatafanya yake hapa katikati)

Paskali
Ili Tanzania iweze kuwa na uchaguzi wa kweli ni lazima kutokee machafuko ili ufanyike uchunguzi wa kweli,
Sio lazima kutokea machafuko, Mama anabadili katiba, sheria na kuleta Tume huru ya uchaguzi , hivyo uchaguzi 2025 utakuwa uchaguzi huru na wa haki.
ama jeshi letu lifanye kinachofanywa na jeshi la Sudan kwa sasa.
Jeshi letu ni Jeshi la Wananchi Wazalendo sio jeshi la mamluki.
Kinyume na hapo unachosema sio utabiri, bali kwa katiba hii CCM itaendelea kukaa madarakani, na sio lazima iwe kwa ridhaa ya wananchi.
Nakubaliana na wewe CCM itatawala milele.
P
 
Huyo Paskali baada ya kumfuatilia nimegundua ni yule mtu mwenye ndimi mbili, na huwa namwambia mara kibao humu jukwaani. Huyu Paskali na wale watu wanaojifanya watabiri na kusema kila kitu, kisha ikitokea moja ya aliyosema anasema alishatabiri siku nyingi.

Hawa ni sawa na yule mtu anayesema mwaka huu kutakuwa na mvua nyingi, halafu baadae kidogo anasema kutakuwa na kiangazi kikali. Ikitokea moja kati ya hayo anasema alishatabiri!

Ukipitia mabandiko yake huku jukwaani utakuta ametabiri vyama vyote vitakufa, vitadhoofu, vitafanya mabadiliko nk, sasa inapotokea moja kati ya hilo unaona anaweka hiyo link!
Nashauri tujikite kwenye mada iliyopo mezani.
P
 
Pamoja na maelezo yako marefu na link kibao za post za mwaka 47, ukweli ni kuwa Tanzania hakuna uchaguzi bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.

Ili Tanzania iweze kuwa na uchaguzi wa kweli ni lazima kutokee machafuko ili ufanyike uchunguzi wa kweli, ama jeshi letu lifanye kinachofanywa na jeshi la Sudan kwa sasa. Kinyume na hapo unachosema sio utabiri, bali kwa katiba hii CCM itaendelea kukaa madarakani, na sio lazima iwe kwa ridhaa ya wananchi.
Hii mada inahusiana vipi na uchaguzi? Wewe kushindwa uchaguzi wa 2020 ndio iwe kelele kila siku? Hapa tunahitaji wapinzani wataokosoa makosa kama kioo cha jamii
 
kwamba upinzani ukupiganie wewe mpumbavu unayeambiwa uandamane kupinga wizi wa kura umekalisha masaburi yako kwenye korido za mashoga yanayofugwa ccm huku ukisema lissu na mbowe waandamane na watoto wao, wewe kama unaona hakuna upinzani anzisha upinzani wako na mamako nyumbani kwenu wapuuz nyinyi.
None sense and stupidity
 
Umechelewa sana kujua but kwa ufupi hii nchi haina upinzani wote unaona wanapga kelele ni vibaraka wa CCM
Hebu mwulize huyo mwehu mwenzio Idugunde hamtaki tena upinzani kuunga juhudi?! Mbona enzi za JPM mliwanunua Kwa gharama kubwa na kuutangazia Umma kuwa ni kuunga juhudi ya Jiwe?!
 
Back
Top Bottom